mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sheikh Hawa watu ni wagumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu tunapishana level ya maarifa lakini whether ni Nabii or not it doesn't change anything. The story was told as it happened. What they did was wrong and God didn't approve and it has been shown in History of Ammonites and Moabites.Ila Wakristo wenzako wanakataa hakuwa Nabii
Black men lack collective intelligence, which is the ability of a crowd to make wise, brilliant decisions and execute it. Individually black men are intelligent and smart, some are even highly gifted intellectually, but evidence has not pointed us to any instance where groups of Black men have made smart decisions that positively affect and improve their quality of life.I always find myself sorry for whoever underestimate Blackman everyone thinks to be better than the other and you know what that's actually the meaning of stupidity. wrong Quotation again from Xin Jinping
Yesu si mungu ,YESU KRISTU ni MUNGU.Unamzungumzia mungu yupi hapo,mungu muumba wa vitu vyote au una mzungumzia yesu, maana wengine kati yenu huyo yesu mnamuita mungu,
"utasikia yesu ni mungu"
Nimeweka utofauti wa Allah na Jehovah kwa kutumia maandikoSisi kwetu hakulala na Binti zake ndio mana ni Nabii
Pia usomaji mzuri wa Biblia ni ule ambao msomaji anasoma huku akiwa na hali ya kupambanua mema na mabaya. Tena asome kwa ajili yake binafsi na siyo kumsomea mwingine au kwenda kushindana na kutafuta mapungufuBiblia inaweza gawanywa mara nne namna ya kuisoma ili uelewe vizuri,inaweza gawanywa katika makundi kama ifuatavyo
1.Nyakati za Ujinga(Anguko la mwanadamu)
Hiki nikipindi kabla Mungu hajaweka sheria kali ya kumuongoza binadamu ndio maana matukio kama ya Lutu kuzaa na binti zake haikuwa shida ni makusudi tu ya Mungu mwenyewe na hicho nikipindi kabla ya torati.
2.Nyakati za sheria(Torati) ya Musa Mungu alikuwa akiwaandaa watu wake waachane na mambo machafu waliyokuwa wakitenda utumwani ili wafike caanan wakiwa safi, Ndip tunaona katazo la kula baadhi ya wanyama lakin nyuma ya hapo watu walikuwa wanakula hovyo tu.Na ukisoma Walawi 18:6 nakuendelea utaona ni chukizo kwa Mungu kufanya kama Lutu.
3.Neema kwa mataifa
Hiki ndicho kipindi tulichonacho sasa ambapo Injili inahubiliwa hado uchochoroni, yaani watu wa mataifa ndio wanashauku kubwa zaidi kumtafuta na kumhubiri Kristo kuliko hata ilikotokea hiyo imani..Tunaishi kwa neema ya kristo kila dhambi ina msamaha kasoro kukufuru roho mtakatifu.Lakin enzi ya Musa mzinzi alipigwa mawe hadi kifo.
4.Nyakati za Ufufuo na kunyakuliwa
Ndicho kipindi kinachokuja mbele yetu..
Kwahiy ili uisome Bible vizuri kwanza ujue mambo hayo....
Actually wanafosi iwe hivyo ili wapate aunthencity ionekane kuwa tunaabudu the same God ila tumekengeuka kitu ambacho sio cha kweli.Tatizo waislamu wanafananisha biblia na Quran lakin ni vitabu viwili tofauti
Kwanza ujue Kuna watu walioegemea dini na Kuna watu wanaofuata Imani, hawa ni watu tofauti wanaolinganishwaIfike mahali tuwe na ustaarabu na kuheshimu dini za watu n jambo la ajabu sana TANZANIA leo et mtu unakaa mbele za watu ati unakosoa vitabu vya dini flani mi sioni km kun umhm wa kufnya hvyo cha mxingi kil mmj aamin kwa iman yake n misingi anayoon yy itamp uzima na itamfaa #UDINI_sio inshu nchi zinapgan kila sku lkn nchi yetu ina mixingi mizur wew unakaa unaanza kukosoa au kutfta madhaifu ya dini as if huna kazi za kufanya ifike mahali tutafte pesa na tutunze aman ya nchi yetu hayo mmb hayatatufikisha popote
Tena kamuoa akiwa na miaka 6 akashiriki naye tendo akiwa na miaka 9.Nimeweka utofauti wa Allah na Jehovah kwa kutumia maandiko
Jehovah anachukia dhambi na biblia imeandika mpaka maisha ya dhambi ya watu wengi tu kina Daudi kina Suleiman , na unaona mfano Daudi kafanya dhambi na adhabu unaiona
Allah kwake hakuna dhambi
Ndio maana unaona wewe apo amekufanya uone kawaida kabisa kama kisa Cha Muhammad kuoa mtoto wa miaka 6 Yani waislamu mnaona ni sawa na Allah pia
Dhambi kwa Allah Kwa mtume wake hakuna , NDio maana unaona child molester hakuna karipio la Allah wala hakuna kutubu kwa MuhammadTena kamuoa akiwa na miaka 6 akashiriki naye tendo akiwa na miaka 9.
