Maaskofu Katoliki acheni kuunga mkono bomba la mafuta. Nchi za zilizoendelea zinaondokana na matumizi ya mafuta sisi ndio tunataka kuanza kuyachimba!

Una wazimu sio bure...Watu wakiwa wapo kweny international exhibition ya maonyesho ya Akili bandia sisi hata automation bado hata integration kati ya TPA na TRA kimfumo ni mbovu.

Tanzania kutotumia mafuta ni mpaka 2070 huko na wewe utakuwa ushakufa..
 
Watanzania wajinga sana. Mimi nafuatilia hiyo transition to electrical vehicles pamoja na projection zake. Wewe unafikiri kimhemko.
unafuatilia ila hujui kitu .! kwani nan asiyejua kama bado tunaimport magari ya ya miaka 2010 yaani tupo nyuma sana...
 
Kumbe wewe sio Mtanzania!

Kafi.e mbali.
 
Magari ya umeme na climate change!! Tuambie ni lini hayo mabadiliko yatafika! Uchimbaji umeshaanza wasitishe wakisubiri technogy ya umeme iingie huku?
Kila siku tafakari kuna vita kubwa sana hawa mabeberu wanapambana tusitoboe!
Unajua bomba la mafuta litawaletea mabeberu hasara kiasi gani????
Wewe ndiye uliyetumwa na mabeberu kibaraka mkubwa!¬!! Mseveni alipotaka kuchimba mafuta makampuni ya kibeberu yalimfuata zaidi ya 2400!! wakiomba tenda! Museveni akagoma akasema atasomesha kwanza waganda!
Sasa baada ya kuona wamegonga mwamba uganda wameanza kupiga vita bomba la mafuta kwa kisingizio cha Climate change!
AMKA acha kukumbatia ubeberu!
Kwa taarifa yako tu na uweze kujua jinsi ulivyo mjinga je unajua ni nchi gani Africa Mashariki na Kati inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme? Soma: Tanzania leads switch to EVs in East Africa
 
Are you serious? Unajua ni kiasi gani cha uwekezaji kimefanywa kwenye mafuta siku za hivi karibuni??? Wewe unadhani walioweka hizo hela ni wajinga kwenye Biashara hiyo?
===
Soma ripoti hii yote. Usisome vipande vipande.

Tanzania linapita tu na wanaotaka hayo mafuta ni Total, wakuwaambia waachane nayo ni Total. Toa sababu zingine za kimazingira za kutufanya Tanzania tusishitikiane na Uganda kukamilisha lengo la Total.
 
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.

Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.

Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.

Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.

Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!

Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Wanaopinga bomba la mafuta na mafuta kutochimbwa Uganda ni wasichana wasiokuwa na adabu. Mafuta hayawezi Acha kutumika.
 
unafuatilia ila hujui kitu .! kwani nan asiyejua kama bado tunaimport magari ya ya miaka 2010 yaani tupo nyuma sana...
Hivi wewe unafuatilia EV and battery technology pamoja na maendeleo ya kuhamia kwenye renewable energy yanayofanywa na nchi zilizoendelea, au unafuatilia vilabu ya soka Ulaya siku nzima.
 
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.

Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.

Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.

Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.

Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!

Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Hivi unawazidi Maaskofu kwa uelewa ??! Wenzio wanafikiria Miaka 100 mbeleni.
 
🙄🙄🙄🙄🙄 Nimesoma yote waliyosoma na sayansi pia. Maaskofu wengi ni vilaza wakubwa wa mambo ya technology na science.
 
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.

Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.

Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.

Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.

Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!

Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.

Wewe mleta mada ni popoma wa kutupwa! Please soma kwanza details za NET ZERO CARBON AMBITIONS 2050 na uilewe! Sio kudandia train [emoji577] kwa mbele !! Exploration, extraction, atmospheric distillation of liquid hydrocarbons will not cease by 2050 ! Kinacho fanyika ni kuhakikisha uzalishaji wa mafuta (liquid hydrocarbons) utakua balanced kuhakikisha hewa ya ukaa (carbon dioxide) itokanayo na matumizi ya bidhaa hiyo ina balance na matumizi yake kwa mimea and otherwise! Including carbon capture technologies !

Zaidi ya hapo bomba la mafuta la Uganda [emoji1254] kuja Tanzania [emoji1241] life span Yake ni 25 years only na mafuta yanakwisha na shughuli hiyo kuisha!

Acha upopoma read widely!
 
Wao wana achana na matumizi ya mafuta kwa sababu wamesha pata njia mbadala, lakini huku uswahilini serikali imeshindwa kufanya gesi kua nishati kuu ya matumizi majumbani ndio wataweza kwenye viwanda na magari?
 
Huwezi kutenganisha Dunia na Nishati ya Mafuta. Never.
 
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.

Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.

Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.

Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.

Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!

Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Kama haiwezekani kabisa basi kuna uwezekano mdogo kwa magari ya umeme kuchukua nafasi ya magari ya mafuta ulimwenguni kwa siku za hivi karibuni.Hii ni kutokana na upatikanaji hafifu wa malighafi ya kutengenezea mabetri yanayotumika kwenye magari ya umeme na uwepo wa wazalishaji wachache wa magari ya umeme ulimwenguni wanaozalisha magari ya umeme kwa kasi ndogo.Bomba la mafuta halitakuwa na hasara kwa wawekezaji ikiwa mambo yataenda kama yalivyokusudiwa licha ya changamoto ya uzalishwaji wa magari yanayotumia umeme kwani uhitaji wa mafuta bado ni mkubwa kwa watumiaji wa magari na uendeshaji wa baadhi ya mitambo.

Nawasilisha,

Article.
 
Yaani binadamu tumechelewa sana kuzuia matumizi ya mafuta (Fueli), maana Ozone layer imeishaharibika mno....jamani hima hima tuzuie matumizi ya fueli na kupunguza gesi ukaa
Mitambo ya viwanda vya wazungu na wachina ndio vinaharibu mazingira, wazime mitambo km hali isipobadilika
 
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.

Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.

Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.

Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.

Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!

Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Sijaona Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanaingiaje hapa kwenye mada yako
 
Kama haiwezekani kabisa basi kuna uwezekano mdogo kwa magari ya umeme kuchukua nafasi ya magari ya mafuta ulimwenguni kwa siku za hivi karibuni.Hii ni kutokana na upatikanaji hafifu wa malighafi ya kutengenezea mabetri yanayotumika kwenye magari ya umeme na uwepo wa wazalishaji wachache wa magari ya umeme ulimwenguni wanaozalisha magari ya umeme kwa kasi ndogo.Bomba la mafuta halitakuwa na hasara kwa wawekezaji ikiwa mambo yataenda kama yalivyokusudiwa licha ya changamoto ya uzalishwaji wa magari yanayotumia umeme kwani uhitaji wa mafuta bado ni mkubwa kwa watumiaji wa magari na uendeshaji wa baadhi ya mitambo.

Nawasilisha,

Article.
Sidhani kama tutarudisha gharama za uwekezaji. Nashauri tuachane kabisa na mambo ya kubahatisha matrilioni ya shilingi.
 
Back
Top Bottom