Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

sio kweli kiongozi wa nchi angekuwa RC musingeongea kabisa ila yeye ni muislamu isitoshe munachuki dhidi ya waarabu na sababu kuu ni dini yao hakuna lingine hao waarabu wangekuwa ni maa RC tusingelisikia chochote acheni chuki zimeshapitwa na wakati
 
hao mashekhe unaposema wanamikutano yao na maudhui yao ni dini tu ama ujenzi wa misikiti hawaijadili kuhusu serikali na maamuzi yake maana serikali imeshikilia mihimili yote balaa la njaa mafuriko janga lolote serikali ndio mhimili mkuu sio taasisi za kidini
 
Basi ni kanisa la mashetani siyo kanisa la mungu. Kanisa la mungu wanatii ma.laka kama iliyoainishwa kwenye biblia ndo mana walokole wanazidi kuwa wengi na wanatoka hukohuko kanisa katoliki baada ya kugundua Hilo siyo kanisa Bali ni usanii tu
Mamlaka inayongia madarakani kwa wizi wa kura ina uhalali gani boss? Hakuna anayezuia muumini kwenda popote atakapo. Hivyo hata akiwa mlokole huo ni uamuzi wake.
 
Hili kanisa sasa litaka chokochoko
 
sio kweli kiongozi wa nchi angekuwa RC musingeongea kabisa ila yeye ni muislamu isitoshe munachuki dhidi ya waarabu na sababu kuu ni dini yao hakuna lingine hao waarabu wangekuwa ni maa RC tusingelisikia chochote acheni chuki zimeshapitwa na wakati
Wapuuzi sana walimletea dharau rais SSH wakimuona ni mwanamama, wakasahau kuwa aliapa na akaushika msahafu siku ya kiapo.

Hawa waandike maumivu, hilo suala limekwisha malizika wajiandae kuhudumiwa na DP World pale bandarini.
 
Itasaisia nini wakati Mkataba umeshasainiwa?
Au wanajitoa kimasomaso?
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Unaongea Kama umekatwa kichwa.
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Samia hana uwezo wa kulifuta Kanisa maana hakulianzisha.
Acheni hadithi za kitoto kwani Rais na Kanisa kuna mahusiano mazuri mengine ni story za wenye njaa
 
Tuokeni jamani, mungu tuokoe kwani shetani na genge la matapeli Tanzania wanatuumiza
Shetani na genge la matapeli Tanzania wanauza nchi. Maaskofu tuokoeni jamani. Mungu tuokoe
 
Kanisa ni mwili wa Kristo, Kristo ndiye kanisa, kanisa siyo jengo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…