Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Yesu Kristu ndio nani tena? Mbona unatunfa maandiko yako?Yesu si mungu ,YESU KRISTU ni MUNGU.
Nimeweka Records sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu Kristu ndio nani tena? Mbona unatunfa maandiko yako?Yesu si mungu ,YESU KRISTU ni MUNGU.
Nimeweka Records sawa.
Adam alimlala hawa baada ya kufikisha umri wa miaka mingapi?Tena kamuoa akiwa na miaka 6 akashiriki naye tendo akiwa na miaka 9.
Imagine a full grown man at night anaingia kwenye hema ya katoto ka miaka 9 na kushiriki nako tendo. Just imagine.
Hapo mnapokamamaa kuleta ushahidi wa ubaya wa Muhammad mnaniacha hoi kitu kimoja tu. Kutumia kingereza.Makachu Allah Kwa Muhammad alikuwa analeta mpaka verse kumruhusu kufanya dhambi
Muhammad karuhusiwa kufanya uzinzi na Allah akampa kabisa aya mwanamke yeyeto aende kwa muhammad akafanye ngono nae, Aisha akawa akiwaona wamejipanga wanasubiria kupigwa show anasema ni Disgusting
I used to look down upon those ladies who had given themselves to Muhammad (ﷺ) and I used to say, "Can a lady give herself (to a man)?" But when Allah revealed: " Muhammad can postpone whom you will of them , and you may receive any of them whom you will; and there is no blame on you if you invite one whose turn you have set aside (temporarily).' (33.51) I said (to the Prophet), "I feel that your Lord hastens in fulfilling your wishes and desires."Sahih al-Bukhari 4788
Acha uongo wewe!Biblia haijaweka wazi mambo mengi sana mzee, Kuna mambo mengi sana hayajaandikwa kwenye Biblia ambayo yalipaswa pia kuandikwa ila yameandikwa haya machache tu kwa ajili ya msomaji kuamini na pia kumpatia mwongozo
Mnapoteza muda, achaneni nazo fanyeni kazi mkuu!Na ndio tunajadili huko kuletewa. Usisimamishe mjadala kuendelea kisa dini tumeletewa.
Soma aya nzima ndipo unapata maana ya hilo neno.Kila mstari kwenye biblia una maana tofauti. Huwezi kusoma biblia yoye kisha uoate maana moja.
Yaani mfano suala la Luttu kutembea na watoto wake hadi kuwapa ujauzito bado unasema ni coded book?Bible is much deep coded book, kila kilichopo kipo kwasababu maalum na siri za Ajabu note this!
Kwamba watu walilaaniwa kwa makosa ambayo sio yao?Biblia haisemi kuwa hicho kitendo Ni kitendo kizuri,ndio maana hicho kizazi kilichotokea hapo Ni kizazi kilicholaaniwa.ndio maana huko mbeleni biblia inakataza mahusiano ya kimaprnzi Kati wa ndugu wa karibu
Kwa wenzetu wazungu ba waarabu husikii haya mamboEmbu Waafrika Mjitambue haya mashindano ya kidini yamewapa faida gani Ina maana hakuna kitu Cha kujadili kabisa ni Dini Biblia na Quran
Hii ni sawa tu na quraan ilivyosema Jua huwa linazama matopeni wakati wa usiku.Yaani mfano suala la Luttu kutembea na watoto wake hadi kuwapa ujauzito bado unasema ni coded book?
Hivi huwa mnalishwa nini makanisani hata msifungue bongo zenu kwa mambo yanayoonekana?
Kwamba biblia imeandikwa kwa mafumbo kama taarabu kwa faida ya nani?
Maandiko yote yapo clear ili binafami yeyote anaposoma ama kuambiwa aweze kuelewa.
Yaani Mungu akuwekee mafumbo halafu usipoelewa akuadhibu tena kwa kitu ambacho hakikueleweka?
Hao watoto waliozaliwa nje ya utaratibuKwamba watu walilaaniwa kwa makosa ambayo sio yao?
Kama waliolaaniwa ni Lutu na watoto zake wawili aliolala nao sawa, ila kama waliolaaniwa ni pamoja na watoto waliopatikana baada ya Lutu kuzaa na wanae basi sio sahihi.
Hao watoto waliozaliwa kulaaniwa ni kuwaonea maana hawakutaka kuzaliwa hivyo.
Naomba nieleweshe hapa waliolaaniwa ni kina nani?
Ukijadili maendeleo hakuna anayechangia watu wanapenda mada za "kula tunda kimasihara" huko ndo kuna changamkaKwa wenzetu wazungu ba waarabu husikii haya mambo
Ndugu Malyenge mbona kila kitu unakataa kwa jazba na ashiki nyingi. Nini shida??!!Uongo! Mungu hawezi kufanya jambo chini ya kiwango!!
Competition zipo nyingi kuna Simba na Yanga,Dar na Arusha USA Ukraine v NATO Dar v Nairobi CCM v Chadema Ruto v Odinga so unachagua uruke na mjadala upi full demokrasia.Embu Waafrika Mjitambue haya mashindano ya kidini yamewapa faida gani Ina maana hakuna kitu Cha kujadili kabisa ni Dini Biblia na Quran
Nina kitabu cha kingereza wewe kama unachakiswahili kinacho kuzuia ni kipi?Hapo mnapokamamaa kuleta ushahidi wa ubaya wa Muhammad mnaniacha hoi kitu kimoja tu. Kutumia kingereza.
Kwanini hamtaki kuchukua maandishi yaliyoandikwa kwa lugha ya kiswahili? Ubaya wa Muhammad unapatikana kwa lugha ya kingereza tu? Kuna nini kimo kwenye hayo maandiko? Au maandiko ya kiswahili ubaya wa Muhammad hakuna?
Usijifiche kwenye lugha , nimeweka surah na verse number vipo wazi kabisaAya za kizungu? Mbona umeshibdwa kuweka za kiswahili?
Kwangu mm nasema "HAKIKA MUNGU WETU YUPO(YU HAI) BILA SHAKA YEYOTE PHYSICALLY AND EMOTIONALLY LAKINI HIVI VITABU TAKATIFU(VIWILI) TULIVYOLETEWA VINA UBINADAMU NDANI YAKE TENA MWINGI TU"Habarini wana JF,
Tuanze,
(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.
MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.
Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.
Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.
Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.
Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.
Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)
Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!
Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.
MASAWLI
(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?
(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?
(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?
(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?
(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?
(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.
1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)
Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.
Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-
“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”
Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.
MASWALI
(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?
(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?
Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Saf Sana mh mbagaKila siku mada kuonyesha Biblia haipo sawa, ww amua kufuata unachoona kipo sahihi afu kufuate hicho achana na mambo unayoona hayafai