nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Sawa kipi?Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Wachumia tumbo ni maaskofu wanaoiogopa serikaliKwani hao ni Maaskofu au wachumia tumbo!!?
Ndugu yangu'just play the ball not a person' nafikiri kutafakari ujumbe ndo muhimu zaidi kuliko hayo yako mengine ulionayo.......Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Kwani sabato kuna Mungu?haya mambo ya serikali na dini utayasikia kwa dini zingine lakini wasabato hawatakagi kabisa hizi mbanga.
Mbowe huyu huyu alikataza watu wasije msiba wa Kaka yake kisa kuepusha maambukizi kwa Jamii yake, ila baada ya mazishi akakimbilia Mwanza kufanya mkusanyiko bila kujali kuwa huko kutapelekea kueneza maambukizi. Kwahyo akaona Jamii ya wana Mwanza wacha wafe tu ilimradi mrengo wake kisiasa utimie.
Ila nyie Maaskofu uchwara mkakaa kimya
Ni hivi , baada ya mwendazake kutwaliwa ukiacha Mabeyo hawa na wengine walikuwa kwenye lile kundi la "BOT" kumbuka walishinikiza bibi choko choko asichukue mikoba ili wafuate usia wa mwendaji.Hebu kwanza.
Hivi SIRRO anaweza kufanya yote haya kwa utashi wake pekee. Inawezekana?...
Kumbuka kwamba Sirro alipewa U IGP na Makonda ila aliapishwa na JiweHivi polisi na aliyewatuma kuwakamata na kuwaweka viongozi wa CHADEMA mahabusu, lengo lao hasa lilikuwa ni nini?
Kuwatia uoga na hofu?...
Una umri gani?Mwamakula ni ASKOFU askofu tangia lin?
Mlienda kuona wafungwa au CHADEMA? 🤔Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili...
Bado.Ni hivi , baada ya mwendazake kutwaliwa ukiacha Mabeyo hawa na wengine walikuwa kwenye lile kundi la "BOT" kumbuka walishinikiza bibi choko choko asichukue mikoba ili wafuate usia wa mwendaji , mwendaji alikuwa na jina la mfukoni ikiwa kama ataondoka , kinyume cha katiba ya nchi , sasa baada Vasco Da Gama kuingilia kati ndio hawa wakarudi kundi la bi chokochoko , sijui kama unanielewa , huu ndio msingi wa hoja yangu
Najuwa.Kumbuka kwamba Sirro alipewa U IGP na Makonda ila aliapishwa na Jiwe
Muono wetu kama viongozi wa dini kuhusu ziara hiyo ni kama ifuatavyo: Kitendo cha kuwakamata na kuwaweka ndani viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa sababu zilizoelezwa kinalipaka matope Jeshi la Polisi na kinazidi kuinajisi Katiba ya Nchi. Kesi ya Freeman Mbowe inalichafua Taifa letu machoni duniani.Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili...
Sirro alivyokuwa anaropoka juzi ulimjulisha , hivi unajua baada ya mwendazake kutwaliwa Sirro alikuwa miongoni mwa waanzalishi wa Sukuma gang , unayafahamu malengo ya kundi hili ?
Anakutoa kwenye hoja.Muache.Wewe ndiye mwenye hatimiliki ya Kanisa la Mungu?