Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Tulieni hivyo hivyo, kama hizo taasisi za kusimamia zimekaa kama bosheni acha ma infulensa wa kidini waingilie. Maana hamna taasisi imara hii bongo kila kitu upuuzi tu.Hawa wamedekeshwa miaka mingi na kujiona kichwa kikubwa kutaka kuingilia yasio wahusu.
Kama kuna tatizo la bandari, ni tatizo la watanzania wote na kuna njia na taasisi za dola kushughulikia ikiwamo bunge, mahakama, serikali au baraza la mawaziri n.k
Hii ta TEC kushupalia ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika.