Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Wapi pameandikwa “hakuvunja Ungo” nionyeshe
Hapa tunaona pia uthibitisho aisha alikuwa katoto ambacho kaliitaji kulala mchana kama watoto wengine ili kakue akakutana na pedophile

Imesimuliwa na Aisha:
......Kisha Muhammad(ﷺ) akamwita Buraira na akasema, Ewe Burair. Je! Umewahi kuona kitu chochote kilichoamsha tuhuma zako juu yake? ' Buraira alisema, 'Hapana, na Allah ambaye amekutuma na kweli, sijawahi kuona chochote kibaya isipokuwa kwamba Aisha ni msichana mtoto, ambaye wakati mwingine hulala na kuacha unga ukiliwa na mbuzi................Sahih al-Bukhari 2661
 
Mimi nskujibu kotekote unspotaka wewe
Unatumia mpaka shia books 😂😂😂
Tuhitimishe
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
 
Alafu nakupa hii ukibisha, ukirudi kwenye ile Hadithi uendelee kujibu Maswali yangu.

First of all, the Shiʾa are known to have an opinion on Aisha, and so, her aḥādith mean nothing.

In reality, however, she wasn’t six, nine, or ten. She was much older.

I’ll use the much detailed biography of her sister, Asmāʾ, to show you.

Asmāʾ was born 27 years before hijrā.

Tāhḏhib ʾal-Asmā, volume 2, page 329.

Abd ʾal-Raḥmān bin Aʾbi l-Zannād said: “Asmāʾ was 10 years older than Aisha.”

Siyār Aʾlam al-Nubalāʾ, volume 2, page 289.

ʾal-Bidāyah wan Nihāyah, volume 8, page(s) 371-381.

This means that Aisha was 17 years old in the year of hijrā,

according to their chroniclers (and historians), Aisha got married in the second year of hijrā, which would make her 19 years old at that time.
Wewe Mokiti Soma hapa kwenye Paragraph ya 3 inapoanza neno ‘In reality' Usikimbilie Shia sijui Sunni. Huko ni kushindwa Mada.

Anza kisoma hapo kidha uumbuke.
 
Unatumia mpaka shia books [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuhitimishe
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
Acha Uongo Kwa mujibu wa Sahihi Buhari inasema Bi Aisha Alichumbiwa akiwa na miaka 6 au 7, ila tendo la Ndoa halikufanywa hapo. Sahihi Bukhar anasema tendo la Ndoa lilikamilishwa Bi Aisha alipotimiza Umri wa Miaka 9 au 10. Ina Maana Bi Aisha alikuwa tayari ameshavunja ungo(Ameshabaleghe).

Kwakuwa unang'ng'ania hiyo hadith lakini bado inakuumbua. Na kwa kuwa unlazimisha mazingira ya Zamani kipindi cha Mtume Muhammad(SAW) yafanane na Maisha ya leo katika uoaji lakini bado hii taarifa Chini itakuumbua. Haya tuangalie hapa Chini Maelezo ya BBC, kuhusu Wasichana kubalehe. Utaona wanaanza kubalehe na Miaka 8.

TAARIFA(BBC)
Umri wa wavulana na wasichana kuanza kubaleghe umekuwa ukishuka duniani kwa mujibu wa wataalamu

Unalingana kutoka mtu hadi mtu, hatahivyo, inasadikiwa kwa wastani vijana huvunja ungo katika umri wa:

10 - 14 kwa wasichana

12 - 16 kwa wavulana

Wataalamu wametaja kwamba hili linatokana na kuimarika kwa afya na lishe bora katika ulimwengu wa sasa - lakini utafiti umeonyesha pia uhusiano kati ya kunenepa kupita kiasi na vijana kuvunja ungo mapema.

Msichana huambiwa amevunja ungo mapema anapobaleghe kati ya miaka 8-11, na kuchelewa ni kati ya miaka 15 na 19. Kwa wavulana umri stahiki wa vijana kubaleghe ni kati ya miaka 9 na 14.

MWISHO WA TAARIFA, SASA BISHA

Japo nimekupa Chanzo kingine kinachoonesha Bi Aisha aliolewa akiwa na miaka 16 lakini unabisha. Sasa unakomaa na miaka 9 lakini bado unaumbuka. Simbilisi wewe.

Huna unachokijua wewe zaidi ya kufuru tu.
 
