GentleGiant
JF-Expert Member
- Sep 22, 2021
- 585
- 546
Sasa unapingana na Biblia sasa sio mimi? Kwani Biblia imesema wale mabinti wametembea na baba yao kwa ajili gani? Kwamba walimtamani au? Lengo la wao kutembea na baba yao ni nini? Mada umeileta mwenyewe halafu unajikanyaga sasa. Bro naona huna jipya .Acha uongo wewe,
Eti Oh! "Lakini pia watu wa kale walikuwa wanajali sana origin zao, the reason why walitembea na baba yao ni kwamba kizazi kisipotee sasa kama hilo lilikuwa ndo lengo kwanini wafiche baada ya kuwa watoto wamezaliwa? So they themselves told the stories"
Huo ulioandika ni Uzushi wa kiwango cha Lami.
Wote tunafahamu kuwa asili ya Nabii Ibrahimu ni Misipotania(Uru wa Wakardayo), ndio IRAQ ya sasa. Na huyu ibrahimu ana undugu na Lutu yani ni mpwa wake. Hivyo kwa vyovyote vile naye Lutu anatokea Uru wa Wakardayo Misipotania(Iraq ya sasa)
Sasa baada ya Lutu na binti zake kuwa Soari, hao binti zake Lutu walishindwa kwenda Uru wa Wakardayo Misipotania(Iraq) kufuata watu wa jamii yao ili waolewe na waendeleze kizazi na baada ya hapo wakitaka warudi huko soari? Au Yordani?
Biblia kuhusu Lutu Kugonga Binti zake ni uongo na Uzushi wa Biblia na hamuhutaki kuukubali.
Kama unasema Biblia inadanganya hii sasa ni mada mpya kabisa fungua thread tuje tuitetee ila uwe tayari maana pia Quran itakuwa under attack and we are prepared.
I will stop here now.