Tetesi: Maaskofu Gwajima, Bagonza, Mwamakula na Padri Kitima wanaweza kukamatwa muda wowote kuanzia sasa

Utawala haramu mara nyingi wanaishi kwa hofu na wasiwasi
Nchi inapoelekea ni kubaya zaidi na muda wa kutatua kwa kutumia hekima na busara umeshapita
 
Hao wote lazima wakamatwe nishalizungumzia humu sana!
Hao ndio source ya vurugu na mauaji yote ya October 29! Kiitima ndio mastermaind au coordinator wa Kila kitu!

Samia acheki na hao washenzi wenye mlengo wa kidini kuhatarisha usalama wa Taifa.....
Hongera sana mkuu
 
Yana akili basi hayoo ?? kama kazi zenyewe yanapata kwa kulamba miguu unadhan Kuna jambo la msngii wanaweza kufikiria ila hii Dunia Ina majibu wafanye wafanyajo majibu yatapatikana hapa hapa Duniani iwe kwa uchungu au utamu
 
huna point,,kwani osama bin laden alivyowapiga marekani ghafla,walimteua awe mkurugenzi wa CIA?,,intelligence failure hutokea,,hasa ukichukulia sisi wakristo tunaabudu sana viongozi wetu wa kidini kuliko hata tunavyomuabudu Yesu,,kwahiyo hamna mtu angezania hawa watu wangekua na nia ovu dhidi ya nchi
 
Kwani hao ni wahusika wa zile silaha zilizoonekana kununuliwa na serikali ya Tanzania kisha kwenda kwenye magenge ya kihalifu ya Mexico?
 
Kwa ujumla wao hawa na kama wote wangekuwa na imani ya kweli toka rohoni kama Daniel alivyokuwa kwenye shimo lenye simba naamini wangefanya muujiza nchi ingetetemeka na watesi wote wangetawanyika
 
Kwa ujumla wao hawa na kama wote wangekuwa na imani ya kweli toka rohoni kama Daniel alivyokuwa kwenye shimo lenye simba naamini wangefanya muujiza nchi ingetetemeka na watesi wote wangetawanyika
😂😂😂🙆🏽‍♂️,íla chadema wafuasi wao wana akili za kijinga,hivi chadema mnafikiri yakitokea mapinduzi ndo mtafaidika na nini yani?,hamuoni mfano sudani,libya,congo,yes hata congo tangú wampindue mobuto hiyo nchi haijakaa itulie,,hivi chadema huwa hamjifunzi kitokana na history?,au mnadhani chadema ndo watapewa uongozi,nanajidanganya ccm itakubali kiulaini tu kutolewa madarakani kwa nguvu?.
tumieni akili,too much is at stake here mote than you little mind can comprehand🤗
 
Tendeni haki wajinga nyie hiyo amani mnayo nyinyi sio wananchi kwa hiyo kama vipi wote mpera mpera hamna amani feki
 
Tuviachie vyombo vya Dola vifanye KAZI yake.
Uzuri wake hao wote uliowataja wanayajua makosa Yao dhidi ya Jamhuri.
Hii ndo maana halisi ya Rule of Law

Wewe jitu shetani utanena nini zaidi ya kuwachukia watu wanaotetea wema na haki? Wewe inajulikana ni jumba la shetani, unachokifurahia ni uovu wa kuteka na mauaji ya wananchi. Unamchukia kila anayetaka haki za wananchi ziheshimiwa. Laana ya uovu wako ipo njiani.
 
Ushang'olewa ubongo
 
Haya ndugu bwana Mapinduzi. Ila
Kama ulichochea vurugu utakamatwa tu
 
Wakimgusa padri kitima patakua pagumu au Gwajima
 
Imekuwa kawaida sasa hivi na wala sio hbr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…