Unatumia mpaka shia books [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuhitimishe
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
HABARI NYINGINE HII HAPA KUHUSU WASICHANA KUBALEHE MAPEMA, KUANZIA MIAKA 8 NA KUENDELEA.[emoji116][emoji116][emoji116]

4.4 Kuvunja ungo, kubaleghe na ukomohedhi

Huenda unajua kuwa kuvunja ungo (hedhi ya kwanza), kwa wastani, huanza kati ya umri wa miaka 12 hadi 15 katika bara la Afrika. Hata hivyo, katika hali zingine huenda ianze baadaye kwa kuchelewa kati ya umri wa miaka 17 hadi 20 au mapema kati ya umri wa miaka 8 hadi 9. Baadhi ya mambo yanayoathiri umri wa kuvunja ungo ni ya kibayolojia na mengine ni ya kitamaduni.

Kuvunja ungo (hedhi ya kwanza) huanza hipothalamasi kwenye ubongo inapochochewa kuanza kutoa homoni itoayo gonadotropini katika umri wa takribani miaka 12 hadi 15. Hata hivyo, imethibitishwa kuwa homoni itoayo gonadotropini inaweza kuanza kutolewa kwa umri wa chini kwa wasichana waliostawishwa vyema na kutangamana na mambo yanayozidisha hamu ya ngono kama vile kutazama filamu za ngono na kuongea kuhusu ngono. Huenda hedhi ya kwanza (kuvunja ungo) ichelewe hadi umri wa miaka 17 hadi 20 kwa wasichana wasiostawishwa vyema, na wasiotangamana sana na mambo yanayozidisha hamu ya ngono. Magonjwa yanayoathiri hipothalamasi na tezi ya pituitari au ovari na uterasi yanaweza pia kuathiri umri wa hedhi ya kwanza.

Katika umri wa kuvunja ungo, homoni za uzazi wa kike, estrojeni na projesteroni huwajibika katika kukuza sifa za baadaye za kijinsia kwa mwanamke. Hizi ni:

Ukuaji wa matiti

Upanukaji wa pelvisi

Kuongezeka kwa shughuli za tezi za jasho na za mafuta

Uotaji wa nywele za kinena na za kwapani.

Pamoja na hedhi ya kwanza, kujitokeza kwa sifa za baadaye za kijinsia hudhihirisha kipindi kiitwacho ubaleghe – kipindi cha maisha (hasa kati ya umri wa miaka 10 hadi 15) ambapo viungo vya uzazi hukua kikamilifu na kuweza kutenda majukumu yao. Sifa za baadaye za kijinsia huitwa ‘za baadaye’ kwa sababu hutokea baada ya sifa za mwanzo za kijinsia zinazowatofautisha wanawake na wanaume.

MWISHO WA KUNUKUU.

Sasa nimekupa option mbili ulizosona,
Zinazoonyesha Mtume Muhammad alikamilisha tendo kwa Bi Aishs akiwa na Miaka 15/16 na hiyo unsyoing'ng'ania wewe ya miaka 9/10. Na zote mbili zinakuumbua kwamba Bi Aisha alishabele kwa mujibu wa Taarifa nilizokupa hapo kuhusu kubalehe. Kila kotu ni sahihi.

Mwisho nafunga Mada, Usifananishe miaka 1400 iliyopita ya Mtume Muhammad na zama hizi za karne ya 21 kuelekea 22, kwani kuna siasa nyingi na Wapingaji Mungu wengi.

Japo siasa ni nyingi na Sheria ni nyingi kuhusu utandawazi na vitu vingine na wewe umefosi kufananisha na zama hizi basi umeumbuka.

Kitu usichojua Zamani kipindi cha Mtume, Mwanamke anakuwa Limama hilo Mapema zaidi ya sasa.

Mfano watu wa zamani kipindi cha Nabii Musa walikuwa wakubwa na warefu kweli japo umri Mdogo.

Sasa ujibu maswali yetu. Ya kwako tumeshakujubu.
 
Unatumia mpaka shia books [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuhitimishe
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
Wewe huna uwezo wa Kuufhoofisha uislamu pimbi wewe. Utawababaidha wasiijielewa.

TAARIFA YA KISAYANSI
4.4 Kuvunja ungo, kubaleghe na ukomohedhi

Huenda unajua kuwa kuvunja ungo (hedhi ya kwanza), kwa wastani, huanza kati ya umri wa miaka 12 hadi 15 katika bara la Afrika. Hata hivyo, katika hali zingine huenda ianze baadaye kwa kuchelewa kati ya umri wa miaka 17 hadi 20 au mapema kati ya umri wa miaka 8 hadi 9. Baadhi ya mambo yanayoathiri umri wa kuvunja ungo ni ya kibayolojia na mengine ni ya kitamaduni.