Imagine a full grown man at night anaingia kwenye hema ya katoto ka miaka 9 na kushiriki nako tendo. Just imagine.
Biblia haijaweka wazi mambo mengi sana mzee, Kuna mambo mengi sana hayajaandikwa kwenye Biblia ambayo yalipaswa pia kuandikwa ila yameandikwa haya machache tu kwa ajili ya msomaji kuamini na pia kumpatia mwongozoHapana mzee,Lutu alikuwa ni jamaa tu wa Ibrahimu,kwanza pia hakuna Biblical records zikizungumzia Abrahamu kumfundisha mtu yeyote much less Lutu. Na hata kama angekuwa amefundishwa na Abraham bado haimfanyi kuwa nabii.
Wanatumia nguvu kubwa sana na hii inferiority complex ilianzia kwa mtume MuhammadActually wanafosi iwe hivyo ili wapate aunthencity ionekane kuwa tunaabudu the same God ila tumekengeuka kitu ambacho sio cha kweli.
Christianity and The Bible never changed.Stories were told as they happened.
Jamaa alikua sex predatorAisha alikuwa anaona kinyaa wanawake kuja kujipanga kwa muhammad awapige mkuyati , Allah ndie kashusha Aya kuruhusu hilo ,
Aisha akawa anamwambia Muhammad naona mungu wako anajali Sana 😂 dudu Yako 😂😂😂
I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?" But when Allah revealed: " Muhammad can postpone whom you will of them , and you may receive any of them whom you will; and there is no blame on you if you invite one whose turn you have set aside (temporarily).' (33.51) I said (to the Prophet), "I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
Hakuna zaidi kati ya Lutu na manabii wa siku hizi, mtu ni mtu tu kwa kuwa mtu ni roho ina nafsi inaishi katika mwili. Kuona Malaika yeyote yule anaweza kuona ila kuelewa huyu ni Malaika inategemea sana na kiwango cha kiroho cha mtu husika na hasa hasa ufahamu alionaoHivi Manabii wa Sasa na Lutu nani ni zaidi?
Hivi hujui Lutu alitembelewa mpaka na Malaika? Manabii wa sasa wametembelewa na Malaika gsni?
Na tena hutegemea sana kusudi lililokusudiwa mtu huyo kumwona Malaika. Kama ni msomaji wa Biblia utakuwa umenielewa bila shakaHakuna zaidi kati ya Lutu na manabii wa siku hizi, mtu ni mtu tu kwa kuwa mtu ni roho ina nafsi inaishi katika mwili. Kuona Malaika yeyote yule anaweza kuona ila kuelewa huyu ni Malaika inategemea sana na kiwango cha kiroho cha mtu husika na hasa hasa ufahamu alionao
Ni kweli na ndo maana nakataa kumpa mtu status ambayo Biblia haikumpa. Kama Mungu angetaka tumtambue mtu kama Nabii angeainisha tu hata kwa mstari mmoja. Though sijamuondolea status ya kuwa mtu mwema.Biblia haijaweka wazi mambo mengi sana mzee, Kuna mambo mengi sana hayajaandikwa kwenye Biblia ambayo yalipaswa pia kuandikwa ila yameandikwa haya machache tu kwa ajili ya msomaji kuamini na pia kumpatia mwongozo
Ungejiuliza kwa Adam. Je ni sahihi kumwoa mtu aliyetoka ubavuni pake?Habarini wana JF,
Tuanze,
(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.
MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.
Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.
Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)
Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!
Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.
MASAWLI
(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?
(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?
(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?
(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?
(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?
(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.
1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)
Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.
Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-
“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”
Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.
MASWALI
(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?
(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?
Naombeni Majibu,
Nawasilisha.