Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
- Wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
- Wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
- Wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
- Wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.
Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.