Maaskofu Katoliki acheni kuunga mkono bomba la mafuta. Nchi za zilizoendelea zinaondokana na matumizi ya mafuta sisi ndio tunataka kuanza kuyachimba!

Yaani binadamu tumechelewa sana kuzuia matumizi ya mafuta (Fueli), maana Ozone layer imeishaharibika mno....jamani hima hima tuzuie matumizi ya fueli na kupunguza gesi ukaa
 
Wewe sio Raia wa Tanzania.

Ni mamluki toka nchi moja wapo jirani na sisi.
 
Unapotosha! Vita vya Iraq, Libya, Syria, Afghanistan na vikwazo wanavyowekewa Iran ni nchi tajiri kutaka kumonopolyse na kumiliki visima vingi vya mafuta na gesi! Mafuta hayatumiki kwenye magari tu.. Yanatumika katika products nyingi - mbolea, plastics, kuzalisha umeme etc. Hivyo bado yana hitajika kwa wingi sana.
Wazungu ameshindwa vita ya Ukrania kwa sababu Urusi ina mafuta mengi na gasi. Ukitaka kuachana na mafuta ni pale utakapo ona OPEC wamevunja ushirikiano wao. Lakini kwa sasa, bado wanadumisha shirikisho lao.
Usiwasikilize wazungu hawatutakii mema. Hii climate change haiwahusu OPEC? Inatuhusu sisi tu? Je! Kuna nchi imefanikiwa kupoza climate change? Hamna! Ni njia ya kupunguza maendeleo ya poor countries. Usiwasikilize.
 

Sasa ww inchi yako imeendelea?
 
Yaani binadamu tumechelewa sana kuzuia matumizi ya mafuta (Fueli), maana Ozone layer imeishaharibika mno....jamani hima hima tuzuie matumizi ya fueli na kupunguza gesi ukaa
Swala la Ozone layer depletion siyo issue tena! Imetengenezwa. Imetengemaa kwa sasa.
 
Mkipewa hela na mabosi wenu wa magharibi kuleni tu na familia zenu wala sisi mishipa haitupigi....ila MISHIPA inapwita pale tu mnapotaka kutufanya "mazwazwa" tuyaamini "matango pori" ya mabwana zenu hao.....

UCHIMBAJI WA MAFUTA ULIMWENGUNI

Ilikuwa ni bora TU binadamu asingeyachimba mafuta toka hapo AWALI;kwani yalipochimbwa tu UHARIBIFU WA MAZINGIRA UKAANZA....

Wao wameshajenga chumi zao zaidi ya karne moja leo hii ninyi "vibaraka koko" mnatutaka tucheze MAPAMBIO YENU?!!!![emoji849][emoji849][emoji849]

HILI HALIKUBALIKI KWETU WENYE FAHAMU NJEMA

HILI HALITOKUBALIKA KWA KILA ASIYEKUWA MGONJWA WA WODI NAMBA 14 YA DHARURA PALE HOSPITALI YA AFYA YA AKILI MIREMBE MJINI DODOMA.

HITIMISHO:

TUTAYACHIMBA MAFUTA YETU KWA FAIDA YETU NA WALA SI YA MABWANYENYE WACHACHE ULIMWENGUNI.

#SiempreJMT
#SiempreEAC
#SiempreSSH
#MAMAKAJA[emoji7][emoji7]
 
[emoji7][emoji7]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji120][emoji7][emoji7]
 
UBEBERU UNYAMA "Baba wa taifa hayati JKN"

UCHUMI WA KIBEBERU NI "USHETANI" muuza kahawa Mkunazi Njiwa wa hapa kwa Mtogole"

Maaakofu wetu wako sahihi kama wale maaskofu wa ulaya ambao hawakupinga "UHARIBIFU WA MAZINGIRA" pale mafuta yalipoanza kuchimba yakawaneemesha wao na mataifa yao"


REST IN PEACE JULIUS KAMBARAGE NYERERE aaamen[emoji120]

#SiempreJMT
#MamaaaHuyoooAmekujaaaaa[emoji7]
 
Umewahi sana kuwaza! Siyo mabadiliko ya leo hayo!
 
Magari yanayotumiwa Africa yanatengebezwa na hao mabwanyenye na wameashaanza kupunguza utengenezaji wa magari ya mafuta na sasa wanaongeza utengenezaji wa magari ya umeme. Unaelewa nini maana yake au unaandika kisiasa tu?
 
Wao unaamini wameendelea lakini wamegundua kitu mbadala kwahiyo ni lazima wauze ili waendelee kuishia,hakuna sababu nyingine.

Wao unaamini wameendelea ndiyo walioichafua na kuiharibu anga kwa karibu miaka mia tatu,wametimia Kuni kuendesha mitambo,wakatimia makala ya mawe,wakakatumia diesel.

Sasa wamegundua teknologia ingine,wanalazimisha tuamie huko kwakua wanajua Africa tukianza kuchimba wao hawatakua na soko kwa teknologia Yao.

Wao unaamini wameendelea ndiyo hawataki Africa tutoboe Bado wanaamini sisi ni maloloni Yao kwa mlango wa jikoni.

Mafuta yanayochimbwa kote duniani hayatachibwa Tena?
 
Tatizo letu ni mpaka tusikie puuuu! Haya tusubiri.
le
 
Mafuta bado yatatumika sana tu huku Afrika na duniani kote. Wakati nchi kama USA wana reserve ya mafuta ya miaka 50 wewe unasema miaka 10 mafuta yatakuwa hayatumiki!!? Nafikiri umekariri tu baada ya kusoma taarifa za magari ya umeme.
Weka kumbukumbu utaniambia in five years tatizo watanzania tupo nyuma ya kila kitu haya tusubiri tuone.
 
Asante Fadhili, naona unataka tuendelee kuwa watumwa wa Waarabu!
 
Acha ujinga wako kwa hiyo hayo mafuta yapelekwe wap?
Watanzania wajinga sana. Mimi nafuatilia hiyo transition to electrical vehicles pamoja na projection zake. Wewe unafikiri kimhemko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…