Tulieni hivyo hivyo, kama hizo taasisi za kusimamia zimekaa kama bosheni acha ma infulensa wa kidini waingilie. Maana hamna taasisi imara hii bongo kila kitu upuuzi tu.Hawa wamedekeshwa miaka mingi na kujiona kichwa kikubwa kutaka kuingilia yasio wahusu.
Kama kuna tatizo la bandari, ni tatizo la watanzania wote na kuna njia na taasisi za dola kushughulikia ikiwamo bunge, mahakama, serikali au baraza la mawaziri n.k
Hii ta TEC kushupalia ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika.
Hivi unajua walokole wamekuwa wengi siku hizi na wanatokea hukohuko catholic baada ya kuona Hilo siyo kanisa Bali ni utapeli tu na ubabe usiyokiwa na maana. Lini kanisa likatunishiana msuli na serikali wakati hata mungu ameshasema ya kaisali mpe kaisali na ya mungu yabaki kuwa ya mungu. Kanisa limekiw ala kiasiasa zaidi kuliko mambo ya rohoni. Ndo mana watu wanatafuta rescue kupitia ulokole au wanamtafuta mungu wa kweli kupitia ulikoleWewe wasema uhai gani umetishiwa ? Unauza rasilimali nyeti hivyo ......bila huruma ? Maslahi kikundi kidogo tu cha watu wengine kama mafala....acha sautiya watu itutetee..
Kuuzwa bandari ....wewe unasemaje ? Tuamzie hapoHivi unajua walokole wamekuwa wengi siku hizi na wanatokea hukohuko catholic baada ya kuona Hilo siyo kanisa Bali ni utapeli tu na ubabe usiyokiwa na maana. Lini kanisa likatunishiana msuli na serikali wakati hata mungu ameshasema ya kaisali mpe kaisali na ya mungu yabaki kuwa ya mungu. Kanisa limekiw ala kiasiasa zaidi kuliko mambo ya rohoni. Ndo mana watu wanatafuta rescue kupitia ulokole au wanamtafuta mungu wa kweli kupitia ulikole
Kwahio kama Raisi yupo na katiba ipo akifanya mambo ya hovyo asiambiwe au watu wasilalamike kwa sababu nchi iko kwenye mwamvuli wa demokrasia au sio? Stupid mofo!Hiyo siyo kazi ya Kanisa katika nchi ya Kidemokrasia. Kanisa la Congo linafanya kazi hizo kwa sababu Congo haina Katiba ya Rais, bunge na mahakama. Hivyo hivyo Somalia na Kossovo na Nicaragua. Sisi hivyo vyote vipo. Serkali ni halali, Rais kachaguliwa kwa Ilani yake, Bunge likapitisha. CHADEMA wakapinga mahakamani wakashindwa. TEC si Supreme Court, hawapo kwenye mlolongo wa maamuzi. Kama hii ni kweli, watajidharilisha.
Yaani na wewe unajiita kipanga? Pili huufahamu hata ukatoliki vizuri unataka kujitia tu mkatoliki jina.Mbona mapadre wengi ni vilaza Sasa. Mi nakumbuka niliyosoma nao seminari ambao walikuwa na uwezo mdogo ndo wakiamua kwenda upadre kama last option. Vipanga wote Huwa hawaendagi huko.
Wewe ni mwongo hasa. Waumini wa mamanisa ya kilokole wabatokea zaidi Lutheran, Anglican, AIC na Morovian. Ni nadra sana kumwona mkatoliki akihamia makanisa ya kilokole.Hivi unajua walokole wamekuwa wengi siku hizi na wanatokea hukohuko catholic baada ya kuona Hilo siyo kanisa Bali ni utapeli tu na ubabe usiyokiwa na maana. Lini kanisa likatunishiana msuli na serikali wakati hata mungu ameshasema ya kaisali mpe kaisali na ya mungu yabaki kuwa ya mungu. Kanisa limekiw ala kiasiasa zaidi kuliko mambo ya rohoni. Ndo mana watu wanatafuta rescue kupitia ulokole au wanamtafuta mungu wa kweli kupitia ulikole
ni kweli kabisa, iwe kama vile israel anavyowafuta waislam kule gaza.Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani.
