FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Aliye mbele yako inabidi umsikilize Kwa makini ukiwa unamazungumzo nae haijalishi kama ni mtoto,mlevi au mtu mzima au wahubiri wa dini maana Mungu humuingia yeyote ktk nafsi na kuongea kupitia watu hao
Mimi binafsi japo nimesikia utabiri mwingi kupitia watu mbalimbali na mwingine kuwa kweli lakini utabiri wenye nguvu na ambao sikuwa na shaka kuwa huyu ni Mungu anasema ndani ya mtoto mmoja wa kike aliekuwa na miaka mitano au sits wa polisi mpelelezi wa wilaya ya Mwanhuzi na ni kweli nenda pote wilaya ya Meatu Mungu hudhihirika wazi
Viongozi wote wanapohutubia Mungu huwa ndie msemaji au waandishi wa habari kama Jackline Selemu wa ITV wanapohoji mtu Kwa kutoa maswali kichwani wasitambe ni akili zao Mungu huwaongoza
Instagram:kaukwaju