Maaskofu wamtembelea Freeman Mbowe gerezani, wasema yuko Imara kuendelea kupigania Katiba Mpya

Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Umwishia darasa la ngapi? Rudia tena kusoma.
 
Ni mawazo mazuri. Isipokuwa hapo kwenye mahakama maana hatuna mahakama bali kuna mahakama kiinimacho..
 
Kichwa kilitakiwa kusomeka hivi wanyakyusa wawili Mwamakula na Mwamalanga wamtembelea Mbowe mahabusu
 
Wewe huenda una uwendawazimu. Waache wenye akili timamu wajadili hoja.

Bahati mbaya nchi haina mahakama bali kuna kitengo cha Serikali dhalimu kilichopewa kazi ya mahakama ambacho hufanya kazi kwa maelekezo ya serikali dhalimu.
 
Duh!! Awamu hii [ia CDM bado wanaandamwa!!! Ila Raisi alisema yeye na mwendazake ni kitu kimoja. Kuna vitu kweli wanafanana ila la tozo hapana.
 
Ama kweli maisha bila watu wapuuzi hayana ladha.

Yaani mwamakula amekuwa kiongozi wa kiroho wa watu fulani!!!pathetic.
 
Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Mungu Yehova mwenye watu wake anasema NI SAWA maana imeandikwa;

"....Enendeni ulimwenguni pote mkaihubiri Injlili kwa viumbe vyote..........." [MARKO 16:15]

Inashangaza kidogo wewe kupingana na agizo hili la YESU KRISTO..

The key sentence hapa ni " kila mtu kwenda ulimwenguni kote kuihubiri injili - habari njema kwa kila kiumbe.."

HOW?

Serikali za kibinadamu zikaweka utaratibu wa kufanya haya mambo kusajili kila kikundi cha dini ili kihubiri injili...

Kwa hiyo "kuundwa kwa vikundi vya kidini na watu kujipa uongozi wa aidha mchungaji au askofu" it doesn't matter, ni utaratibu wa kibinadamu tu ku - harmonize mambo...

Kinacho - matter ni INJILI YA KRISTO kuhubiriwa ulimwenguni kote kwa kila kiumbe..

Na ofcoz mimi ningependa kila mtaa na kwa kila balozi wa nyumba 10 kuwe na kanisa lenye mchungaji na askofu ili kuwezesha injili ihubiriwe kwa kila mtu...
 
Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Kavunja Sheria gani ya nchi Hii??
Twende kwa Katiba na Sheria!
Tusiende kwa Hisia na Chuki binafsi!
Kama kuna Sheria kaivunja unayo Haki ya kumpeleka kwa Pilato na apate Haki yake nitakuona ww ni mbora,!
 
Mungu wa mbinguni awabariki viongozi wetu wa dini.
 
Kuwatembelea wafungwa/watuhumiwa magerezani/ polisi, wagonjwa hospitalini , wajane na wale wote walio katika shida na mateso na kuwapa faraja bila kujali wamefikaje huko ni ibada tosha kwa mwenyezi Mungu. Kwa hiyo niwapongeze hao maaskofu kwani wametimiza kile ambacho biblia takatifu inatufundisha. Lakini napata shida sana na kanisa langu ambalo ndio taasisi kubwa sana ya kidini ya kikristo nchini kwenye suala kama hili walau la kuwatembelea watuhumiwa tu kuhakikisha wanapata stahili zao wakiwa kwenye vituo vya polisi na kupelekwa mahakamani kwa wakati hautalisikia kabisa badala yake siku hizi limegeuka kanisa la sadaka, michango na zaka. Na siku hizi kuna tozo mbalimbali mpya kabisa ambazo hazikuwepo kabisa miaka mitano iliyopita ili mradi ni pesa pesa tu.

Wanasahau kuwa watoa sadaka na zaka ndio hao hao wanaopitishwa kwenye tanuru la moto bila kupata utetezi wao viongozi wa dini ambao ndio wanasilikizwa zaidi kuliko sisi watu wa kawaida. Na ikitokea muumini kafariki utawaona mbio wanaenda kuendesha ibada kwa sababu wanajua kuwa watapata sadaka. Ifike mahali sasa sisi waumini tuwaombee wao badala ya wao kutuombea sisi ili mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awape mwanga ili wajue wajibu wao na nguvu zao kibiblia ni nini katika jamii inayotaabika bila kujali jamii hiyo imefikaje hapo katika hayo mateso.
 
Asanteni sana viongozi wa dini.
 
Sema Askofu Mwamakula...au Askofu Kula sijui. Maaskofu ni wengi na wao pia lazima credentials zao ziwe wazi. Hii ya kila mtu anapojisikia kuanzisha kanisa halafu kujipa uaskofu, nadhani sio sawa
Kama hujui kitu kaa kimya. Moravian Ni kanisa la tangu zama na zama.

Moravian church, Protestant church founded in the 18th century but tracing its origin to the Unitas Fratrum (“Unity of Brethren”) of the 15th-century Hussite movement in Bohemia and Moravia.
 
Hivi Mwamakula ni Askofu wa Chadema au ni Askofu wa nini? Maana siku hizi mtu akijisikia kuanzisha kijikanisa tu anajiita Askofu
 
umeandika vizuri Ila nilipoona umsema tunachafuka kimataifa Basi umeahanikela mkuu.kwani hayo mataifa ya nje sisi tangu lini tunaingiliaga Mambo yao ya ndani!??, mauaji ya black Americans,kila siku ,ulishaona USA inababaika na kelele za ndg zetu wanaouawa na maaskali polis wakizungu!?, Huu no ujinga na upungufu wa akili timamu ,kwa suala lako la ndani ya nchi hata
Kama ni haki yako,kuanza kuwaangalia mataifa ya nje yanasemaje kuhusu mikakati yenu!, Suala la katiba ni kwa maslahi (Kama yapo) ya watanzania sio mataifa ya nje.watz Kama wewe na hao maaskofu wanaosema tunachafuka nje ndo haohao ,watapewa na wazungu Nini kiwe kwenye katiba mpya!!! stupid!!,hao mataifa ya nje wanazo mikakati yao mfano foreign policy abt Africa ,hizo policy wanazipanga si kwa kuwatazama nyny stupid African's! wanaweka foreign policy for their own good & benefits .Kama tunahitaji katiba let's talk &take consideration abt us ,and not keep watching how that stupid Intruders are saying!!
 
HUYU MWAMAKULA HANA JIPYA ANASEMA VIONGOZI WA DINI UTAFIKIRI NI WA DINI KWELI KUMBE NI YEYE MCHUMIATUMBO NA HUYO MWENZAKE NDIYO WAMEJIFANYA KAMA WALIENDA VIONGOZI WEEENGI WA DINI HAO WANAJUIKANA NI WANA SIASA NA NDIYO MAANA WAMESEMA WALIENDA KUTEMBELEA MAHABUSU WA KISIASA MWAMAKULA HANA JIPYA NI NJAA TU INAMSUMBUA ACHA MBOWE AKUMBANE NA SHERIA NA UKOME KUWAHUSISHA MAASKOFU WENGINE AMBAO NI WACHUNGA KONDOO WE ENDELEA NA SIAS ZAKO TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…