Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Kwa hiyo wakati wa Biashara ya utumwa Mashehe ndio walikuwa wapo kipaumbele kupigania Uhuru ?
Kumbe haulifaham hilo??

Ustadh Mtwa Mkwawa alikuwa parokia yule?Abushiri bin sultan w Tanga alikuwa kafiri?

Tafuta historia ujue,kanisa katoliki halikushiriki kivyovyote kwenye kupigania uhuru wa nchi hii,eti Leo wanajifanya wazalendo na Wana uchungu,uchungu Gani kama vipi SI wakazae tuh.
 
Pepo la udini limekuvaa, kwanza elewa maana ya regime, unaandika tu kwa mhemko wa kidini, lini maaskofu wakaruhusiwa kusajili chama? Acha wakemee yasiyopendeza
MAASKOFU wanaona SIASA ni lelemama na kuongoza nchi ni kama kuongoza hao kondoo wao huko, Kila siku MATAMKO,wanataka Nini??

Kama vipi waingie ulingoni tujue moja.

Wanafiki wakubwa hao.
 
Kiongozi wa dini kwa kiapo cha imani yake, anastahili kukemea uovu wa aina yoyote, uwe wa kijamii, kisiasa, kiuchumi, kimaadili au kiroho. Ukemeaji wa uovu hauna mipaka.

Labda useme kuwa kudhulumu haki za watu za kisiasa siyo uovu. Kuwaua watu kwa sababu za kisiasa siyo uovu. Nje ya hapo waache viongozi wa dini watimize wajibu wao.

Soma historia, utapata orodha ndefu ya manabii waliowakemea wafalme, na wengine hadi waliuawa na wafalme kwa sababu ya ukweli wao dhidi ya watawala ambao hawakutenda haki.
Anatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.

Walio tenganisha dini na siasa hawakuwa wapumbavu.
 
Wanatumia haki yao ya kikatiba na kamwe hawez nyamaza
Ukristo umejengwa kwenye msingi wa kusimamia haki
Kusimamia haki Gani?

Badala ya kwenda kupambana na mfute baraka KATIKA ndoa za wase.nge na wanajifanya wanasimamia haki,haki Gani?
 
MAASKOFU wanaona SIASA ni lelemama na kuongoza nchi ni kama kuongoza hao kondoo wao huko, Kila siku MATAMKO,wanataka Nini??

Kama vipi waingie ulingoni tujue moja.

Wanafiki wakubwa hao.
fahamu kuwa ndio wenye ushawishi mkubwa kwa kuwa wananchi ndio waumini wao. Lazima serikali iwaogope
 
Anatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.

Walio tenganisha dini na siasa hawakuwa wapumbavu.
Umeongea vizur sana,hakuna aliekatazwa kutoa maoni wala kukosoa,ila MAASKOFU wamekuwa kero shenzy Hawa,Kila siku kwenye vizimba vya dini mara serikali hiviii mara serikali vileee ...wanataka Nini??

Kazi yao ni kubishana na serikali au kuongoza kondoo??
 
Bibilia inatutaka tusishuhudie uovu.Hivyo,Maaskofu wanakemea maovu Kwa watawala maana wakikaa kimya itaonekana wanaunga mkono maovu ya awamu hii ya sita inayoongoza Kwa ukatili
...na kwa kuongezea, muambie huyo mfia dini kwamba hao maaskofu kukemea uovu hawajaanza leo wakati wa Ustadhat, walifanya hivyo hata wakati wa mkatoliki Jiwe!.
Kinachomsumbua huyo mjinga ni udini tuu.
 
fahamu kuwa ndio wenye ushawishi mkubwa kwa kuwa wananchi ndio waumini wao. Lazima serikali iwaogope
Wana ushawishi kwa nani hawa wezi tuh??

MATAMKO yao juu ya DP World yamesaidia Nini?Serikali iliacha kuendelea na plan Ile eti kisa MAASKOFU hawataki?mbona wameendelea na wameufyata mkia?

MATAMKO yao juu ya vugu vugu la maasai ngorongoro yameishia wapi? serikali imerudi nyuma au imeendelea na plans zake,hao wapuuzi hakuna wa kumtishia nyau watambue.
 
