Maandiko haya mbona kama yana ukakasi na mashaka makubwa?

Hivi Manabii wa Sasa na Lutu nani ni zaidi?

Hivi hujui Lutu alitembelewa mpaka na Malaika? Manabii wa sasa wametembelewa na Malaika gsni?
Lutu wa kwenye bible ni character tofauti na lutu wa Koran
 
Ni
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Ni sawa ubakwe afu tukulaumu,

Au ulitaka lutu akut©mb€ wewe
 
Asalam alaikum.

Hapo kabla ya ujio wa mtume wetu mtukufu Muhammad (saw) pombe ilikuwa inatumika namaanisha haikukatazwa,ila baada ya kuja kuna vitu baadhi viliangaliwa faida na hasara zake hapa ulimwenguni na kuonekana ya kuwa pombe ni haramu.
 
Makachu jibu huu uchafu wa muhamed na allah.
Nijibu nini? Kaandika vitu vingi anakatakata Aya tu.

Mfano Sentensi kamili inasema:

“Juma amefumwa na Baba Johari, akimgegeda Mwanae"

Sasa yeye anakata anachukua

“Baba Johari akimgegeda Mwanae"

Asome Aya vizuri kwa mtiririko ili apate maana. Asome kwa mtiririko kwakuanzia juu alafu aone anavyoumbuka
 
Jambo linalowaumiza wa ISLAM wengi kama sio wote ni kuwa DINI ya KIKRISTO ndio dini pekee halili duniani. Na kwamba baraka nyingi zipo kwa Jews + Christians.

Hivyo miaka nenda rudi mnajaribu kwa nguvu kubwa kuichafua DINI. Licha ya Kwamba Quran inawatambua Wakristo+ Jews (wayahudi). Na mafundisho yenu mengi mmetoa kwenye BIBLIA.

Shida ni kwamba Waislam wengi ni wafwata mkumbo na sio wasoma dini na kuielewa.

Kwa huu ujumbe wako, umechukua BIBLIA na kuanza kuisoma kama GAZETI. na unakuja na tafsiri zako binafsi.

Kusoma na kuielewa BIBLIA inakuhitaji Uwe na ROHO MTAKATIFU apate kukuongoza uielewe. Kama Quran mnaisoma kama kitabu cha kawaida kwa BIBLIA haipo hivyo.

UKITAKA KUJIFUNZA NA KUJUA MISINGI YA KIKRISTU TAFUTA KANISA AU MTU WA DINI AKUELEWESHE. SIO KILA KUKICHA MNATAFUTA MANENO YA REJAREJA.

CHRISTIANITY IS LOVE
Endelea Kujidanganya tu
 
Asalam alaikum.

Hapo kabla ya ujio wa mtume wetu mtukufu Muhammad (saw) pombe ilikuwa inatumika namaanisha haikukatazwa,ila baada ya kuja kuna vitu baadhi viliangaliwa faida na hasara zake hapa ulimwenguni na kuonekana ya kuwa pombe ni haramu.
Ila Koran imesema kwa zabibu mnatengeza pombe kali
 
Neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuuzi bali kwetu tunaookolewa ni nguvu ya Mungu.

Wewe umeshapotea na na hutaki/ huna nia ya kuitafuta njia ya kweli kwa hyo HUWEZI KUIELEWA BIBLIA umepofushwa fikra ni mmoja kati ya watu wanaotazama lakini hawaoni, wanasikia lakini hawaelewi.
Uko Gizani Ondoka huko
 
Hatuzungumziii Makosa hapa, tunachozungumzia hapa ni hilo neo upumbavu na Mungu kufananishwa na upumbavu na kuitwa Mdhaifu.

Kumbuka Mungu hafananishwi na kitu chochote.

Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.
Ndugu hapo kwenye Wakorinto labda hukuielewa tu hiyo lugha. Mtume Paulo hakumaanisha kwamba Mungu ni mpumbavu. Anamaanisha yapo mengi ya hekima ya kimungu ambayo kwa wanadamu huonekana ni upumbavu. Mfano umwelezee mwanasayansi kwamba Mungu ameumba vitu vyote from nothing. ataona huo ni upumbavu, japo yeye mwenyewe hana jibu la maana kuhusu the origin of matter.
 
