Tetesi: Maaskofu Gwajima, Bagonza, Mwamakula na Padri Kitima wanaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Maaskofu Gwajima, Bagonza, Mwamakula na Padri Kitima wanaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia muda huu hapa Dodoma, tunawashukuru wazalendo wanaovujisha mambo haya kwa jamii.

Bado haijafahamika sababu hasa za kutekwa ama kukamatwa kwao, Bali kinachotujia kwenye fikra zetu ni muonekano wa kuchoka kiakili na kimwili kwa viongozi wenye mamlaka.

Usiondoke JF kwa taarifa zaidi
 
Huwa unatumika vibaya sana
 
kama walihusika kupanga vurugu za oktoba 29,watakamatwa tu,hatuwezi kuacha wahalifu kisa ni viongozi wa dini,uwe askofu,shehe,shemasi,bruda,mchungaji,pastor,🤗ukivunja sheria utakamatwa tu
 
Nchi imevimba
 
Attachments

  • Screenshot_20261022-003836.jpeg
    Screenshot_20261022-003836.jpeg
    45.4 KB · Views: 5
Back
Top Bottom