Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,659
Huo ni uongo. Ina maana Mungu hakuwa na fikra kuhusu adam atakuwa peke yake hapa duniani mpaka alivyomuumba ndio akagundua?Upumbavu ni Nini ? Kwa wewe unavyoelewa... Hivi Makosa ya Mungu unaweza kuyagundua wazi wazi ?..... Nikupe mfano: Adam hakujua kuwa Mungu alikosea kumuweka peke ake Eden ila Mungu mwenyewe kwa Mara ya kwanzA akaona si vema Adam awe peke ake.
Vp ulijua kuwa alifanya kosa ?
Bible ngumu kwa kichwa panzi.
#Vladdy anaviashiria vyetu vile
View attachment 2383081
Niwaeleze kuwa ukiona andiko linakasoro hilo hakuandika Mungu.