Nijibu nini? Kaandika vitu vingi anakatakata Aya tu.

Mfano Sentensi kamili inasema:

“Juma amefumwa na Baba Johari, akimgegeda Mwanae"

Sasa yeye anakata anachukua

“Baba Johari akimgegeda Mwanae"

Asome Aya vizuri kwa mtiririko ili apate maana. Asome kwa mtiririko kwakuanzia juu alafu aone anavyoumbuka
Njoo chambua moja moja , hakuna kuumbuka , nimekuwekea mpaka surah na verse number
 
Habarini wana JF,

Tuanze,

(A) Ukisoma MWANZO 19:30—38 kuna ukakasi mkubwa na mashaka makubwa juu ya hiyo Aya. Acha niinukuu.

MWANZO 19:30—38
Mwanzo 19:30-38 ( Lutu akapanda kutoka Soari akakaa mlimani, na binti zake wawili pamoja naye, kwa sababu aliogopa kukaa katika Soari. Akakaa katika pango, yeye na binti zake wawili.
Yule mkubwa akamwambia mdogo, Baba yetu ni mzee, wala hakuna mtu mume katika nchi atuingilie kama ilivyo desturi ya dunia yote.

Haya, na tumnyweshe baba yetu mvinyo, tukalale naye, ili tumhifadhie baba yetu uzao.

Wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka huyo mkubwa akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Ikawa siku ya pili, mkubwa akamwambia mdogo, Tazama, nimelala jana na baba yangu, tumnyweshe mvinyo tena usiku huu, ukaingie ukalale naye.

Wakamnywesha tena baba yao mvinyo usiku ule, akaondoka mdogo akalala naye, wala yeye hana habari alipolala wala alipoondoka.

Basi hao binti wote wawili wa Lutu wakapata mimba kwa baba yao.
Yule mkubwa akazaa mwana, akamwita jina lake Moabu; huyo ndiye baba wa Wamoabi, hata leo.

Na yule mdogo naye akazaa mwana akamwita jina lake Benami; huyo ndiye baba wa Waamoni hata leo.)

Ukisoma hiyo aya kuna mashaka Makubwa ya Nabii Lutu kudhalilishwa kiasi hicho, inawezekanaje Nabii Lutu katembea na Binti zake ndani ya Biblia na kuwapa Mimba? Tena alinyeshwa mvinyo(POMBE) kwa siku mbili mfululizo na kuwatombaz binti zake na kuzaa nao. Hii nadhani ni laana na hiki kizazi ni cha laana. Sasa sijui Bible nzima itakuwa na Laana au itakuwaje!!!

Kuna watu humu walikuwa wanamkashifu Mtume Wetu kwa kumuoa Bi Aisha, tena alimuoa kwa Ndoa kabisa. Na miaka hiyo Bi Aisha alikuwa ameshabalehe tayari.

MASAWLI

(1) JE, NI SAHIHI NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE?

(2) HUYU NABII LUTU(NDUGU YAKE NA NABII IBRAHIMU) HAMUONI KAMA AMEDHALILISHWA NDANI YA BIBLIA?

(3) KWANI SIKU YA KWANZA KATEMBEA NA MKUBWA NA HAKUSHTUKA NA KESHO YAKE SIKU YA PILI AKATEMBEA NA MDOGO?

(4) MTUME MUHAMADI KUMUOA BI AISHA NA NABII LUTU KUTEMBEA NA BINTI ZAKE NANIVYUKO SAHIHI?

(5) SWALI LA NYONGEZA:
MTU AKIWA AMELEWA KIASI KWAMBA HAJITAMBUI, ANAWEZAJE KUSIMAMISHA MASHINE NA KUSHIRIKI TENDO?

(B) Pia ukisoma 1 WAKORINTHO 1:25 utakutana na ukakasi mkubwa wa MWENYEZI MUNGU kufananishwa na UPUMBAVU au tuseme MWENYEZI MUNGU ameitwa MPUMBAVU KABISAAAA ndani ya BIBLE. Acha niinukuu Aya.

