Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Yesu Kristo ndiye mkuu wa kanisa kwa msingi wa uumbaji na ukombozi wa mwanadamu.
Asili ya kanisa ni Yesu Kristo mwenyewe.
sio kweli yesu hakuacha kanisa na isitoshe hakuwahi kuingia kanisani kanisa ni la yule muungwana aliekuwa akiwauwa je ni nani huyo
 
Hawa wamedekeshwa miaka mingi na kujiona kichwa kikubwa kutaka kuingilia yasio wahusu.
Kama kuna tatizo la bandari, ni tatizo la watanzania wote na kuna njia na taasisi za dola kushughulikia ikiwamo bunge, mahakama, serikali au baraza la mawaziri n.k
Hii ta TEC kushupalia ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika.
hapana inasemeka tec ndio wameiweka serikali madarakani na taifa kwa ujumla linaongozwa na tec bila tec serikali hakuna laiti waisilamu wangelikuwa ndio hao tec wangeshavamiwa hadi misikitini kisingizio wanapanga shambulizi la kigaidi ila imefikia wakati taasisi za kidini ziendelee na mahubiri kwa waumini wake wamfahamu mungu wao iweke pembeni siasa na serikali liendelee na majukumu ya kitaifa na kimatafa kazi iendelee
 
Hawa wamedekeshwa miaka mingi na kujiona kichwa kikubwa kutaka kuingilia yasio wahusu.
Kama kuna tatizo la bandari, ni tatizo la watanzania wote na kuna njia na taasisi za dola kushughulikia ikiwamo bunge, mahakama, serikali au baraza la mawaziri n.k
Hii ta TEC kushupalia ni uchochezi ambao hauwezi kuvumilika.
mama kachomoa titi mdomoni maziwa hakuna wamezoea kunyonya na kulambalamba sasa kila kitu kitalipiwa maana hata tende huwa zinalipiwa viuchochorochochoro sasa basi
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Hujielewiiii......akigusa kanisa tu amekwenda na hata kizimkazi hatarudii
 
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
Hiyo siyo kazi ya Kanisa katika nchi ya Kidemokrasia. Kanisa la Congo linafanya kazi hizo kwa sababu Congo haina Katiba ya Rais, bunge na mahakama. Hivyo hivyo Somalia na Kossovo na Nicaragua. Sisi hivyo vyote vipo. Serkali ni halali, Rais kachaguliwa kwa Ilani yake, Bunge likapitisha. CHADEMA wakapinga mahakamani wakashindwa. TEC si Supreme Court, hawapo kwenye mlolongo wa maamuzi. Kama hii ni kweli, watajidharilisha.
 
Chadema wamepiga mahamani, una akili kweli? Lini katiba yetu inaruhusi matokeo ya rais kupingwa mahakani hata kama katangazwa wakati kapigiwa kura 10% ya kura zote?
 
Hana uwezo huo, RC sio kanisa la Gwajima boss.
Basi ni kanisa la mashetani siyo kanisa la mungu. Kanisa la mungu wanatii ma.laka kama iliyoainishwa kwenye biblia ndo mana walokole wanazidi kuwa wengi na wanatoka hukohuko kanisa katoliki baada ya kugundua Hilo siyo kanisa Bali ni usanii tu
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Hii ni kuonesha ulivyo na akili ndogo, kwanza hiyo jeuri ya kulifuta hawana. Pili kufikiria mapadri wa katoliki ni sawa wa wachungaji wako wa kuokoteza umebugi.

Kila padri unayemuona anadegree mbili au zaidi degree ya kwanza ni philosophy na degree ya theology. Achana na nyingine wanazosomea kama ualimu, accounts, management etc. Hilo ujue.

Tatu catholic means universal, ndio maana padri anaweza kufanya kazi popote duniani. Kama unauelewa wa kanisa hili mapadri wengi sana wapo nje ya nchi na waliopo wameshafanya utume sehemu nyingi sana nje ya nchi. Hivyo ikitokea likafungwa watenda nchi zingine na watapiga kazi.
Je mchangaji wakeataweza?
 
Mbona mapadre wengi ni vilaza Sasa. Mi nakumbuka niliyosoma nao seminari ambao walikuwa na uwezo mdogo ndo wakiamua kwenda upadre kama last option. Vipanga wote Huwa hawaendagi huko.
 
Binafsi sioni tatizo lolote maaskofu kujadili chochote kama wanaona kuna dosari wawe huru kupinga ,pia kuleta maoni ya kubadili chochote.
Nchi hii dini kuu ni mbili mbona mashekhe wanamikutano yao miskitini na hatuleti inshu , tuwape ndugu ze2 nao vilevile wafanye mikutano yao , ndo demokrasia hio

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hiyo Hilo li kanisa siyo kanisa la mungu ni la mashetani kiasi Cha kutishia uhai wa mtu
Wewe wasema uhai gani umetishiwa ? Unauza rasilimali nyeti hivyo ......bila huruma ? Maslahi kikundi kidogo tu cha watu wengine kama mafala....acha sautiya watu itutetee..
 
Back
Top Bottom