Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Maaskofu wangetembelea upande wa pili ( serikali ) ili ku -balance taarifa Yao kabla ya kutoa ushauri wao.Lakini Ninauliza tu,hao walinzi wa Mwenyekiti Mbowe,wa Jeshi la wananchi , bado ni watumishi wa jeshi la wananchi au walishafukuzwa
 
Amina kubwa Asanteni sana.Naguswa na wito wa Watumishi Hawa wa Mungu ikipenza wekeni no zao za simu nirushe sadaka yangu.
 
Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Ulaaniwe na ufe wiki hii. Maaskofu mwombeeni huyu afe tu kwa kejeli hii anayowafanyia. Piga Dua aondoke
 
Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili...
Mtu anayeshikiliwa kwa tuhuma za kufadhili terrorism sio mahabusu wa kisiasa!
 
Sirro alivyokuwa anaropoka juzi ulimjulisha , hivi unajua baada ya mwendazake kutwaliwa Sirro alikuwa miongoni mwa waanzalishi wa Sukuma gang , unayafahamu malengo ya kundi hili ?
Kwa hizi pumba ndiyo maana mama anawanyoosha hadi akili zenu zikae sawa.
 
Mwamakula naye Askofu? Lini kawekwa wakfu na nani?
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] na wao watapewa kesi ya ugaidi
 
Hakuna kitu sipendi Kama kiongozi mwenye dhamana kunyanyasa watu ili tu afanikiwe katika kile anachokiwaza! Huu ni upuuzi wa hali ya juu!
Kwa ufupi mama anafanya upumbavu!
 
Mbowe sio gaidi!
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
We jamaa ndizi kweli sasa mwamakula naye kiongozi wa dini tapeli lile zee jinga sana
 
Nahisi harufu ya uharo!
 
"Leo tarehe 8 Agosti 2021, sisi Askofu Emmaus Mwamakula na Askofu William Mwamalanga ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashehe kuhusu Maadili, Amani na Haki, tuliongoza Ujumbe Maalum wa Viongozi wa Dini kutembelea Magereza na Mahabusu Mkoani Dar es Salaam kwa lengo la kuwajulia hali mahabusu wa kisiasa."

-Kumbe ni mahabusu wa kisiasa!Siyo tena magaidi?
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
Bendera nusu mlingoti tena mkuu? itapepea kwa siku ngapi? watu mna mikwara sana eti ehee
 
Nawahurumia wenye dola kwa kuwatendea wengine unyama kwa matakwa yao binafsi.
Mungu afanye Jambo!
 
Ukishaona viongozi wa dini wamechafukwa, ujue muda si mrefu bendera ya taifa itakua nusu mlingoti tena.

Hawa watawala wetu wanaleta mzaha na amani ya nchi hii, sisi raia tumeshachoka na hatuna cha kupoteza tena. Kama kuonewa tumeonewa vya kutosha.
Upo wapi mkuu?
 
Mwanzoni nilidhani Taifa letu sasa linatembea na Mungu lakini Samia alipogeuka na kuamua kutemvea na shetani, amelinajisi tena Taifa.

Hakika, si yeye wala Serikali, atakayefanikiwa katika uongozi wake. Dhuluma na mauaji huzaa laana kwa mhusika mpaka kizazi chake cha nne. Na hili Samia na mawwkala wake, kamwe hawatalipuka, isipokuwa kwa msamaha wa Mungu, wakifanya toba ya kumpendeza Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…