Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

CCM ina hali mbaya kila mahali kuanzia mitandaoni mpaka uraiani.
Jipeni tu moyo
Hao maaskofu hawatutendei haki,nchi inahangaika na corona,wao wanataka tume huru kuchunguza mdee kuvunjwa mkono!

Siasa za kitoto hizi,unakwenda magereza kufanya fujo unategemea nini?tume ya kijaji ichunguze nini hapo kila kitu kipo wazi.

Maaskofu wamechoka na ushwari wa nchi
 
Ingekua na hali mbaya iyo mnayo isena kila siku Wala usinge kua unaongelea jamiforums ungekua ikuli Ila kwakua mnajua kabisa mmesha feli ndiomana kitu kidogo utaskia maaskofu mbona hatuwaskii masheghe chadema mnapo taka kutufikisha tutafika tu Ila hingeren kwa kumilik jamiforums Mana Uzi zinazo iongelea mabaya ya CHADEMA hua zinafutwa pia una blokiwa mtoa mada in short humu jamiforums ni kwa jil ya CHADEMA na kuiponda serekal kwaio mlio jaa umu weng ni CHADEMA
CCM ina hali mbaya kila mahali kuanzia mitandaoni mpaka uraiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema mnataka kutupeleka kwenye udini na hao maaskofu wenu. Mkiambiwa na chama cha kidini mnakataaga lakini kila uchaguzi mnatumia udini na ukasikazini. Hii coincidence vipi maaskofu wenye asili ya ukasikazini wanakuwa na stand moja na chadema? Hii ni conspiracy na ni udini plus ukabila
Mkuu,kuna hoja ya ukweli juu ya wanachokisema au lah!
 
Chadema mnataka kutupeleka kwenye udini na hao maaskofu wenu. Mkiambiwa na chama cha kidini mnakataaga lakini kila uchaguzi mnatumia udini na ukasikazini. Hii coincidence vipi maaskofu wenye asili ya ukasikazini wanakuwa na stand moja na chadema? Hii ni conspiracy na ni udini plus ukabila
Kabisa, hawa maasikofu wa kaskazini wamezidi viherehere.

Mtu kupigwa virisasi kadhaa tu, au Mtu kama hajaonekana siku mbili tatu kama yule Beni, wanaumia utasema walikuwa ni Waumini wao. Huwezi kukuta maasikofu wa Lindi, Mtwara au Songea wakifungua mdomo kwa sababu wamejaa utiifu na kushika kazi moja tu ya kumtumikia Mwenye enzi Mungu subhanahu wa taala.

Kama Mtu hakukutwa na jambo akiwa eneo lako la ibada ni bora kukaa kimya....waige mfano wa maasikofu wenzao kina ka tortoise au gwaji boy baada ya kuwezeshwa na dola kuwa watiifu kwa mamlaka.
 
technically,
Ni maaskofu wapi hao? Mbona hujatoa majina yao tuone kama kweli ni Maaskofu wa kweli au ni wanachama wa Chadema!
 
Bams,
Umeandika gazeti zima lakini hakuna hoja hata moja! Jiulize kwanza kwa nini walipigwe hao mashoga tuuu? Unajua wana lugha chafu sana hao wakina dada as if siyo wanawake! Unakwenda sehemu nyeti then unataka kuleta siasa! Lazima upigwe tu. Duniani kote sehemu nyeti ukileta cha kuleta lazima upate kipigo no way!
 
mmh, Kama unaona haya yanayoendelea ni sawa basi ni wazi sasa Baraza la Maaskofu Tanz kutoa Waraka wa Pasaka unaolenga ccm kutompitisha JPM kama mgombea Urais Oct. 2020.

Madai ya Maaskofu ni kwamba JPM ameshindwa kuwaunganisha Watz kama Taifa moja. Yeye ndiye amekuwa kinara wa ubaguzi kwa baadhi ya Watz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unaona haya yanayoendelea ni sawa basi ni wazi sasa Baraza la Maaskofu Tanz kutoa Waraka wa Pasaka unaolenga ccm kutompitisha JPM kama mgombea Urais Oct. 2020.

Madai ya Maaskofu ni kwamba JPM ameshindwa kuwaunganisha Watz kama Taifa moja. Yeye ndiye amekuwa kinara wa ubaguzi kwa baadhi ya Watz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hama nchi mkuu! Ila hayo ni maoni yao tu kama wananchi wengine. We dont care tusubiri October 2020 Watz wataamua.
 
Chadema mnataka kutupeleka kwenye udini na hao maaskofu wenu. Mkiambiwa na chama cha kidini mnakataaga lakini kila uchaguzi mnatumia udini na ukasikazini.

Hii coincidence vipi maaskofu wenye asili ya ukasikazini wanakuwa na stand moja na chadema? Hii ni conspiracy na ni udini plus ukabila
Mbaya zaidi hao maaskofu ndiyo wanaamulisha police kuwapiga watu,wanawatuma wasiojulikana kutesa,kuteka,kupoteza na hata kunyanganya haki ya kuishi na Kisha kuizuia sirikali kufanya uchunguzi wa matukio hayo.Yaani is like nchi haina serikali wala viongozi
 
Kama unaona haya yanayoendelea ni sawa basi ni wazi sasa Baraza la Maaskofu Tanz kutoa Waraka wa Pasaka unaolenga ccm kutompitisha JPM kama mgombea Urais Oct. 2020.

Madai ya Maaskofu ni kwamba JPM ameshindwa kuwaunganisha Watz kama Taifa moja. Yeye ndiye amekuwa kinara wa ubaguzi kwa baadhi ya Watz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hao maaskofu wamekuwa wanasiasa sio? Wagombee wao basi
 
Back
Top Bottom