Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.

Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Waliosema yamerekebishwa ndo maana wamehudhuria ikiwemo miaka na uwajibikaji ulitaka mikataba ifutwe upate faida gani?
 
Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.

Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Mbona wa bongo tunauweza sana uchonganishi,fitina na majungu.siri ni ipi iliyofichika katika hili,wewe unaonaje iwapo wameshiriki,je hujasikia kama hakuna maoni ya yeyote yaliyopuuzwa.Je pia hujasikia kama upo ufafanuzi wa maswali magumu yaliyoulizwa?
 
Back
Top Bottom