Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Wamoab ni hawa tunaowaita Wapalestina leo hii.
 
Miaka 6 Bi Aisha Hakuingiliwa wala kufanya tendo la ndoa na Mtume.
Stone kisser, embu tupe ka elimu kidogo miaka 6 anakuwa kamaliza clinic na chanjo zote za RCH?
Au pedophile alimkatisha RCH clinic?
 
Nipe Aya au Hadithi inayosema kwamba Bi Aisha alipokuwa na miaka 6 walikuwa wanalala kitanda kimoja na Mtume!!!!

Na pia alikuwa anaingiza Mkuyati haupenyi. Tunaomba Aya au Hadithi.

Ili tukuone ni Mkweli.
Nitakupa , ila ujibu Aisha alimaliza chanjo zote za RCH clinic kabla ya kwenda kwa pedophile
 
Kawachukue Wanarekani wote ukawafunge. Wewe na wale nani wenye akili?
Tiba ya pedophile
Pedophilia can be treated with long-term individual or group psychotherapy and drugs that alter the sex drive and reduce testosterone levels.
 
HITIMISHO
(NAHITIMISHA MADA NA SIBISHANI NA WEWE TENA, PIA JIBU MASWALI YALIYOPO HUMU)

-Hakuna sehemu tuliposema Binadamu aliye na Miaka 6 ni Mtu mzima, huo ni Uongo wako na uzushi. (Mtume Muhammad(SAW) hakumuingilia Bi Aisha alipokuwa na Miaka 6)

-Bi Aisha alipobalehe ndipo tendo la Ndoa lilipokamilika kati yake na Mtume(Ndoa ilikamilika). (Hakuwa Mtoto bali alibalehe)

-Hakuna uthibitisho kamili either Kisayansi au Kidini(Tena ya Kikristo Ndani ya Biblia) unaoonyesha Mwanamke akifikisha miaka 18 basi ndio Mtu mzima amepevuka na anapaswa kuolewa. Hiyo miaka imewekwa kwa Utashi wa Binadamu tu na huwa inabadilika badilika nchi na nchi.[emoji23]

-Baadhi taarifa za kisayansi kuhusu kubalehe kwa Mwanamke zinakuumbua, zinaripoti kuwa Mwanamke akiwahi kubalehe anabalehe kati ya miaka 8-11 na kuendelea.

-Pia Sheria ya Ndoa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1971, inayotumika hadi sasa inakuumbua. Inasema Mwanamke anaweza kuolewa kuanzia miaka 14 kwa ruhusa ya Mahakama na Wazazi wa huyo Mwanamke.[emoji3]

-Sheria za Marekani(USA) kwa Wenye Ukristo wao ambazo zinatumika hadi sasa nazo zinakuumbua. Zinasema kuwa kwenye States(Majimbo) mbalimbali huko Mwanamke mwenye Miaka kuanzia 12 anaweza Kuolewa na Mwanaume Yeyote yule kuanzia miaka 14 na kuendelea, tena huyo Mwanamke ataolewa kwa Ruhusa zote mbili yani ruhusa ya Mahakama na ruhusa ya wazazi wake.[emoji23][emoji23][emoji23]

-Katika Biblia neno Binti limetumika sana. Je, tujiulize, hao Mabinti ndani ya Biblia wakati wanaolewa waliolewa na miaka 18? Au chini ya 18? Yawezekana hao Mabinti ndani ya Bible kwa asilimia 100% hawakutimiza miaka 18. Walikuwa na miaka kati ya 0-17 pindi walipoolewa ndani ya Biblia.[emoji23][emoji23][emoji16]

-Kama kuna Andiko ndani ya Biblia linaloonyesha Mwanamke akifikisha Miaka 18 na kuendelea ndio mtu mzima na anapaswa kuolewa tunaomba Mtuoneshe. [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Umeforce kulazimisha Mazingira ya Sasa na Mazingira ya zamani miaka 1400 iliyopita kipindi cha Mtume lakini umeumbuka.

Hitimisho Limeisha.
Na Umeshindwa Mada.

