Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Maaskofu wa TEC wamehudhuria utiaji saini wa mikataba 3 ya DP World?

Hakuna cha marekebisho wala nini. wao waraka wao ulikuwa ni Bandari wasipewe wawekezaji na sio marekebisho Mama Ni strong sna. wamenyweaaa usicheze na mamlaka
Wakatoliki shida yao ni wale jamaa wa ni zamu yetu hawana shida na mama,,,, kuna vita hazipiganwi waziwazi......... Kuna safu inarudi sasa hadi mwaka wa uchaguzi pataeleweka
 
Walishatoa tamko lao. Leo wameitilia with na kwenda Ikulu. Hainaanishi wamekubaliana.
Wana akili zaidi kuliko tunavyofukiria. Ni mwanzo wa vita ya chini chini na mshindi ni mmoja tu - wao.
 
Hivi kile kiwaraka cha TEC bado kinasomwa kila jumapili au wameacha?
 
Kama walihudhuria basi watakuwa wametenda dhambi hizi:-
*wamesaliti waraka wao waliousoma kwa majuma 6 mfululizo kupinga uwekezaji huo;:-
*wamepofushwa na fedha sh milioni 100 waliopewa hivi karibuni na rais Samia .
*wamedharau waumini wao. Kwann kama wameukubali waraka hawajapeleka mrejesho makanisani kwa majuma 6 kama walivyosoma waraka?
* wamepigwa kijembe cha waziwazi Kwasabb Mrisho Mpoto na makamu wa Rais Philip Mpango wamesikika wakisema "na waliokuwa wanapinga mkataba wa DP World, hivi sasa wanaukubali, wamealikwa na wapo hapa. Hakika kama waliokuwepo hawa TEC wamedhalilika.

Kama hawakuwepo, well and good. Nasubiria waraka wao mpya.
Screenshot_20231022-214337.jpg
 
Kwan ni siri mkuu au umeamua tu kujizima data
Walitaka vifungu vifanyiwe kazi na serikali imefanyia kazi wakawa hawana sababu ya kupinga mkataba.

Samia ni bonge la kiongozi, bonge la rais. Kathibitisha uwezo wake wa kiuongozi kwenye suala hili la bandari kuingia mkataba mkubwa wa kibiashara.
 
Wagalatia hawana akili, sijui nani kawaroga aisee, utaskia hii nchi inaongozwa na kanisa mara wakatoliki wakigoma hakipiti kitu! PUMBAVUUUUUU
 
Walitaka vifungu vifanyiwe kazi na serikali imefanyia kazi wakawa hawana sababu ya kupinga mkataba.

Samia ni bonge la kiongozi, bonge la rais. Kathibitisha uwezo wake wa kiuongozi kwenye suala hili la bandari kuingia mkataba mkubwa wa kibiashara.
Hapo nilipo bold wakati utoaji saini uko live ulikuwa unacomment kishabiki sana nashangaa saa hizi unawatetea TEC😂😂😂
Screenshot_20231022-214337.jpg
 
Sasa wangeturudia makanisani na kutueleza kuwa, zile kasoro zimefanyiwa kazi. Nimejicheka na kujidharau sana. Sisi leo kanisani kwetu, tumekomaa na mkataba wa DPW kumbe U turn imeshapigwa kitambo sana.

Funzo nililolipata ni kuwa, sitashabikia kitu kwa kufuata mkumbo wa Viongozi wa dini au wanasiasa au wanaharakati. Chochote kile nitakuwa nasoma mwenyewe, akili ikiniambia okay..naifuata. Na ikiniambia, no..naifuata.

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Bado ni mapema....,nadhani watatoka kulitolea ufafanuzi....,Huendi walifatwa na bunduki kuhudhuria utiani saini......HUWEZ JUA...Kama Mwenezi an ZERO, Unategemea nini....
 
Back
Top Bottom