Maaskofu walilia haki na uvumilivu uchaguzi mkuu

Maaskofu walilia haki na uvumilivu uchaguzi mkuu

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
millardayo_eadf23f1162e4779ba2e7646fa22a1f4.jpg
 
Maaskofu sio wajinga watake kilichopo
Kwani nani kakwambia wao ni malaika? Kwani hujasikia na kuona baadhi ya viongozi wa Dini wakihusika katika matukio machafu na yaliyo kinyume na Neno la Mungu. Hujasikia kuna viongozi wa Dini wakijihusisha katika uhalifu? Au umesahau ya yule Binti mwenye ulemavu wa ngozi aliyeuwawa Kikatili? Umesahau kuna viongozi wa Dini wamekamatwa kwa vitendo vya ulawiti kwa watoto wadogo? Umesahau kuna viongozi wa Dini wamehusika katika vitendo vilivyo kinyume na maadili na miiko yao?
 
uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania October mwaka huu2025,
unatarajiwa na wengi kuwa huru, wa haki na wa wazi, huenda kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.

Ni muhimu sana vyama vya siasa kua tayari kupokea ukweli wa matokeo ya uchaguzi huo,
na chama na mgombea wake kikipata kura zero, kisisingizie kuibiwa, hiyo maana yake wananchi hawajakielewa na ndio maana hawajakichagua.

Tujitokeze kwa wingi kupiga kura 🐒
 
Ungelikuwa unafuatilia tangu 1961 tulipopata uhuru, ungelijua kuwa hizi kauli ni za kawaida. Kama unafikiri wameongea kwasababu ya Lissu na No Reform, No Election, basi wahi hospitali mapema!
Acha kudhani watu wa 1961 Ndio wa SASA!. Hivi ccm huwa mawazo ni mugando toka uhuru!. Acha kukaza fuvu kijana
 
Acha kudhani watu wa 1961 Ndio wa SASA!. Hivi ccm huwa mawazo ni mugando toka uhuru!. Acha kukaza fuvu kijana
Wewe ndio una mawazo mgando ndio maana ni mjinga. Watu wa 1961 ndio waliingia mitaani kupambana na Mkoloni hadi nchi ikapata uhuru.

Nyie wa sasa hivi vitisho viiiiiingi mitandaoni. Lissu kakamatwa wewe umejificha chini ya kitanda unatuma mitandaoni meseji za "kitawaka! Kitawaka!" Jana umeambiwa kahamishwa gereza bila taarifa kutolewa! Umefanya nini nyang'au weeeee!! PUMBAVU!!!
 
😂😂 Njoo tarehe 24pale mahakamani na gwanda lako la kijani kama sijakitia madole ya mqundu.
 
😂😂 Njoo tarehe 24pale mahakamani na gwanda lako la kijani kama sijakitia madole ya mqundu.
Kwani hiyo tarehe unafikiri Iko mbali? Si ni Alhamis ijayo? Tutaona kama kuna mbwa koko yoyote itasogea karibu!
 
Kwani hiyo tarehe unafikiri Iko mbali? Si ni Alhamis ijayo? Tutaona kama kuna mbwa koko yoyote itasogea karibu!
Wewe jiletee na jezi yako ya mbogamboga afu....nigei kabisa namba Ili nikifika uje nilipo.
 
Wamechelewa, uchaguzi utafanyika kwa sheria na kanuni zilizopo, wajiandae kwenda kupiga kura.
 
Back
Top Bottom