Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Huo ni uongo. Ina maana Mungu hakuwa na fikra kuhusu adam atakuwa peke yake hapa duniani mpaka alivyomuumba ndio akagundua?
Niwaeleze kuwa ukiona andiko linakasoro hilo hakuandika Mungu.
 
Hiyo laana wapi imesemwa? Unajitungia stori yako[emoji15]
 
Hapana!!!
 
Ni kisingizio cha kuficha udhaifu. Kwa nini hutaki kumjibu kama kweli una hoja?
 
Biblia haifundishwi kwa kutoa mistari au mstari mmoja then uutafsiri
Kila mstari kwenye biblia una maana tofauti. Huwezi kusoma biblia yoye kisha uoate maana moja.
 
Quran ya kwenye google[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Africa tuna dini gani?
 
Uongo! Mungu hawezi kufanya jambo chini ya kiwango!!
 
Makachu jibu huu uchafu wa muhamed na allah.
Uongo wa waandishi. Hakuna jambo kama hilo.
Ukitaka kuthibitisha angalia lugha. Pale pachafu ametumia English. Na pale safi ametumia Kiswahili. Ni mkakati tu wa kumchafua.
 
Biblia ni gazeti kweli. Imeandikwa na watu!
 
Nimekata na ku hit point, sio kujaza server , NDio maana nimeweka nukuu vizuri kabisa

Nimekujibu Kwenye biblia imeandika mpaka dhambi zilizofanyika na adhabu zake
Tofauti na Koran Muhammad anashushiwa Aya kumsapoti kufanya dhambi
Aya za kizungu? Mbona umeshibdwa kuweka za kiswahili?
 
Unamtetea? Chukua kifutio ufute
 
Ushaambiwa alinywesha mvinyo akalewa!!hivyo hakujua kinachoendelea' na hapo baba hana kosa kosa liko kwa ma bint genye iliwazidi
Katika waktristo wote duniani wewe ndio unajitambua. Umejibu kitaalam. Ki quran kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…