Maandiko yanasema tumeumbwa kwa mfano wake,hivyo naamini kila umuonae machoni mwako ndie Mungu wako....

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
448
Reaction score
409
Aliye mbele yako inabidi umsikilize Kwa makini ukiwa unamazungumzo nae haijalishi kama ni mtoto,mlevi au mtu mzima au wahubiri wa dini maana Mungu humuingia yeyote ktk nafsi na kuongea kupitia watu hao

Mimi binafsi japo nimesikia utabiri mwingi kupitia watu mbalimbali na mwingine kuwa kweli lakini utabiri wenye nguvu na ambao sikuwa na shaka kuwa huyu ni Mungu anasema ndani ya mtoto mmoja wa kike aliekuwa na miaka mitano au sits wa polisi mpelelezi wa wilaya ya Mwanhuzi na ni kweli nenda pote wilaya ya Meatu Mungu hudhihirika wazi

Viongozi wote wanapohutubia Mungu huwa ndie msemaji au waandishi wa habari kama Jackline Selemu wa ITV wanapohoji mtu Kwa kutoa maswali kichwani wasitambe ni akili zao Mungu huwaongoza

Instagram:kaukwaju
 
Hebu tuwekeni ka mgomo ,Huyu Jamaa akiweka uzi wake hakuna kufungua hakuna ku commet mana kazidi sasa. Mimi ndo naanza kwa uzi wowote atakao weka
 
Tohato bwana mpaka unakosoa viongozi na bado nakujibu ujumbe huu ujue kuna nguvu kubwa inanilinda,utasoma tu IMG_20180915_221302_546.jpg
 
Aliye mbele yako inabidi umsikilize Kwa makini ukiwa unamazungumzo nae haijalishi kama ni mtoto,mlevi au mtu mzima au wahubiri wa dini maana Mungu humuingia yeyote ktk nafsi na kuongea kupitia watu hao

Mimi binafsi japo nimesikia utabiri mwingi kupitia watu mbalimbali na mwingine kuwa kweli lakini utabiri wenye nguvu na ambao sikuwa na shaka kuwa huyu ni Mungu anasema ndani ya mtoto mmoja wa kike aliekuwa na miaka mitano au sits wa polisi mpelelezi wa wilaya ya Mwanhuzi na ni kweli nenda pote wilaya ya Meatu Mungu hudhihirika wazi

Viongozi wote wanapohutubia Mungu huwa ndie msemaji au waandishi wa habari kama Jackline Selemu wa ITV wanapohoji mtu Kwa kutoa maswali kichwani wasitambe ni akili zao Mungu huwaongoza

Instagram:kaukwaju
Hivi nikisema "Nimekutana na mtu wa mfano wake"

Hapo unaelewa nini ?

Au "Nimekula chakula cha mfano wake". Hapo unaelewa nini ?
 
Hahahaaaa.......mkuu jamaa anachosha sana. Au ndio freedom ynyewe ya kujiexpress.
Watu wakiambiwa kila kitu kina mipaka yake,lengo ni kuzuia watu kuongea utumbo kama aliouleta mtoa mada.
 
Unaonekana umeandika huu uzi kama vile unakimbizwa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu, chupu chupu wakuzibue mtaro ukawachomoka.

Punguzeni kujiuguza wehu jamani, hatupendi kutoa povu ila mnatulazimisha kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom