Tetesi: Maaskofu Gwajima, Bagonza, Mwamakula na Padri Kitima wanaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa

Tetesi: Maaskofu Gwajima, Bagonza, Mwamakula na Padri Kitima wanaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa

Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia muda huu hapa Dodoma, tunawashukuru wazalendo wanaovujisha mambo haya kwa jamii.

Bado haijafahamika sababu hasa za kutekwa ama kukamatwa kwao, Bali kinachotujia kwenye fikra zetu ni muonekano wa kuchoka kiakili na kimwili kwa viongozi wenye mamlaka.

Usiondoke JF kwa taarifa zaidi
Mbona hukuleta mapema taarifa za John Pambalu kukamatwa na kufunguliwa Kesi ya Uhaini? Yaani Kiongozi wako Mkubwa hadi anakamatwa na kufunguliwa Kesi ya Uhaini HUNA TAARIFA, lakini eti una taarifa za kukamatwa kwa viongozi wajinga waliojificha kwenye dini! Ahahahahaha!!
 
Tokka Oct 29 Mwaka jana Nchi Ipo kwenye tension kubwa...
Ntakupa mfano namjua polisi alikuwa anaishi kwa kutegemea flemu ya mke wake walukuwa na bonge la biashara ,jamaa akampiga notice mm nikiwa rafiki wa familia ya police jamaa kabila langu ikabidi niende kumsihi asimtue akanambia haiwezekani,siku tumekutana chrismas akalewa akaniita akaniambia kaka hawa waluoua watoto wetu tare29 unawaonea huruma akasema ile fremu kalete ww mpangaji unaetaka ila kama ccm au police asikanyage
 
Back
Top Bottom