Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi kutoa baraka kwa wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja ?

Baraza la maaskofu wa Malawi limetupilia mbali kabisa ombi la Papa Francis kuruhusu makasisi kuwapa baraka wapenzi walio katika mahusiano ya jinsia moja, Maaskofu hao wameweka msimamo wao hawatatoa baraka ya aina yoyote.

View attachment 2848629

Nao Baraza la maaskofu nchini Zambia wanaona anachofanya Papa sio sahihi na wamemwekea maandiko kabosa kwamba haawewezi kutoa baraka za aina yoyote za kitakatifu.

View attachment 2848630
View attachment 2848631

Kenya nao the same

View attachment 2848632
View attachment 2848633
Na hizo Nchi zote umetaja..!

Ziliweza kukiondoa Chama tawala (Kilicholeta Uhuru) Madarakani...!
 
TIMEWEISHA WAAMBIA UKWELI WOTE KUHUSU HILO KANISQ KAHABA.


ASOMAYE NA AFAHAMU, SINA DENI KWA MUNGU.

Pole sana! Sisi wanakanisa tunaolewa tunadunda bila wasiwasi. Nyie wenye shida ya kuelewa shauri yenu na endeleeni kuhangaikia yasiyowahusu.
 
Back
Top Bottom