1 WAKORINTHO 1:25
1 Wakorintho 1:25 (Kwa sababu upumbavu wa Mungu una hekima zaidi ya wanadamu, na udhaifu wa Mungu una nguvu zaidi ya wanadamu.)

Kwa upande wangu huo ni udhalilishaji Mkubwa wa Mungu ndani ya Biblia kwa kuambiwa Mpumbavu na pia kuambiwa ni Mdhaifu.

Chukulia uko Sebuleni na Baba yako Mzazi, alafu ghafla wakati mnaongea Mwambie hivi:-

“Unajua Baba wewe ni Mpumbavu ila upumbavu wako sio sawa na huyo jirani yetu Muuza duka hapo nje”

Alafu baada ya hapo msikilizie Baba yako atakavyokasirika, Sasa chukulia ndio anaambiwa Mungu katika hilo andiko hasira zake na gadhabu zitakuwa mara ngapi ya Baba yako na huo Moto wake siku ya Mwisho sijui itakuwaje.

MASWALI

(6) NI SAHIHI MUNGU KUFANANISHWA NA UPUMBAVU?

(7) JE KWELI MUGU NI MPUMBAVU NA NI DHAIFU?

Naombeni Majibu,
Nawasilisha.

Ushaambiwa alinywesha mvinyo akalewa!!hivyo hakujua kinachoendelea' na hapo baba hana kosa kosa liko kwa ma bint genye iliwazidi
 
Ukiona mtu mpaka leo hii bado anawaza mambo ya hizi Dini za kuletewa ujue anakabiliwa na umasikini uliokithiri na Elimu yake inatia mashaka. Binafsi naamini Dini zetu za asili Afrika ni bora zaidi kuliko hizi Dini zilizokuja na Majahazi.
Tafuta pesa ndugu, mambo ya Dini achana nayo yatakupotezea muda.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Dini zetu za asili za ku-sacrifice Albino na Walemavu zina ubora gani ukilinganisha na hizi unazodai za kuletewa?

Dini zetu zilizokuwa zinasuggest chief akizikwa azikwe na mtu hai kwa ajili ya kumlinda na kumuhudumia? Hebu nieleze ubora wake over hizi 'zakuletewa' labda na mimi nijue.
 
Ndugu hapo kwenye Wakorinto labda hukuielewa tu hiyo lugha. Mtume Paulo hakumaanisha kwamba Mungu ni mpumbavu. Anamaanisha yapo mengi ya hekima ya kimungu ambayo kwa wanadamu huonekana ni upumbavu. Mfano umwelezee mwanasayansi kwamba Mungu ameumba vitu vyote from nothing. ataona huo ni upumbavu, japo yeye mwenyewe hana jibu la maana kuhusu the origin of matter.
Unamzungumzia mungu yupi hapo,mungu muumba wa vitu vyote au una mzungumzia yesu, maana wengine kati yenu huyo yesu mnamuita mungu,
"utasikia yesu ni mungu"
 
Sisi kwetu hakulala na Binti zake ndio mana ni Nabii
Sisi ambaye tumewapa story yake ya awali kabisa miaka mingi sana kabla hamjasimulia ya kwenu tumewaeleza hali halisi sasa nyie endeleeni kujidanganya hivyo hivyo .

Hivi pia mnafahamu kuwa Mfalme Daudi alimuua Jemedari wake ili azuie mke wa jamaa au na hii pia mmeedit?

The good thing about bible it never lies.It potrays Human being at face value. Mungu anaonyesha over and over again mwanadamu no matter how hard you try,how favoured you are and how good you are you will always miss the mark that God desire. This is why we need JESUS and thats why he came.

Some people thinks Jesus was just a good teacher,no actually the Best teacher is The Holy Spirit.Jesus IS the SAVIOUR of MANKIND from the bondege of SIN.
 
Hebu iweke vizuri nikujibu vizuri kaka,pombe kali unaweza tengeneza hata kwa mahindi,ila kabla hujajibu angalia na ukielewe kile nilicho kiandika.
Inamaana unataka kusema hujui Aya ambayo Allah kajisifu kwa Kuweka matunda ambayo mnatengeza pombe kali na akasema ni Kwa watu wenye uelewa tu
 
Back
Top Bottom