Maaskofu na Mashekhe: Tunataka tume huru ya Kijaji kuchunguza matukio yanayoendelea Tanzania kati ya Serikali na Chama cha Upinzani

Amini unatenda mema kiasi kwamba tume ikifika kuhoji itaona usafi wa utawala awamu hii

Mtetezi wa wanyonge
Unganisha wanyonge na watu wa kaskazini waone weledi wako

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtanyooka tuu bado ya Trump. Hajaamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maaskofu gani hao tujuze!
Au Bagonza na genge lake?
Chadema ndiyo inapotea hivyo, labda mfungue kanisa pale Ufipa
 
Mtanyooka tuu bado ya Trump. Hajaamka

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo mume wenu siku hizi
 
Rubbish
 
Ukaskazin anautumia mamako.
 

Dunia yako inaishia wapi? Kuelewa hoja ya mtu, yenye weledi, mara nyingi inahitajo weledi angalao wa kiwango fulani. Kama huna weledi kabisa, hoja zote Duniani utaona hazina maana.

Strive for greatness, distance yourself from gormlessness.
 

Kwani kuna kiongozi ambaye hana kabila au dini hapa nchini, wewe ndiyo unashindwa kujibu hoja unafichama kwenye udini. Jibu hoja acha kuleta maneno ya udini sijui ukabila ambao siyo sehemu ya hoja. Badala ya kusoma hoja unaangalia kabila la mtu aliyetoa hoja huko ni kufilisika kimawazo. Iundwe tume huru ya kijaji ili kujuwa wale wabunge waliokamatwanje ya geti na kuanza kupigwa kama walifanya fujo yoyote au ulipangwa mkakati wa kuwapiga ili kumfurahisha meko.
 
Utakuwa wew ni mdini au mkabila, wao wanaongelea kuhusu uchunguzi wewe unaongela ukabila sijui udini, hivi hizi akili ccm huwa mnazitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Kumbe sio maaskofu kweli? Ni kama ile X ray picture ya uongo?
Wanafanya hivi ili kupata kuhurumiwa!

Tatizo hujasikiliza BBC ndo maana unasema hivo maana wamehoji kiongozi jana jioni na akafafanua vizuri bila kuegemea chama chochote lakini sababu ya upenzi wa chama ndo maana unasema hivo.
 
Kuna hawa maaskofu wa Chadema, wanaamini wao ndio maaskofu pekee Tanzania hakuna maaskofu wengine, kuna hawa "Tume ya haki za Binadamu" Kwao binadamu ni Chadema tu, wangine wote wana haki ya kutotendewa sawa mfano yule Binti Salome aliye uwawa Arusha,
Ila wakitendewa Chadema wanapaza midomo yao kama matarumbeta.

Mpaka unajiuliza hivi haya mashirika yako hapa Nchini kwa ajili ya upinzani au
Watanzania.
Kuna janga la corona huko duniani, account za mitandao ya kijamii ya vijana wanaotumwa na Chadema haizungumzii hilo ila uchaguzi na upuuzi wao wa tume huru.!
Na picha ya maigizo ya Ester Bulaya.!
Shame on you.! Watanzani wenye hii Nchi wanafahamu walipo na wanakokwenda njaa zenu haziwezi kuwayumbisha kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haijalishi aliyesema anatoka kaskazini au kusini, swala ni kwamba alichosema ni ukweli. Ukweli ni kuwa tunahutaji tume huru ya uchunguzi wa matendo haya na usuluhishi. Kisha tume huru ya uchaguzi. Kwani Chadema inahusika kivipi hapo? Chadema ni chama cha kaskazini au cha Taifa? Acha uccm jadili hoja ya maaskofu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…