hakuna ukakasi hapo. Biblia iko tofauti na vitabu vingine vya dini. haifichi uovu wa mtu. Watoto waliozaliwa hapo ndiyo jamii za wamoabu na waamaleki ambapo ukisoma pentachuchs na hata vitabu vya samweli na wafalme utaona ni mojawapo ya jamii ambazo ziliwasumbua sana Waisraeli, na Mungu aliwaamuru Waisraeli wawaangamize ikiwa ni pamoja na wana wa kanaani-wahiti,wahivi, wayebusi nk.
issue ya lutu inaonyesha jinsi incest-hasa paternal na maternal ilivyo mbaya isivyokubalika mbele za Mungu. Na zao lake linaweza kuwa zao la watu waovu sana. Maana jamii hizo ndizo zilikuwa zinatoa hata watoto wao kafara kwa kuwachoma moto kwa miungu wao kemoshi-mungu wa wamoabu na milkomu wa amoni.
by the way jamii hizo ndiyo present day east of jordani river-nchi ya jordan na baadhi ya palestina
Wewe ndio umesema ukweli kwamba hizi jamii bado zipo hadi leo. Sio hao Wakristo wenzako waongo waongo akina Mokiti na huyo Gentle eti wanasema hicho kizazi kilifutika kwa sasa hakipo. (Waamoni na Wamoabu wapo mpaka leo huko Jordan, mkristo mwenzenu kawasanua ukweli)
Embu fikirieni fact ndogo tu hii hapa,
Wakati israeli anapigana na Wamoabu, waliokuwa wanaenda vitani (au kwenye makutano ya vita) walikuwa ni wanaume waliobalehe tu.
Wanaume hao wa Waisrael na Wamoabu ndio waliopambana. Sasa vipi kuhusu wanawake wa Wamoabu ambao hawakuenda vitani? Si walibaki wakaendekeza kizazi chao.[emoji23][emoji23][emoji23]. Vipi kuhusu Watoto ambao hawakuenda vitani si walibaki wazima wakakua na kuendeleza kizazi chao cha Moabu. Na kuna wale vijana waliobaki ambao hawakubalehe nao si walibaki hawakwenda vitani si waliendeleza kizazi cha Moabu. Haya vipi kuhusu Vilema wa kike na wakiume wakimoabu na si walibaki wakiendeleza kizazi!!!
Mnapokuja kutueleza sisi Mje mkiwa mmejipanga vizuri sio mnakuja na ubabaishaji wewe Mokiti na Gentle.
Ukisoma WAAMUZI 3:12–30 inaelezea jinsi Waisraeli walivyokengeuka na kutiwa mikononi mwa mfalme wa Wamoabi aliyeitwa Egloni. Na wakaanza kutawaliwa.
Baadae Biblia yenu inasema akatokea Ehudi kuja kuwasaidia hao Waisraeli alienda kumuua mfalme Egloni na wakawapiga wanaume wa Wamoabu pekee katika vita na wakarudi kwenye utawala wao. Mi nitanukuu WAAMUZI 3:29 kuonyesha ni Wanaume pekee wapigana vita wa Kimoabu ndio waliopambana vitani.
WAAMUZI 3:29 inasema,
Waamuzi 3:29 ( Wakati huo wakapiga katika Wamoabi watu waume wapata kama elfu kumi, ambao wote walikuwa wanene, na wote mashujaa; hakupona hata mtu mmoja.)
Sasa ona hao wapigana vita pekee ndio waliopigwa, biblia haioneshi wanawake au watoto kwamba walipigwa. Unapataje Nguvu ya kusema kizazi kilifutika wewe MOKITI.
Mkikaa kanisani kwenu ulizeni Maswali vizuri sio kumezeshwa historia za Uongo tu. Mimi nitakuumbua hapa Mpaka Basi.