Tetesi: Maaskofu Gwajima, Bagonza, Mwamakula na Padri Kitima wanaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa

Hizi hatua tulizofikia ni muhimu sana kwenye mabadiliko!
Ni suala la muda tu WaTanganyika wengi wataamka kudai nchi yao!
 
Ushawahi ona uopisho unafanyika bila ulinzi?
Mkuu nimekwambia elezea mambo yote pendwa hapo juu sijakwambia uniulize maswali.

Wewe umesema kawaida Sasa elezea kawaida yake ni ipi kulingana na mambo yalioekezewa hapo juu na wewe ukasema ni kawaida.
 
haya.
 
Kwani hao ulio wataja wana immunity kwamba ata wakitiliwa shaka la kufanya au kutenda makosa awakamatwi au kuwajibika mbele ya sheria zetu? Basi kama wanayo immunity wasikamatwe ila kama hamna immunity ni sheria sasa.
 
Siku sio nyingi sisi wakatoliki ambako hatupo kwenye mfumo tuktakuwa magerezani maana wote wanaokamatwa au kupewa makosa mazito mazito ni Catholics
 
Siku sio nyingi sisi wakatoliki ambako hatupo kwenye mfumo tuktakuwa magerezani maana wote wanaokamatwa au kupewa makosa mazito mazito ni Catholics
Wakati wa Mh.Kikwete kuna makundi ya wanaharakati wa Kiislam walikaa sana jera. Kwanini tuunganishe mambo ya kisheria na makosa kwa misingi ya dini?
 
Hao wote lazima wakamatwe nishalizungumzia humu sana!
Hao ndio source ya vurugu na mauaji yote ya October 29! Kiitima ndio mastermaind au coordinator wa Kila kitu!

Samia acheki na hao washenzi wenye mlengo wa kidini kuhatarisha usalama wa Taifa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…