Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Yaani kulaani kudhuru watu na kusababisha vifo kwa sababu tu ya uchaguzi huu mdogo wewe unaona ni jambo baya? Sasa wameshasema hivyo, utawanya nini?
 
Yaani kulaani kudhuru watu na kusababisha vifo kwa wahanga wa kisiasa wewe unaona ni jambo baya? Sasa wameshasema hivyo, utawanya nini?
Hatuna cha kuwafanya Zaid ya kuwaambia wavue magauni kisha wavae magwanda waingie ulingoni.
 
Hatuna cha kuwafanya Zaid ya kuwaambia wavue magauni kisha wavae magwanda waingie ulingoni.
Wao wametimiza wajibu wao, nyie mnaotaka na kufurahia watu waendelee kudhuriwa na kupoteza maisha mko kazini.
 
Muone huyu mjinga kama Lucas Mwashambwa.
 
unaujua ukubwa wa serikali na nguvu zake? Serikali ikiamua kufanya mambo yake hufanya hakuna wa kuizuia ila wa kuikemea na kuitolea MATAMKO wapo na wataendelea kuikemea inapoonekana inafanya sivyo
Kijana umekuwa brainwashed au ni upofu wako tu??,, eti ukubwa wa serikali na nguvu zake!!!!!,,, kuwa na kiasi Bwana mdogo,,, Nguvu ya serikali Huwa hasemwi hivi Kwa nje Nguvu ya serikali ni watu na Kwa ndani Tunafanya Mambo YETU bila hype za namna hii,, nyie endeleeni na ubishi wenu tu lakin usifike kipimo hiki,,, everything run by human has its own limits,,, Take care,,, arrogance siyo sehemu ya system ya watu wastaarabu,,,
 
Tatizo serikali inawalea sana hawa wapuuzi,kazi ya taasisi za kidini ni kulea watu kiroho na sio kutwa kurumbana na wana siasa.
Taratibu kijana,,, patient ni tabia ya watu wastaarabu,,,wewe pia ni mpuuz kama hao wenzako unaowaita wapuuz,,
 
BAKWATA na Shehe wa Mkoa [DSM] wakiwa wanasifia hampigi kelele.
Mkikemewa mnalalamika...
Mtekeni basi Ruwaich pamoja na Bagonza - nyie si mabingwa.
Shoo juzi alipomsifia Mama mbona hukusema anyamaze..mnapenda kusikia mambo yanayofurahisha nafsi zenu.Hamjui hata demokrasia ni nini
 
Tatizo uislamu umeingia kwa upanga hivyo bila mauaji uisilamu haujakamilika, ni vigumu sana kumsikia muisilamu safi akikemea mauaji yanayofanywa dhidi ya wananchi wasio na hatia.
 
Tatizo uislamu umeingia kwa upanga hivyo bila mauaji uisilamu haujakamilika, ni vigumu sana kumsikia muisilamu safi akikemea mauaji yanayofanywa dhidi ya wananchi wasio na hatia.
Na ukristo Ile vita vya Crusade walipigana kwa kutumia Nini?

Viwembe au??

Makafiri tumieni akili lasivyo mtaendelea kufungishwa ndoa za machoko.
 
Hivi uko serious unachukizwa na viongozi wa dini kuingilia siasa? Ni lini umewahi kuonyesha kuchukizwa na Hilo?
Huyu chawa👇 vipi?
 
Mkumbuke chanzo cha yote haya ni wanasiasa. Utasikia viongozi wa dini ombeeni nchi☺️☺️
 
Sasa kama hayana maana...wewe kinakuuma nini..si utulie waendelee kupoteza muda tu...
Kama ambavyo wewe limekuchoma, ukatoka huko ukakurupuka humu - na wenzako waliofanya dhuluma hasahasa kwenye huu uchaguzi - taarifa wanaipata na wanaumia kwa kihoro.
 
Anatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.

Walio tenganisha dini na siasa hawakuwa wapumbavu.
Lini masheikh wameanza kutenganisha dini na siasa?👇
 
Na ukristo Ile vita vya Crusade walipigana kwa kutumia Nini?

Viwembe au??

Makafiri tumieni akili lasivyo mtaendelea kufungishwa ndoa za machoko.
Hizo ndoa zilianzia kwa wajomba zenu ambao walibuni mtindo wa utayari kwa kuvaa msuli bila chupi, na wakajiwekea watwana wa kujiridhisha umende wao. Tabia ys umende ilikuwa ikifanyika pwani ya Afrika Mashariki kuanzia Lamu, Mombasa, visiwa vya Pemba na Unguja na Dar es Salaam ambako wajomba zenu toka Oman walikuwa wakija kwa majahazi na kujipatia watwana bure.
Ungejua historia ya chanzo cha hayo uliyoyataja wala usingeyaandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…