-Maswali ya Lutu umeshindwa kujibu
-Mungu kuitwa Mpumbavu umeshindwa kujibu
-Kuhusu Marko saa 3 na Yohana saa 6 ulishindwa kujibu hadi uzi ukafutwa
-Swali la Ahazia ulilishindwa(Uzi ukafutwa)

Sisi tumekujibu kiufasaha nafunga Mjadala rasmi.
Nilisha hitimisha ila namalizia kwa picha
images (1).jpeg
 
Sasa si umeona Uchizi wako. Ndio mana nakwambia wewe ni Chizi Bogus kabisa. Nakufundisha sasa. Na nilikuwa nataka umtaje R-Kelly ili nikuumbue.

Kitu ambacho hujui R-Kelly hakufuata sheria za Kimahakama za Uoaji bali alikuwa anawachukua wanawake chini ya umri wa Miaka 18 na kuwanyanyasa kwa mambo Mbalimbali ikiwemo kuwalazimisha ngono. R-Kelly hakufuata Ndoa yoyote iliyoruhusiwa na Mahakama pamoja na wazazi wa Binti kwa kuoa Mwanamke wa Under 18, ndio mana alihukumiwa.

Tukiachana na R-elly, Kingine Mwanamke hata akiwa na umri wa 18 na kuendelea alafu ukamnyanyasa bado ana uwezo wa kukushtaki.

Wewe ni very Bogus, waliofuata Sheria wameoa wanawake under 18 na hakuna kesi wala Manyanyaso.

Bogus Mkubwa wewe.

Soma hapo taarifa ya Mwaka huu 2022 kila State na ruhusa ya wazazi kuoa pamoja na Umri.

View attachment 2388025View attachment 2388027View attachment 2388026View attachment 2388024
Umeona Pedophile R Kelly alichofanya ,
Mtoto ni mtoto ata mkikutana ma psychopath mkaita ndoa bado haiondoi ni mtoto na anaefanya hivyo ni pedophile
 
Sasa si umeona Uchizi wako. Ndio mana nakwambia wewe ni Chizi Bogus kabisa. Nakufundisha sasa. Na nilikuwa nataka umtaje R-Kelly ili nikuumbue.

Kitu ambacho hujui R-Kelly hakufuata sheria za Kimahakama za Uoaji bali alikuwa anawachukua wanawake chini ya umri wa Miaka 18 na kuwanyanyasa kwa mambo Mbalimbali ikiwemo kuwalazimisha ngono. R-Kelly hakufuata Ndoa yoyote iliyoruhusiwa na Mahakama pamoja na wazazi wa Binti kwa kuoa Mwanamke wa Under 18, ndio mana alihukumiwa.

Tukiachana na R-elly, Kingine Mwanamke hata akiwa na umri wa 18 na kuendelea alafu ukamnyanyasa bado ana uwezo wa kukushtaki.

Wewe ni very Bogus, waliofuata Sheria wameoa wanawake under 18 na hakuna kesi wala Manyanyaso.

Bogus Mkubwa wewe.

Soma hapo taarifa ya Mwaka huu 2022 kila State na ruhusa ya wazazi kuoa pamoja na Umri.
View attachment 2388038
Pale unapolazimisha 6 iwe 16

Wewe ni pedophile kama mtume wako
 
HITIMISHO
(NAHITIMISHA MADA NA SIBISHANI NA WEWE TENA, PIA JIBU MASWALI YALIYOPO HUMU)

-Hakuna sehemu tuliposema Binadamu aliye na Miaka 6 ni Mtu mzima, huo ni Uongo wako na uzushi. (Mtume Muhammad(SAW) hakumuingilia Bi Aisha alipokuwa na Miaka 6)

-Bi Aisha alipobalehe ndipo tendo la Ndoa lilipokamilika kati yake na Mtume(Ndoa ilikamilika). (Hakuwa Mtoto bali alibalehe)

-Hakuna uthibitisho kamili either Kisayansi au Kidini(Tena ya Kikristo Ndani ya Biblia) unaoonyesha Mwanamke akifikisha miaka 18 basi ndio Mtu mzima amepevuka na anapaswa kuolewa. Hiyo miaka imewekwa kwa Utashi wa Binadamu tu na huwa inabadilika badilika nchi na nchi.[emoji23]

-Baadhi taarifa za kisayansi kuhusu kubalehe kwa Mwanamke zinakuumbua, zinaripoti kuwa Mwanamke akiwahi kubalehe anabalehe kati ya miaka 8-11 na kuendelea.

