Maaskofu matamko yenu yametosha sasa, ni muda umefika muende kwa Msajili wa Vyama vya Siasa mfungue chama chenu

Gentleman,
umeeleza jambo la maana kwa uzito unaostahili kabisa..

ni dhahiri ikiwa kazi ya kuhubiri neno la Mungu imewashinda, ni vyema wakaanzisha chama cha siasa na kuomba usajili,

halafu makanisa yao ndiyo yakawa ofisi za hicho chama chao, ambapo ubatizo na maungamo yawe yanatolewa kwenye mikutano ya hadhara🐒
Tukitafuta wahu 10 wanaoongoza kwa wehu hapa Tanzania, huchomoki kwenye nafasi ya 2 na ni kwa vile tu nafasi ya kwanza yupo THE BIG SHOW
 
Wewe shetani mwehu, huna uwezo wa kuwatisha viongozi wa dini wanaosimama katika viapo vyao.

Unasema eti serikali haiwaogopi, kwani hiyo serikali itawafanya nini, wakati hawajavunja sheria yoyote ya nchi? Au ule ushetani wenu wa kuteka na kuua watu ndiyo dhihirisho kuwa hamuwaogopi watu wanaonena ukweli?

Mfahamu tu kuwa, kadiri mnavyozidisha ushetani wenu, ndivyo sauti za wenye haki zitakavyoongezeka.
Ebu punguza lugha chafu jadili mambo kwa hoja.
 
Friends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana.
Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA,wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni,tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Hii laana umeitafuta kwa nguvu yako mwenyewe ,hivi walifaham kanisa hili? Mkuu fanya yako ,ila kaa pembeni na kanisa hili , tunza hii kwa siku zijazo
 
Friends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana.
Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA,wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni,tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Kwa hiyo wakati wa Biashara ya utumwa Mashehe ndio walikuwa wapo kipaumbele kupigania Uhuru ?
 
Uovu Gani MAASKOFU wenyewe ni wezi tuh, MAASKOFU wameshiriki hadi kupokea mgao wa fedha haramu za Escrow kipindi kile wanajifanya wazalendo uzalendo wautoe wapi?
Wewe ndiyo maana tunasema huna akili.

Tuambie nani mpaka leo hii aliwahi kuhukumiwa kwa kuhusika kwenye pesa ya Escrow account? Rugemerila walimlazimisha akiri kosa, akakataa, na hawakuweza kumfanya chochote kwa sababu hakuwa na kosa.na mwisho akaachiwa.
 
Ni bahati mbaya sana kuwa nchi haina uhaba wa watu wenye fikra kama za huyu bwana (nahisi ni mwanaume). Sehemu kubwa ya jamii inapokuwa na akili za kiendawazimu kama hizi, tunakuwa na hali ijulikanayo kama ‘mass psychosis’ ambayo inasababishwa na watawala kufisha uwezo wa wananchi kufikiri kiusahihi. Kufishwa huku kwa uwezo wa wananchi kufikiri (menticide) kunatekelezwa kwa njia mbalimbali na watawala ikiwemo uminywaji wa haki za raia, utekaji, mauaji ya kiholela nk. Kwa hiyo hoja ya huyu mwenzetu ni kiashiria cha tatizo kubwa linalotukabili kama nchi
 
Wewe ndiyo maana tunasema huna akili.

Tuambie nani mpaka leo hii aliwahi kuhukumiwa kwa kuhusika kwenye pesa ya Escrow account? Rugemerila walimlazimisha akiri kosa, akakataa, na hawakuweza kumfanya chochote kwa sababu hakuwa na kosa.na mwisho akaachiwa.
Sasa kwani ni uongo kuwa kanisa lilinufaika na pesa zile za wizi?

Kwahiyo kwa kuwa Ruge hakuchukuliwa hatua unadhani ilikua sahihi wao kuchukua zile fedha we nguchiro?
 