Hakuna bandari iliyouzwa hivi unajua maana ya kuuzwa wewe. Mambo yameshafafanuliwa kuwa na uwekezaji tena wenye kikimo halafu mnakuja na ngojera zenu wa Hawa viumbe wanaojiita TEC?. Mbona pale airport Kuna Swiss port, DHL nk lakini hamsemi kwamba airport imeuzwa? Mpaka vyakula vya kwenye ndege ni kampuni ya ujerumani lakini sionagi kelele kama hiziKuuzwa bandari ....wewe unasemaje ? Tuamzie hapo
Umewahi kuisoma ile IGA kati ya serikali ya Tanzania na DPW?Hivi unajua walokole wamekuwa wengi siku hizi na wanatokea hukohuko catholic baada ya kuona Hilo siyo kanisa Bali ni utapeli tu na ubabe usiyokiwa na maana. Lini kanisa likatunishiana msuli na serikali wakati hata mungu ameshasema ya kaisali mpe kaisali na ya mungu yabaki kuwa ya mungu. Kanisa limekiw ala kiasiasa zaidi kuliko mambo ya rohoni. Ndo mana watu wanatafuta rescue kupitia ulokole au wanamtafuta mungu wa kweli kupitia ulikole
Shida ya kutofanya jimai ndo inaleteleza yote haya...maana akili inakuwa naturally unstable..Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.
Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.
Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.
Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.
Mungu ni mwema.
Soma investment analysis ndo utajua maana ya uwekezaji sema malawyer wengi ni vilaza ndo mana darasani waliokuwa wengi hawana uwezo ndo wanaosoma arts na baadae law. Kila kilaza darasani hukimbilia arts Sasa ndo mana hata analytical skills hamnaga kabisaUmewahi kuisoma ile IGA kati ya serikali ya Tanzania na DPW?
Nimekuuliza swali usinijibu kwa kuniuliza swali, nakuuliza tena; umewahi kuisoma ile IGA kati ya serikali ya Tanzania na DPW?Soma investment analysis ndo utajua maana ya uwekezaji sema malawyer wengi ni vilaza ndo mana darasani waliokuwa wengi hawana uwezo ndo wanaosoma arts na baadae law. Kila kilaza darasani hukimbilia arts Sasa ndo mana hata analytical skills hamnaga kabisa
Aahidi kitu ambacho hakijui,hakikuwepo!?..hizo porojo za wazushi,yesu aliliona wapi kanisa kabla mpaka aahidi!?Aliahidi kulijenga kanisa juu ya Mwamba Petro
Hao wapuuzi nao wasituchoshe,Tanzania sio Mali ya KatolikiHabarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.
Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.
Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.
Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.
Mungu ni mwema.
Kati ya wanaccm wachache wenye akili ambao chama kinawamiliki!!Codes za John The Baptist
Mi siyo mtaalami wa mambo ya sheria vyohivyo na wewe pia. Wanasheria wa serikali wameshalitolea ufafanuzi hiloNimekuuliza swali usinijibu kwa kuniuliza swali, nakuuliza tena; umewahi kuisoma ile IGA kati ya serikali ya Tanzania na DPW?
Ajabu sana, swali moja dogo tu umeshindwa kulijibu mara tatu!, sijakuuliza habari ya utaalamu wa sheria hapa, nimekuuliza ule mkataba wa IGA kati ya serikali ya Tz na DPW umewahi kuusoma? au hata kuusoma tu mpaka mtu awe mwanasheria?!Mi siyo mtaalami wa mambo ya sheria vyohivyo na wewe pia. Wanasheria wa serikali wameshalitolea ufafanuzi hilo
Nimekwambia siwezi kukiby mi nimecoma BSc in economics sijasoma sheria. Muulize katika angle za uchumi nitakujibi mijarabu kabisaAjabu sana, swali moja dogo tu umeshindwa kulijibu mara tatu!, sijakuuliza habari ya utaalamu wa sheria hapa, nimekuuliza ule mkataba wa IGA kati ya serikali ya Tz na DPW umewahi kuusoma? au hata kuusoma tu mpaka mtu awe mwanasheria?!
Hata ule wa IGA ulikuwa siri; siri wakati mwingine huvujishwa japo wanaovujisha wanaambiwa siku zote big brother is watching you 😆😆Hiyo mikata si ni Siri, wameipataje? Hii tetesi Chai