Friends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?
Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.
Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.
Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Wewe kweli ni MJINGA na BUMUNDA,POPOMA MKUBWA.
Siku ikimwagika damu zaidi nchi ikawa kwenye machadfuko mtarudi kusema ,taasisi za dini KANISA limekaa kimyaa wakati viashiria vilipoanza.
Kanisa linakemea uvunjifu wa amani,udanganyifu kwenye uchaguzi,
Mauaji ya watu katika uchaguzi.
Siku akifa mamako au MUME WAKO ,ndiyo utaelewa maana ya matamko ya kanisa ya kuonya.
Wewe na SHOST wako Faiza Foxy,mnaaongozwa na UDINI,uislamu,kwa vile Rais ni muislamu,
Nakuambia siku mambo yakiharibika tunakufa wote, waislamu na wakristu!
Endelea kufurahia ujinga.Umewahi kujiuliza kwanini waislamu hawatoi matamko??
Wanaona hayawahusu yanayoendelea.
Siku itafika patakuwa hakuna mtu wa kutoa Tamko.