Kuvunja ungo (hedhi ya kwanza) huanza hipothalamasi kwenye ubongo inapochochewa kuanza kutoa homoni itoayo gonadotropini katika umri wa takribani miaka 12 hadi 15. Hata hivyo, imethibitishwa kuwa homoni itoayo gonadotropini inaweza kuanza kutolewa kwa umri wa chini kwa wasichana waliostawishwa vyema na kutangamana na mambo yanayozidisha hamu ya ngono kama vile kutazama filamu za ngono na kuongea kuhusu ngono. Huenda hedhi ya kwanza (kuvunja ungo) ichelewe hadi umri wa miaka 17 hadi 20 kwa wasichana wasiostawishwa vyema, na wasiotangamana sana na mambo yanayozidisha hamu ya ngono. Magonjwa yanayoathiri hipothalamasi na tezi ya pituitari au ovari na uterasi yanaweza pia kuathiri umri wa hedhi ya kwanza.

Katika umri wa kuvunja ungo, homoni za uzazi wa kike, estrojeni na projesteroni huwajibika katika kukuza sifa za baadaye za kijinsia kwa mwanamke. Hizi ni:

Ukuaji wa matiti

Upanukaji wa pelvisi

Kuongezeka kwa shughuli za tezi za jasho na za mafuta

Uotaji wa nywele za kinena na za kwapani.

Pamoja na hedhi ya kwanza, kujitokeza kwa sifa za baadaye za kijinsia hudhihirisha kipindi kiitwacho ubaleghe – kipindi cha maisha (hasa kati ya umri wa miaka 10 hadi 15) ambapo viungo vya uzazi hukua kikamilifu na kuweza kutenda majukumu yao. Sifa za baadaye za kijinsia huitwa ‘za baadaye’ kwa sababu hutokea baada ya sifa za mwanzo za kijinsia zinazowatofautisha wanawake na wanaume.
 
Unatumia mpaka shia books [emoji23][emoji23][emoji23]
Tuhitimishe
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
TAARIFA(BBC)

Umri wa wavulana na wasichana kuanza kubaleghe umekuwa ukishuka duniani kwa mujibu wa wataalamu

Unalingana kutoka mtu hadi mtu, hatahivyo, inasadikiwa kwa wastani vijana huvunja ungo katika umri wa:

10 - 14 kwa wasichana

12 - 16 kwa wavulana

Wataalamu wametaja kwamba hili linatokana na kuimarika kwa afya na lishe bora katika ulimwengu wa sasa - lakini utafiti umeonyesha pia uhusiano kati ya kunenepa kupita kiasi na vijana kuvunja ungo mapema.

Msichana huambiwa amevunja ungo mapema anapobaleghe kati ya miaka 8-11, na kuchelewa ni kati ya miaka 15 na 19. Kwa wavulana umri stahiki wa vijana kubaleghe ni kati ya miaka 9 na 14.
 
TAARIFA(BBC)

Umri wa wavulana na wasichana kuanza kubaleghe umekuwa ukishuka duniani kwa mujibu wa wataalamu

Unalingana kutoka mtu hadi mtu, hatahivyo, inasadikiwa kwa wastani vijana huvunja ungo katika umri wa:

10 - 14 kwa wasichana

12 - 16 kwa wavulana

Wataalamu wametaja kwamba hili linatokana na kuimarika kwa afya na lishe bora katika ulimwengu wa sasa - lakini utafiti umeonyesha pia uhusiano kati ya kunenepa kupita kiasi na vijana kuvunja ungo mapema.

Msichana huambiwa amevunja ungo mapema anapobaleghe kati ya miaka 8-11, na kuchelewa ni kati ya miaka 15 na 19. Kwa wavulana umri stahiki wa vijana kubaleghe ni kati ya miaka 9 na 14.
Utaleta mpaka magazeti yakusaidie ila mtoto atabaki kuwa mtoto , Pedophile atabaki kuwa pedophile

Hitimisho
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
 
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.

Kaka unazunguka mbuyu bure. Jibu la swali namba ( 5 ) Luthu alikuwa muhuni.

Alikuwa anawatamani binti zake toka kitambo.

Maisha ya mjini Sodoma na Gomora yali muharibu
 
First of all, the Shiʾa are known to have an opinion on Aisha, and so, her aḥādith mean nothing.
Shia hapo mpaka wanasema sahih bhukar means nothing Yani hawakiamini na Hadith aliyoiweka kwenye kitabu chake mean nothing

Ndio wewe unawachukua kama watetezi wako 😂😂😂😂
 
Kaka unazunguka mbuyu bure. Jibu la swali namba ( 5 ) Luthu alikuwa muhuni.

Alikuwa anawatamani binti zake toka kitambo.

