Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Nyie wapenda ngono na unajisi hapa mnataka kusema binti akivunja ungo basi aolewe hapohapo?

Wanyanyasaji wakubwa nyie. Lizee kama Muhammad linabaka wajukuu wake.
Kwa kuwa Umeshindwa kutuonyesha ndani ya BIBLIA yako Andiko linaloonyesha kwamba Mwanamke mpaka afikishe Umri wa Miaka 18 na Kuendelea ndio anapaswa kuolewa.....

Pia Umeshindwa kutuonyesha mfano hata Mmoja Ndani ya Biblia wa Mwanamke aliyekuwa na Umri wa miaka 18 na kuendelea aliyeolewa.....

Hii inadhihirisha Kwamba,

Manabii wote Ndani ya Biblia walioa wanawake waliovunja Ungo umri kati ya miaka 8-17

Tena ukizingatia Manabii ndani ya Biblia walikuwa na Wanawake zaidi ya Mmoja.
 
Wewe hujitambui,

Kwasasa Nyinyi wakristo ndio mnaua Waislamu kwa kutumia Mgongo wa Serikali na Jeshi.

Tumeona walichofanya Wakristo wenu Marekani kule IRAQ, LIBYA na AFGHANISTANI na kwingineko kwa Kuuwa Waislamu. Wanafanya hivyo kwa kutumia Mgongo wa Jeshi na Serikali.

Mashirika Mengi ya kidini huko Marekani na Duniani kwa ujumla wanachukua Sadaka kwa waumini wenu wa Kikristo Makanisani na kufadhili hii Mipango inayofanywa na Marekani Dhidi ya uislamu.

Matajiri wakubwa wa Kikristo pia wanashiriki.

Nikikurudisha Nyuma kipindi Cha Mtume kama hujui

Wakristo nyie Mlikuwa hamumpendi Mtume hadi mkapigana nae vita na Mlishindwa. Pia na Wayahudi.
 
Samson was a judge yaani mwamuzi kama Barak.
 
Kaka mi nimeamua kuacha kuendelea kuongea maana nimegundua napoteza muda bure huyu bwana kichwa yake haiko sawa.
Wewe nawe ulikuwa hujitambui, mara kizazi kimefutika hakipo mara kizazi kipo ila kimefutika hakipo kama taifa.

SASA WAKRISTO WENZAKO NILIWAULIZA SWALI HAPA, HAWAJAJIBU HADI SASA WAMEKIMBIA WAMEENDA KUTAFUTA AYA NA HAWAZIPATI. SASA NAKUULIZA NA WEWE.

Nitajie andiko ndani ya Biblia linaloonyesha kwamba Mwanamke anatakiwa kuolewa kuanzia Umri kwa Miaka 18, 19 na kuendelea.?

Ukiweza Toa Mfano wa Character Mwanamke aliyeolewa kuanzia Miaka 18 na kuendelea.?

UKISHINDWA KUJIBU BASI JUA KABISA.
Manabii ndani ya Bible walioa Wanamwali chini ya Miaka 18 (Yani kuanzia miaka 8 hadi 17)
 
Si unaona sasa upuuzi wako. Kwahiyo unataka kuniambia Yesu ana jina Moja tu?

Waingereza wakimuita Jesus wanakuwa wamekosea?
Understanding capacity yake ni ndogo mno ila kwa vile yupo kwa ajili ya kukosoa basi ni haki yake kujiona anajua.
 
Nikupe ushahid we kama nani kama huamin sio Mungu endelea kuamin hivyo hivyo unao uhuru huo
1 Petro 3:15
1 Petro 3:15 (Mwe tayari siku zote kumjibu kila mtu awaulizaye habari za tumaini lililo ndani yenu; lakini kwa upole na kwa hofu.)

Acha Hasira wewe.
 
Nikupe ushahid we kama nani kama huamin sio Mungu endelea kuamin hivyo hivyo unao uhuru huo
Yesu ni mtu kama ww na ushahidi pale alipozaliwa baada ya kukaa tumboni mwa mama yake Maryam kama ulivyokaa ww na ukazsliwa baada ya mimba kukomaa.
 
Umetia nondo pia ni hoja nzito
Hongera
 
huoni kama mtu mzee kanyeshwa pombe af kabakwa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…