-Pia Sheria ya Ndoa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1971, inayotumika hadi sasa inakuumbua. Inasema Mwanamke anaweza kuolewa kuanzia miaka 14 kwa ruhusa ya Mahakama na Wazazi wa huyo Mwanamke.[emoji3]

-Sheria za Marekani(USA) kwa Wenye Ukristo wao ambazo zinatumika hadi sasa nazo zinakuumbua. Zinasema kuwa kwenye States(Majimbo) mbalimbali huko Mwanamke mwenye Miaka kuanzia 12 anaweza Kuolewa na Mwanaume Yeyote yule kuanzia miaka 14 na kuendelea, tena huyo Mwanamke ataolewa kwa Ruhusa zote mbili yani ruhusa ya Mahakama na ruhusa ya wazazi wake.[emoji23][emoji23][emoji23]

-Katika Biblia neno Binti limetumika sana. Je, tujiulize, hao Mabinti ndani ya Biblia wakati wanaolewa waliolewa na miaka 18? Au chini ya 18? Yawezekana hao Mabinti ndani ya Bible kwa asilimia 100% hawakutimiza miaka 18. Walikuwa na miaka kati ya 0-17 pindi walipoolewa ndani ya Biblia.[emoji23][emoji23][emoji16]

-Kama kuna Andiko ndani ya Biblia linaloonyesha Mwanamke akifikisha Miaka 18 na kuendelea ndio mtu mzima na anapaswa kuolewa tunaomba Mtuoneshe. [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Umeforce kulazimisha Mazingira ya Sasa na Mazingira ya zamani miaka 1400 iliyopita kipindi cha Mtume lakini umeumbuka.

Hitimisho Limeisha.
Na Umeshindwa Mada.

-Maswali ya Lutu umeshindwa kujibu
-Mungu kuitwa Mpumbavu umeshindwa kujibu
-Kuhusu Marko saa 3 na Yohana saa 6 ulishindwa kujibu hadi uzi ukafutwa
-Swali la Ahazia ulilishindwa(Uzi ukafutwa)

Sisi tumekujibu kiufasaha nafunga Mjadala rasmi.
HILI HITIMISHO LANGU NAJUA LINAKUCHOMA SANA KWA KUWA NIMEPANGUA HOJA ZAKO ZA KIPUMBAVU ZOTE[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. HAPO UPO UPO TU UNATAPATAPA.
 
Nilisha hitimisha mtoto ni mtoto ata mkutane ma psychopath mkasema ni ndoa haibadilishi nyie ni ma pedophile

images (2).jpeg
 
Bi Aisha alipobalehe ndipo tendo la Ndoa lilipokamilika kati yake na Mtume(Ndoa ilikamilika). (Hakuwa Mtoto bali alibalehe)

-Hakuna uthibitisho kamili either Kisayansi au Kidini(Tena ya Kikristo Ndani ya Biblia) unaoonyesha Mwanamke akifikisha miaka 18 basi ndio Mtu mzima amepevuka na anapaswa kuolewa. Hiyo miaka imewekwa kwa Utashi wa Binadamu tu na huwa inabadilika badilika nchi na nchi
Nyie wapenda ngono na unajisi hapa mnataka kusema binti akivunja ungo basi aolewe hapohapo?

Wanyanyasaji wakubwa nyie. Lizee kama Muhammad linabaka wajukuu wake.
 
Mimi nimeshawajibuni hoja zenu wote, hicho mnachokileta ni lawama zisizo na Mpango.

Haya Bora wewe umekuja, embu jibu maswali haya. Maana Mwenzako kakimbia bila kujibu.

(1) Onyesha Andiko katika Biblia kwamba Mwanamke ni lazima aolewe akiwa na Miaka 18 na kuendelea ili hoja yako iwe ya kweli.

(2) Naomba unitajie Umri wa Hajiri ndani ya Biblia wakati Nabii Ibrahimu amemtoa Misri na Kumuingilia.

Hajiri alikuwa na Umri gani kwa mujibu wa Ukristo wakati anaingiliwa na Ibrahimu?
 
Muhammad alaaniwe kwa ubakaji na unyanyasaji wa kingono aliomtendea aisha.
Acha Uongo wewe hiyo unatunga wewe.

Soma hitimisho unielewe.

Alafu Mwenzako amekimbia, Sasa umekuja wewe nijibu maswali yangu hayo.
 
Nyie wapenda ngono na unajisi hapa mnataka kusema binti akivunja ungo basi aolewe hapohapo?