Hukuwaskia Hawa nguchiro enzi za magufuli wakiwa wanaleta Fujo kama hizi,pamoja na kuminya kwake Demokrasia kanisa lilikaa kimya kabisa,Leo midomo mireefu kama kakakuona.
Unajizima data...ingia youtube....hawa wataendelea kusema na serikali haitawafanya lolote, haina jeuri hiyo. Na kkkt.nao watatoa tamko. Unafikiri hawa ni mhurula kama bakwata?
 
Friends and Our Enemies,

Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Kama mb kawe
 
Anatakiwa atoe maoni yake kama raia wa kawaida na sio atoe maoni akiwa amejivika koti la kiongozi wa dini unakuwa una wagawa watu.

Walio tenganisha dini na siasa hawakuwa wapumbavu.
serikali yenyewe inatumia dini kufanya mambo yake. Waumini huambiwa watii mamlaka maana yatoka kwa mungu, wanakuwa wapole na wenyenyekevu kwa serikali. Kwa hiyo kuna miingiliano ili kudhibiti nidhamu ya wananchi. Hata serikali hukemea viongozi wa dini wasioendana na matakwa yao
 
...na kwa kuongezea, muambie huyo mfia dini kwamba hao maaskofu kukemea uovu hawajaanza leo wakati wa Ustadhat, walifanya hivyo hata wakati wa mkatoliki Jiwe!.
Kinachomsumbua huyo mjinga ni udini tuu.
Lini MAASKOFU walisimama na kumkemea jiwe kwenye vizimba vya dini kama hivi?lisu alipopigwa Risasi ni askofu Gani alisimama kuinyooshe kidole serikali zaidi zaidi ya kuuma uma maneno??

Mna chuki sana makafiri,tunawajua lengo lenu ni lipi,na hamtafanikiwa.
 
Wana ushawishi kwa nani hawa wezi tuh??

MATAMKO yao juu ya DP World yamesaidia Nini?Serikali iliacha kuendelea na plan Ile eti kisa MAASKOFU hawataki?mbona wameendelea na wameufyata mkia?

MATAMKO yao juu ya vugu vugu la maasai ngorongoro yameishia wapi? serikali imerudi nyuma au imeendelea na plans zake,hao wapuuzi hakuna wa kumtishia nyau watambue.
unaujua ukubwa wa serikali na nguvu zake? Serikali ikiamua kufanya mambo yake hufanya hakuna wa kuizuia ila wa kuikemea na kuitolea MATAMKO wapo na wataendelea kuikemea inapoonekana inafanya sivyo
 
Na hapo wewe ndie kwa hapo masjid kwenu.. ELIMU ELIMU ELIMU
Kelele walizopiga MAASKOFU mara ooh nchi imeuzwa,mara oooh waarabu wamepewa bandari na kadhalika,nani kawasikiliza hao wezi wenu??Yani serikali iache kufanya shughuli za maendeleo wawaogope wale wavaa magauni??

We umeskia wapi,wakachunge kondoo huko na kuiba sadaka,mambo ya kaisari wameshaambiwa wamuachie kaisari.
 
Friends and Our Enemies,

Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Unayafumbia macho maovu kwa sababu aliyepo ni wa kwenu
 
unaujua ukubwa wa serikali na nguvu zake? Serikali ikiamua kufanya mambo yake hufanya hakuna wa kuizuia ila wa kuikemea na kuitolea MATAMKO wapo na wataendelea kuikemea inapoonekana inafanya sivyo
MATAMKO yao wapeleke Vatican.

Sisi hatuna haja nayo,na waraka zao wakachambie mavi,sisi hatuna haja nazo...

Wakae wakitambua hizi siyo zama za kuungama kwa kanisa,tushatoka huko .
 
Friends and Our Enemies,

Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana. Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA, wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni, tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Pole sana maaskafu haswa wa katholic hawana uchawa na unafki, wanachosema ni ukweli always.
Isitoshe daily wanawachana waumini ukweli max pro iwe kanisani or jumuiya
Pole kama huwez ku take that, only waseminary wataelewa
 
Unayafumbia macho maovu kwa sababu aliyepo ni wa kwenu
Wewe ndie unasema,kumbe hao MAASKOFU kutwa kushinda kwenye vizimba vya kanisa kuleta fujo na taharuki nchini hapa kumbe kisa huyu mama siyo kondoo wao siyo??

Waambie hao nguchiro safari hii tutakula nao sahani moja.
 
Back
Top Bottom