msibadili gia anganiBila shaka, marekebisho yamefanyika,ndomaana unaona mambo ya mkataba wa miaka 100,yamekua miaka 30,bandari zote,imekua baadhi ya ghati n.k.
TEC ilitamka wazi haitaki uwekezaji Bandari
angalau Chadema wao walipinga vipengele vya Mkataba, TEC wao hawakutaka Muarabu apewe Bandari na hilo walitamka wazi mchana kweupe