Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Mi nilijua unataka kujifunza kwa nini hili lilitokea kumbe unataka kujustify kitu
 
Kasome nimeweka nukuu sahih zote utakuta mpaka mtoto alikuwa kadogo maskini wanakalisha eti ili kawe ka toto bonge kapelekwe kwa child molester, dah so sad
Wewe hangaika ukimaliza utaje mwaka alio zaliwa tupige mahesabu hapa
 
Bible is much deep coded book, kila kilichopo kipo kwasababu maalum na siri za Ajabu note this!
Na kauli kama hizi Wachungaj wameztumia Kuwapiga wengi na kukwepa maswali ya hoja[emoji1787][emoji1787]

Dini ni ya kuachana nayo tu na kuamua kuhudhuria ibada kama huelew elew tu ukitaka kuelewa vyote Utakua mpagani hatimaye.
 
Mleta mada tafuta maarifa katika kusoma neno la Mungu sio kuja kuuliza mstari mmojawapo.
Nakuhurumia sana.
1 Petro 3:15 inasema,
1 Petro 3:15 (Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu.)

Kwahiyo ukija hapa ujibu swali na si Maneno maneno.
 
1 Petro 3:15 inasema,
1 Petro 3:15 (Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu.)

Kwahiyo ukija hapa ujibu swali na si Maneno maneno.
Endelea kusubiria majibu hapa ni sawa na kusubiria ndege bandarini.
 
Kwamba birthday ya mtoto Aisha ndio Nondo Yako ya mwisho [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe jichekeshe kama umeonana na deacon hapa ukimaliza
Lete mwaka tupige mahesabu
Huna
Umeshindwa hoja kaa pembeni.
Au waite wenzio wakusaidie
 
Ingia humo kasome mbona simple Sana
Sikia hiu uongo huu

Mwanzo 32:24-30 (Yakobo akakaa peke yake; na mtu mmoja akashindana naye mweleka hata alfajiri.
Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Akamwuliza, Jina lako n'nani? Akasema, Yakobo.
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Yakobo akamwuliza, akasema, Niambie, tafadhali, jina lako? Akasema, Kwa nini waniuliza jina langu? Akambariki huko.
Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.)


Yakobo ndani ya Biblia analazimishwa kubarikiwa Duuh!!!

Eti Yakobo kashindana na Mungu alafu kamshinda. Yani binadamu Yakobo anamshinda Mungu. Duuh!!!

Eti Yakobo kaonana na Mungu usovkwa uso.

Wewe Mokiti una la kujibu hapo.

Alafu usisahau swali langu unalolikwepa

kwamba

Umri Sahihi wa Mwanamke wa kitanzania kuolewa ni umri gani? Taja umri kijana acha kuogopa.
 
Dah hapo kwenye kushindana na Mungu kwa mieleka
Alafu Mungu. Anashindwa.

Ndio maana wayahudi hawakumulewa
Wakamtandika

Mikwaju hasa
 
Unataka kusema Muhammad Ali copy tu jina Israel hakujua maana yake akapachika kwenye Koran 😂😂😂😂😂😂
 
Unataka kusema Muhammad Ali copy tu jina Israel hakujua maana yake akapachika kwenye Koran [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo ndio ushataja mwaka wa kuolewa mwanamke wa kitanzania

Au hata kenya

Naona wakubwa zako wazungu umewakataaa
Hapa leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…