Maisha ya mjini Sodoma na Gomora yali muharibu
Alafu unaweza ukakuta aliwafukunyua Marinda.
 
Shia hapo mpaka wanasema sahih bhukar means nothing Yani hawakiamini na Hadith aliyoiweka kwenye kitabu chake mean nothing

Ndio wewe unawachukua kama watetezi wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshatoa ushahidi hapo juu kwamba uchukue chochote kile iwe miaka 9 au vyovyote vile bado unaumbuka tu. Acha kulazimisha.
 
Kuna uwezekano mkubwa Lutu asingetengetmbea na binti zake basi hata mudy msingeweza kumuona
 
Shia hapo mpaka wanasema sahih bhukar means nothing Yani hawakiamini na Hadith aliyoiweka kwenye kitabu chake mean nothing

Ndio wewe unawachukua kama watetezi wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishajibiwa usitafute sababu za kipuuzi. Huko ni kushindwa Mada.

Au huji kuwa Dini zenu Roma, Protestant na Usabato Mnapondana wenyewe kwa Wenyewe.

Mara Msabato hali Nguruwe huku Mroma na Walokole wengine wanakula

Mara Msabato anasali jumamosi kama Sabato yake huku wengine wanasali jumapili ndio kama Sabato yao.

Huko kwenu kuna Madudu Mengi kwahiyo usitake tufike huko hii sio mada. Chamsingi nishakupa Majibu na yanayojitosheleza
 
Kuna uwezekano mkubwa Lutu asingetengetmbea na binti zake basi hata mudy msingeweza kumuona
Si uneona wewe ulivyokuwa hujielewi, unaongea vitu gani wewe ambavyo hata havieleweki.

Wakristo wenzako watakucheka, au Omba wakufundishevuongo wenu mnaoutumiaga kanisani.

Au Kanisani ndio jinsi mnvyofundishwa hivyo.
 
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Nadhani ukitaka ufuate maandiko yalivyo kwenye biblia itafika mahali tutamkufuru mungu ,kiswahili Cha biblia hakuna mtu ameshawahi kuielewa ,kikubwa Baki na Imani yako na unachokiamini kwani ndio kitakachokukomboa.

NOTE: ALIYEMRUHUSU PADRI KUTOKUOA NA KUNYWA POMBE KIASI NDO HUYO HUYO ALIYE MRUHUSU SHEHE KUSEMA POMBE MBAYA NA KUMRUHUSU KUOA WAKE WANNE(4)
Dini ngumu sana sio kama hadithi

Niwasilishe
 
Ahsante tunashukuru kwa Maoni
 
Ukishajibiwa usitafute sababu za kipuuzi. Huko ni kushindwa Mada.

Au huji kuwa Dini zenu Roma, Protestant na Usabato Mnapondana wenyewe kwa Wenyewe.

Mara Msabato hali Nguruwe huku Mroma na Walokole wengine wanakula

Mara Msabato anasali jumamosi kama Sabato yake huku wengine wanasali jumapili ndio kama Sabato yao.

Huko kwenu kuna Madudu Mengi kwahiyo usitake tufike huko hii sio mada. Chamsingi nishakupa Majibu na yanayojitosheleza

Hitimisho
-Hakuna binadamu ambae ana miaka 6 akawa ameshakuwa mtu mzima
- Pedophile alikuwa na miaka 53 (tofauti ya umri kati ya pedophile na aisha ni 47 , ki uhalisia aisha ni mjukuu wa pedophile)
-utoto anaozungumzia aisha, aliposema alikuwa anacheza na mwanasesere na watoto wenzake ni utoto wa umri na si vinginevyo
 
Ukishajibiwa usitafute sababu za kipuuzi. Huko ni kushindwa Mada.
Ni vizuri tumejua kwa Nini ulikiwa unapinga vitabu , maana nalikuwa nashangaa sana kwa nini kitu kipo mbele ya macho yako unapinga

Sasa ulivyoweka nukuu Sahih bhukar mean nothing ndio tumeelewa sasa

Mpaka kule Kwenye sayansi ya Allah sperm kuwa damu iliyoganda , mashia walikuwa wanapinga maandiko kumbe ndio nimepata picha rasmi
 
Walijulikana tu si unajua Mimba ni Miezi 9, sasa miezi yote hiyo walikuwa wanaulizwa hii mimba baba yao ni nani. Baadae walivyojufungua Watoto wakafanana na Lutu, wadau wakajua kumbe mlitenbea na Dingi yenu!!!
😂😂😂Walikuwa wanaulizwa na kina Nani?
 
Back
Top Bottom