Friends and Our Enemies,
Kuendelea kuwapuuzia MAASKOFU kwa hizi fujo zao wanazoendelea nazo eti kwa kujificha kwao nyuma ya kivuli cha uzalendo na kuwasemea wananchi kunaleta ukakasi sana.
Kwanza Tokea lini MAASKOFU wakawa na uchungu na Taifa hili?

Kipindi hiko watu wanapigania uhuru wa nchi hii kanisa halikua na habari hata chembe na vugu vugu hilo na badala yake walikuwa baridi wakiunga mkono mkoloni kwa kuwa ndie hasa alikuwa anawapa wao kipaombele KATIKA Kila nyanja zikiwemo Afya,Elimu na kadhalika.

Ni kawaida yao MAASKOFU kuwa kimbele mbele hasa Regime zikiwa sizo za wanakondoo wao.

Tunawaambia MAASKOFU waache choko choko na fujo,kama wanaitaka SIASA waende kwa MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA,wapewe utaratibu wa kufungua CHAMA chao ili waingie ulingoni,tujue moja kazi YENU ni kuongoza Wana kondoo wenu au kupambana na serikali?
Wewe ni mjinga sana, unafurahia hali hii mbaya nchi inakopekekwa? Unadhani utabaki na hiyo nafasi milele?
 
Mara Leo wake na DP World,kesho waje na la wamasai shida YENU Nini?
Kukaa kimya kwa huu utawala siyo kwamba eti unawaogopa kama mnavyodhani,hamna mamlaka ya kuipangia serikali kitu chochote,hapa siyo Vatican tambueni.
Na hapo wewe ndie kwa hapo masjid kwenu.. ELIMU ELIMU ELIMU
 
Hakuna baya juu ya hilo ila tatizo ni kuwa wanafanya harakati zao kwa mgongo wa viongozi wa dini badala ya kutoa maoni kama raia wa kawaida.
Hii tabia ya viongozi wa dini kuingilia siasa yalisha pigwa marufuku katika nchi nyingi sana maana wanagawa watu.
Kiongozi wa dini kwa kiapo cha imani yake, anastahili kukemea uovu wa aina yoyote, uwe wa kijamii, kisiasa, kiuchumi, kimaadili au kiroho. Ukemeaji wa uovu hauna mipaka.

Labda useme kuwa kudhulumu haki za watu za kisiasa siyo uovu. Kuwaua watu kwa sababu za kisiasa siyo uovu. Nje ya hapo waache viongozi wa dini watimize wajibu wao.

Soma historia, utapata orodha ndefu ya manabii waliowakemea wafalme, na wengine hadi waliuawa na wafalme kwa sababu ya ukweli wao dhidi ya watawala ambao hawakutenda haki.
 
Mara Leo wake na DP World,kesho waje na la wamasai shida YENU Nini?
Kukaa kimya kwa huu utawala siyo kwamba eti unawaogopa kama mnavyodhani,hamna mamlaka ya kuipangia serikali kitu chochote,hapa siyo Vatican tambueni.
Hawatakaa kimya na utawala hautawafanya lolote. Wakati wanakomaa na magufuli alipokuwa anawakaanga kule kibiti mlikuwa wapi?
 
Bibilia inatutaka tusishuhudie uovu.Hivyo,Maaskofu wanakemea maovu Kwa watawala maana wakikaa kimya itaonekana wanaunga mkono maovu ya awamu hii ya sita inayoongoza Kwa ukatili
Wanapopokea hongo SI uovu huo
 
Hawatakaa kimya na utawala hautawafanya lolote. Wakati wanakomaa na magufuli alipokuwa anawakaanga kule kibiti mlikuwa wapi?
Hukuwaskia Hawa nguchiro enzi za magufuli wakiwa wanaleta Fujo kama hizi,pamoja na kuminya kwake Demokrasia kanisa lilikaa kimya kabisa,Leo midomo mireefu kama kakakuona.
 
Back
Top Bottom