Wanyanyasaji wakubwa nyie. Lizee kama Muhammad linabaka wajukuu wake.
Inaonesha namna gani ulivyo juha akivunja ungo kinacho zuia asiolewe ni nini

Alafu ili kupinga kilicho tokea unapaswa kujitambulisha kwenye familia ile wewe ni kama nani pale

Sio unajikurupukia tu
 
Nipe dhambi alio fanya na hata akisha fanya ndio kasha samehewa sasa hapo mimi sioni tatizo au wewe ulitakaje
hivi ndivyo Kuran na Bukhari Hadith zinavyosema kuhusu Muhammad. Katika sura 40:55 na 48:1-2, Allah anamwambia Muhammad kuomba msamaha kwa ajili ya dhambi zake (au udhaifu wake). Sasa, watu hawahitaji msamaha kwa ajili ya madhaifu ya miili bali maadili. Sahih Muslim juzuu ya 1 kitabu cha 4 sura ya 268 na.1695 uk.373 inasema Muhammad aliomba, "Nilijikosea mwenyewe na kufanya toba ya dhambi zangu. Nisamehe dhambi zangu . . ." Bukhari juzuu ya 1 kitabu cha 2 sura ya 13 na.19 uk.23; juzuu ya 1.12.57 na.781 uk.434; juzuu ya 6.60.3 na.3 uk.4; juzuu ya 8.75.3 na.319 uk.213; na juzuu ya 8.75.62 kabla ya na.407 uk.271 kabla ya kueleza dhambi za Muhammad. Mambo bayana yaliyoelezwa kwenye Bukhari juzuu ya 1.4.70 na.234 uk.148; Bukhari juzuu ya 8.82.1 na.794-795 uk.520 ni kukata watu mikono na miguu, kuchoma macho yao, na kuwanyima maji hadi kufa baada ya kukatwa miguu na mikono. Angalia Bukhari juzuu ya 8.82.3 na.796 sura ya 4 uk.797; Bukhari juzuu ya 6 sura ya 150 kabla ya na.198 uk.158-159 pia Fiqh us-Sunnah juzuu ya 1 uk.133.
 
Hahahahaha sawa ni Muhammed tu sielewi hapo tatizo liko wapi hapo

Nipe basi hata dhambi moja alio fanya

Na uje utuambie MR NJITI ANAENDELEAJE ALIPO
Bukhari juzuu ya 8.82.1 na.794-795 uk.520 ni kukata watu mikono na miguu, kuchoma macho yao, na kuwanyima maji hadi kufa baada ya kukatwa miguu na mikono. Angalia Bukhari juzuu ya 8.82.3 na.796 sura ya 4 uk.797; Bukhari juzuu ya 6 sura ya 150 kabla ya na.198 uk.158-159 pia Fiqh us-Sunnah juzuu ya 1 uk.133.

Bila shaka utakubali kwamba hizi ni dhambi nzito sana. Kwa vile Muhammad alifanya hivi, alihitaji sana msamaha. Swali la kidadisi ni hili: "Ni nani hasa anayelipa gharama ya dhambi zako?" Yesu alisema alilipa fidia ya dhambi zetu. Uislam haufundishi kuwa kuna mtu yeyote aliyelipa gharama. Je, dhambi zako zinalipwaje, au Allah anazifumbia macho baadhi ya dhambi na kuadhibu nyingine??

Watu wengine wanaweza kufikiri kuwa uovu hauna madhara yoyote ili mradi mtu anajiita Muislam. Katika karne hii Waislam wanawaua wakiristo na kufanya mauaji ya kinyama kwenye vijiji vyao katika nchi za Sudan, Nigeria na Indonesia. Wakati watu walioitwa wakristo waliwaua Waislam, watu walisema kuwa wanafanya kinyume cha tabia ya Kristo.

Wakati Waislam wanawaua Wakristo, wanaomwabudu Mungu wa kweli, sijawahi kusikia mtu yeyote akisema wanafanya kinyume cha tabia ya Muhammad.

Nisamehe kwa kusema bila kuficha kiasi hiki, lakini mauaji ya watu wanaomwabudu Mungu yanayofanywa na Waislam lazima yaachwe. Waislam wanapohalalisha mauaji haya kwa sababu hata nabii wao alifanya hivyo, watu hushangazwa na nabii wao, na Allah wao ambaye anatengua neno lake, na chimbuko la Uislam.
 
Back
Top Bottom