Wewe ndiye hujui hoja!Hakuna hoja hapo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiye hujui hoja!Hakuna hoja hapo!
Waulize BBC
Wakiongea kupitia BBC maasikofu na wachungaji wamesema wanasikitishwa na hali inayoendelea Tanzania juu ya matukio ya watu kushambuliwa na hata kuvunjwa mikono. wanasema wanataka iundwe tume huru ya kijaji kwa kuwatumia majaji wastaafu.
Wanasema majaji wastaafu wanaweza kutokuwa na upendeleo wakitoa report yao pia wameonya iwapo haitafanyika na kutoa haki sawa kwa wote taifa litagawanyika
Wameongeza kuwa pamoja na kwamba sio watu wa siasa ila wanao wajibu wa kukemea maovu maana wanao umizwa ni moja ya waumini wao ivyo ni wajibu wao kuikumbusha serikali kama kuna mambo hayaendi vizuri wayarekebishe haraka wasisubiri mpaka amani itoweke.
Chanzo: BBC.
======
Kamati ya Kitaifa ya pamoja ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini nchini Tanzania wataka kuundwa tume huru ya kijaji, kuchunguza mvutano unaoendelea kati ya Serikali na Chama cha upinzani, kufuatia Sakata la wabunge wa CHADEMA kupigwa na kuumizwa huko Gereza la Segerea.
Wamesema jopo hili la majaji ndio linakwenda kumaliza minong'ono na chuki inayoendelea katika jamii.
Watu wengi wanahasira sana we acha tu 'things have gone out of hands already'CCM ina hali mbaya kila mahali kuanzia mitandaoni mpaka uraiani.
Hazikutoshi ongeza akili kidogo hata za kukuChadema mnataka kutupeleka kwenye udini na hao maaskofu wenu. Mkiambiwa na chama cha kidini mnakataaga lakini kila uchaguzi mnatumia udini na ukasikazini.
Hii coincidence vipi maaskofu wenye asili ya ukasikazini wanakuwa na stand moja na chadema? Hii ni conspiracy na ni udini plus ukabila
technically,
TUme huru kulingana na katiba ipi kamanda. Ya wamarekani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]technically,
TUme huru kulingana na katiba ipi kamanda. Ya wamarekani?
Si ndo hapo hatuwezi kufanya maamuzi mwishoni tume huru ingedaiwa miaka ilyopita na wananchi sio hadi tusubiri uchaguzi ndo wapinzani wadai hii ni sawa na kudeki bahari.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siasa za chadema za kila siku na maaskofu, wafungue kanisa kabisa.
Hakuna kamati ya uongozi wa dini zote Tanzania labda uliko huko!Hujasoma kuwa ni kamati ya viongozi wa dini ndiyo iliyotoa tamko hilo? Hiyo kamati inajumuisha viongozi wawakilishi toka dini zote na madhehebu yote.
3) Kama walitenda kosa linalostahili adhabu, ni nani mwenye haki za kisheria kutoa adhabu? Ni Polisi, ni mahakama au ni magereza?
4) Kama walitenda kosa, ni hatua gani zilistahili kuchukuliwa? Ni kuvunjwa mikono na askari magereza, kufikishwa mahakamani au kuuawa na hao Askari magereza?
wanakohitajika!
Kuchunguza tukio ndio kufunja amani ? hii IQ yako nimeipendaJipeni tu moyo
Hao maaskofu hawatutendei haki,nchi inahangaika na corona,wao wanataka tume huru kuchunguza mdee kuvunjwa mkono!
Siasa za kitoto hizi,unakwenda magereza kufanya fujo unategemea nini?tume ya kijaji ichunguze nini hapo kila kitu kipo wazi.
Maaskofu wamechoka na ushwari wa nchi
Yatakapo kukuta utalazimishwa kuyasema,huu kipofu sababu u mnufaikaWasitumie mwamvuli wa dini wajitokeze tu hadharani maana hao inaonesha dhahiri ni viongozi vivuli wa CHADEMA na si viongozi wa dini kama wanavyojinasibu
Na nyinyi mkome kutufanya watanzania wote hatuna akili. Tuna macho, masikio so tunajua kufanya tathimini.Hiyo ni fallacy...nilifikiri tutazame hoja yenyewe bila kujali anayeitoa hoja anatokea upande gani? Unataka kutuambia Askofu akitoka au mwenye asili ya kaskazini hoja yake inakosa umuhimu kwa sababu tu anatokea kaskazini? Hivi huu ujinga wa kutaka kuligawa taifa hili kwa misingi ya ukabila na udini nani anawajaza vichwani mwenu? Juzi tumemsikia mwenyekiti wenu pale Mbezi anamtaja Mushi kama mtu mwenye jina hilo kuwa "hapaswi kuaminiwa". Huu ni ujinga na komeni!