Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
unafuatilia ila hujui kitu .! kwani nan asiyejua kama bado tunaimport magari ya ya miaka 2010 yaani tupo nyuma sana...Watanzania wajinga sana. Mimi nafuatilia hiyo transition to electrical vehicles pamoja na projection zake. Wewe unafikiri kimhemko.
Kumbe wewe sio Mtanzania!Watanzania wajinga sana. Mimi nafuatilia hiyo transition to electrical vehicles pamoja na projection zake. Wewe unafikiri kimhemko.
Kwa taarifa yako tu na uweze kujua jinsi ulivyo mjinga je unajua ni nchi gani Africa Mashariki na Kati inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme? Soma: Tanzania leads switch to EVs in East AfricaMagari ya umeme na climate change!! Tuambie ni lini hayo mabadiliko yatafika! Uchimbaji umeshaanza wasitishe wakisubiri technogy ya umeme iingie huku?
Kila siku tafakari kuna vita kubwa sana hawa mabeberu wanapambana tusitoboe!
Unajua bomba la mafuta litawaletea mabeberu hasara kiasi gani????
Wewe ndiye uliyetumwa na mabeberu kibaraka mkubwa!Β¬!! Mseveni alipotaka kuchimba mafuta makampuni ya kibeberu yalimfuata zaidi ya 2400!! wakiomba tenda! Museveni akagoma akasema atasomesha kwanza waganda!
Sasa baada ya kuona wamegonga mwamba uganda wameanza kupiga vita bomba la mafuta kwa kisingizio cha Climate change!
AMKA acha kukumbatia ubeberu!
Are you serious? Unajua ni kiasi gani cha uwekezaji kimefanywa kwenye mafuta siku za hivi karibuni??? Wewe unadhani walioweka hizo hela ni wajinga kwenye Biashara hiyo?
===
Soma ripoti hii yote. Usisome vipande vipande.
Overview and key findings β World Energy Investment 2022 β Analysis - IEA
World Energy Investment 2022 - Analysis and key findings. A report by the International Energy Agency.www.iea.org
Jifunze kusoma upya!Sijaona connection ya kichwa na Content.
Wanaopinga bomba la mafuta na mafuta kutochimbwa Uganda ni wasichana wasiokuwa na adabu. Mafuta hayawezi Acha kutumika.Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Hivi wewe unafuatilia EV and battery technology pamoja na maendeleo ya kuhamia kwenye renewable energy yanayofanywa na nchi zilizoendelea, au unafuatilia vilabu ya soka Ulaya siku nzima.unafuatilia ila hujui kitu .! kwani nan asiyejua kama bado tunaimport magari ya ya miaka 2010 yaani tupo nyuma sana...
Endeleeni kubeti mechi za Ulaya manake ndicho mbachokijua.Kumbe wewe sio Mtanzania!
Kafi.e mbali.
Hivi unawazidi Maaskofu kwa uelewa ??! Wenzio wanafikiria Miaka 100 mbeleni.Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Ni kama ile story ya samaki mwenye kiuno cha BinadamuSijaona connection ya kichwa na Content.
πππππ Nimesoma yote waliyosoma na sayansi pia. Maaskofu wengi ni vilaza wakubwa wa mambo ya technology na science.Hivi unawazidi Maaskofu kwa uelewa ??! Wenzio wanafikiria Miaka 100 mbeleni.
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Kama haiwezekani kabisa basi kuna uwezekano mdogo kwa magari ya umeme kuchukua nafasi ya magari ya mafuta ulimwenguni kwa siku za hivi karibuni.Hii ni kutokana na upatikanaji hafifu wa malighafi ya kutengenezea mabetri yanayotumika kwenye magari ya umeme na uwepo wa wazalishaji wachache wa magari ya umeme ulimwenguni wanaozalisha magari ya umeme kwa kasi ndogo.Bomba la mafuta halitakuwa na hasara kwa wawekezaji ikiwa mambo yataenda kama yalivyokusudiwa licha ya changamoto ya uzalishwaji wa magari yanayotumia umeme kwani uhitaji wa mafuta bado ni mkubwa kwa watumiaji wa magari na uendeshaji wa baadhi ya mitambo.Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Mitambo ya viwanda vya wazungu na wachina ndio vinaharibu mazingira, wazime mitambo km hali isipobadilikaYaani binadamu tumechelewa sana kuzuia matumizi ya mafuta (Fueli), maana Ozone layer imeishaharibika mno....jamani hima hima tuzuie matumizi ya fueli na kupunguza gesi ukaa
Sijaona Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanaingiaje hapa kwenye mada yakoNinaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate change sasa ni dhahiri na nchi zilizoendelea zimeonesha nia thabiti ya kuachana na mafuta ya miambani (fossil fuels) ambayo huchafua hewa na mazingira na kusababisha kuongezeka kwa joto na madhara ambatanishi.
Baadhi ya nchi za Ulaya kama Norway magari ya umeme yanazidi yale ya petrol/dizel na lengo ni kuondoa magari yatumiayo mafuta ifikapo 2030. Lengo hili limewekwa na nchi nyingi za Ulaya. China inaongoza kwa wingi wa magari ya umeme duniani ikiwa na magari milioni 7, ikifuatiwa na USA 2 milion na Germany 1.3 milioni.
Ukiangalia tunakokwenda utagundua kuwa future ya magari na mafuta ni fupi sana na sio zaidi ya miaka kumi kutoka sasa magari ya mafuta yatakuwa machache kuliko ya umeme duniani kote na hivyo soko la mafuta litaanguka.
Ndio kusema uwekezaji mkubwa ambao Tanzania na Uganda wanauweka kwenye bomba la mafuta ni upotevu wa fedha za maskini wa nchi hizi. Nani anawashauri viongozi wa nchi hizi?! Maaskofu katoliki acheni kuunga mkono msilolijua! Fuatilieni mambo yanayoendelea katika ulimwengu wa technologia ya engine za umeme na hydrogen, la sivyo mnachangia kuwafukarisha watanzania!
Nina uhakika bomba la mafuta la Hoima-Tanga litakuja kutumia kusafirisha maji ya kumwagilia kutoka ziwa Victoria na sio mafuta.
Sidhani kama tutarudisha gharama za uwekezaji. Nashauri tuachane kabisa na mambo ya kubahatisha matrilioni ya shilingi.Kama haiwezekani kabisa basi kuna uwezekano mdogo kwa magari ya umeme kuchukua nafasi ya magari ya mafuta ulimwenguni kwa siku za hivi karibuni.Hii ni kutokana na upatikanaji hafifu wa malighafi ya kutengenezea mabetri yanayotumika kwenye magari ya umeme na uwepo wa wazalishaji wachache wa magari ya umeme ulimwenguni wanaozalisha magari ya umeme kwa kasi ndogo.Bomba la mafuta halitakuwa na hasara kwa wawekezaji ikiwa mambo yataenda kama yalivyokusudiwa licha ya changamoto ya uzalishwaji wa magari yanayotumia umeme kwani uhitaji wa mafuta bado ni mkubwa kwa watumiaji wa magari na uendeshaji wa baadhi ya mitambo.
Nawasilisha,
Article.