Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #21
Mfano kwa nani?Yaani iwe mfano
Mfano kwa nani?Yaani iwe mfano
Ule utapeli wa Jaji Lila ni wa nini?kama walihusika kupanga vurugu za oktoba 29,watakamatwa tu,hatuwezi kuacha wahalifu kisa ni viongozi wa dini,uwe askofu,shehe,shemasi,bruda,mchungaji,pastor,🤗ukivunja sheria utakamatwa tu
Vyombo vile ambavyo ni mali ya ccm?Tuviachie vyombo vya Dola vifanye KAZI yake.
Uzuri wake hao wote uliowataja wanayajua makosa Yao dhidi ya Jamhuri.
Hii ndo maana halisi ya Rule of Law
Wakati wanapanga nyinyi mlikuwa wapi ?kama walihusika kupanga vurugu za oktoba 29,watakamatwa tu,hatuwezi kuacha wahalifu kisa ni viongozi wa dini,uwe askofu,shehe,shemasi,bruda,mchungaji,pastor,🤗ukivunja sheria utakamatwa tu
Alieiba kura akajipa 98% yeye hakuikosea jamuhuli?Tuviachie vyombo vya Dola vifanye KAZI yake.
Uzuri wake hao wote uliowataja wanayajua makosa Yao dhidi ya Jamhuri.
Hii ndo maana halisi ya Rule of Law
Kile kijitu cha kizanzibari sikipendi ila hii ni CHAI.Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia muda huu hapa Dodoma, tunawashukuru wazalendo wanaovujisha mambo haya kwa jamii.
Bado haijafahamika sababu hasa za kutekwa ama kukamatwa kwao, Bali kinachotujia kwenye fikra zetu ni muonekano wa kuchoka kiakili na kimwili kwa viongozi wenye mamlaka.
Usiondoke JF kwa taarifa zaidi
Kura ni halali sisi Watanzania ndo tulizipiga.Alieiba kura akajipa 98% yeye hakuikosea jamuhuli?
Bado unawaza maandamano mpaka miaka hii? Kwa taarifa Yako hakuna mtu aliyejuu ya Sheria, amri ya Mahakama ikitoka unakamatwa na watu tunaendelea na shughuli zetuWamkamate Padri Kitima halafu balaza la maaskofu liitishe maandamano nchi nzima kama ilivyo fanyika Dr.congo hadi Kabila akatema Bungo… Hiyo ndiyo itakuwa mwisho wa ccm. Nchi itapigwa kiberiti na waumini wa Catholic. CCM na kabudi wenu kuweni makini sana na kalata zenu.Nchi ni ya watanzania wote hata wapinzani pia wamo…uongozi hamkuumbiwa peke yenu, waruhusuni wengine pia waongoze.
Baada ya kuonjeshwa Asali umekuwa na akiliza ovyo siku hizikama walihusika kupanga vurugu za oktoba 29,watakamatwa tu,hatuwezi kuacha wahalifu kisa ni viongozi wa dini,uwe askofu,shehe,shemasi,bruda,mchungaji,pastor,🤗ukivunja sheria utakamatwa tu
toa hiyo rubbish malasusa hapoWakati wanapanga nyinyi mlikuwa wapi ?
Mliilisha Ikulu false intelligence
Ikulu ikaingia chaka
Ikasema tuko njema sana, kapigeni kura poa tu, hakutakuwa na ngwengwe wala figisu lolote
Kumbe National Security aparatus nzima imezidiwa kete na ma padri wanne ???
Basi kama ndo hivyo tumfanye:
KITIMA, Mkurugenzi Mkuu TISS
GWAJIMA Head of military Inteligence
MALASUSA Head of Police Inteligence
BAGONZA National Securty Advisor Ikulu
Hiyo kule kwetu kuZaire tunaiitaga hii ni "Mudomo" kuponza kukichwa.Tuviachie vyombo vya Dola vifanye KAZI yake.
Uzuri wake hao wote uliowataja wanayajua makosa Yao dhidi ya Jamhuri.
Hii ndo maana halisi ya Rule of Law
Umejuaje? Na Kwa nini wakamatwe? Maaskofu wafuasi wa Chadomo 😂😂Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia muda huu hapa Dodoma, tunawashukuru wazalendo wanaovujisha mambo haya kwa jamii.
Bado haijafahamika sababu hasa za kutekwa ama kukamatwa kwao, Bali kinachotujia kwenye fikra zetu ni muonekano wa kuchoka kiakili na kimwili kwa viongozi wenye mamlaka.
Usiondoke JF kwa taarifa zaidi
Ikiwa intenet imezimwa,na watu hawaruhusiwi hata kununua maembe? Kwa nini kujiapisha umezungukwa na jeshi tena kwenye maficho dodoma ,samia ndo rais wa kwanza tanzania kuapishwa na wanajeshi?Kura ni halali sisi Watanzania ndo tulizipiga.
Nikawaida tuIkiwa intenet imezimwa,na watu hawaruhusiwi hata kununua maembe? Kwa nini kujiapisha umezungukwa na jeshi tena kwenye maficho dodoma ,samia ndo rais wa kwanza tanzania kuapishwa na wanajeshi
Ni raha sana ukiwa madarakani kuita uhai wa watoto wetu walio kama wako 500 kuzikwa kama mbwaNikawaida tu
instinct desire uchaguzi ulienda sawa sasa matume ya kila siku ya nini ,kwa nn mlizuia tusisome tume ya chande iliandika nini? Kwa nini iundwe tume na mtuhumiwa namba 1Ikiwa intenet imezimwa,na watu hawaruhusiwi hata kununua maembe? Kwa nini kujiapisha umezungukwa na jeshi tena kwenye maficho dodoma ,samia ndo rais wa kwanza tanzania kuapishwa na wanajeshi?
Nchi yetu tulizoea uchaguzi asubuhi hadi saa 4 umeisha ,mchana watu wanaendelea kupendana baa unakuta ccm wamekaa na chadema wanataniana kama yanga na simba wiki nzima mnasikiliza matokeo na tume iko busy na wagombea na wasimamizi kutatua changamoto,vurugu hazizidi majimbo matano na nchi nzima wanakufa watu 10 tu tena mateja .
Kisha matokeo yanatolewa wapinzani wanapinga rais anaapishwa uwanja wa benjamin tena pamejaa vibaya wanakamatwa watu chini ya 30 na siku rais kaapa wanaachiwa wote ,baada ya week utasikia kuna sherehe ikulu picha zipo lissu anacheza mziki na spika wa bunge mama makinda .
Maisha yanaendelea serikali inaita wapinzani wanayajadili tena wanapiga picha wanakunywa chai ikulu.
Sasa mama kaapishwa nje kuna mabomu watu hatupatikani mitandaoni watu 500wamekufa kwa kuuliwa na mapolisi ,picha zipo za vifurushi vya maiti ya vijana wengine walifukiwa .watu wametekwa wakina polepole wamepotezwa ncgimbi kashikwa we jamaa hebu muogopeni basi mungu
Tokka Oct 29 Mwaka jana Nchi Ipo kwenye tension kubwa...Ukitaka nchi iingie katika tension kubwa wafanye hivyo, unaleta na kesi ni moja tu uchochezi A uhaini, sheria alizotunga Nape zinaangamiza Taifa