Basi muda wa hio michezo ya kipuuzi imeisha,,,,wajue kubalance shobo ya huku hayawahusu wakiendeleza shobo hela zitaliwa tu na waendelee kubweka......na walipiga marufuku hio biashara sio kwamba walikua wanawapenda sana, wasingevumbua mashine hadi leo wangeendelea na hio biashara.........endeleeni kuwalamba miguu hao mabwana zenu kwa mapenzi yenu wenyeweWangetumwa weusi wenzako wakamata watumwa kuja kukusomba na kukupeleka kwa Waarabu.
Sikatai kuwa wazungu pia walifanya biashara hiyo ya kusomba primitives na kwenda kuwatumikisha lakini wao ndio hatimae walipiga marufuku biashara hiyo.
Huwezi kuua raia wako halafu uachwe salama.Basi muda wa hio michezo ya kipuuzi imeisha,,,,wajue kubalance shobo ya huku hayawahusu wakiendeleza shobo hela zitaliwa tu na waendelee kubweka......na walipiga marufuku hio biashara sio kwamba walikua wanawapenda sana, wasingevumbua mashine hadi leo wangeendelea na hio biashara.........endeleeni kuwalamba miguu hao mabwana zenu kwa mapenzi yenu wenyewe
Sasa unadhani watafanya nini zaidi ya kubweka na kutishia visenti vyao ambavyo sahv alternative zipo sio kama zamani,,,,,labda kama wana mpango wa kuleta magaidi, tofauti na hapo hawana la kutufanya na maneno yao kwetu sio sheria wapambane na nchi zao na matatizo ya kwaoHuwezi kuua raia wako halafu uachwe salama.
View attachment 3328726View attachment 3328727View attachment 3328728View attachment 3328729
Wewe bado primitive huwezi kushindana na watu walioenda shule.Sasa unadhani watafanya nini zaidi ya kubweka na kutishia visenti vyao ambavyo sahv alternative zipo sio kama zamani,,,,,labda kama wana mpango wa kuleta magaidi, tofauti na hapo hawana la kutufanya na maneno yao kwetu sio sheria wapambane na nchi zao na matatizo ya kwao
Bora maana wengi wa hao walioenda shule ndo vibaraka wa hao wazungu,,,,maana hata mifumo yao ya elimu za kikoloni waliyoleta ilikua kwa ajili ya kutengeneza vibaraka kama nyie kwahio sishangaiWewe bado primitive huwezi kushindana na watu walioenda shule.
Utaendelea kutawaliwa na Wazungu Direct na indirect mpaka Yesu arudi.Bora maana wengi wa hao walioenda shule ndo vibaraka wa hao wazungu,,,,maana hata mifumo yao ya elimu za kikoloni waliyoleta ilikua kwa ajili ya kutengeneza vibaraka kama nyie kwahio sishangai
Una furahia ukoloniMjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, asije akajiona mwenye hekima." (Methali 26:5)
Unaujua ukoloni au unausikia ukoloni jamaa yangu? Unaweza angalau kuchambua nadharia mbili za kuhusu ukoloni na relevance yake kwa Africa halafu ukaiweka Tanzania mezani na kuimulika juu ya hizo nadharia na baadae ukaniuliza Hilo swali?Una furahia ukoloni
Wewe nawe unapumuliwa nini? Yaani kati ya USHOGA na kukamatwa Lissu unaona USHOGA ni hoja dhaifu? ******* mpo hata JF kumbeKwani Kwa sasa yanafanyika Kwa kificho! Kwanini mnadandia hoja dhaifu Kwa kufunikwa mambo ya msingi na hata Bunge la Umoja wa Ulaya hakijazungumzia huo uchafu?
Madai ya Lisu kwenye uchaguzi, pamoja na katiba ya chama chake au msimamo wake kuhusu mapenzi ya jinsia Moja yapo katika mambo hayo?
Tuseme amekamatwa Kwa sababu ya kutaka Tanzania iwe nchi ya homosexuality?
Lakini unajua msimamo wa serikali ya Tanzania kuhusu Ushoga mpaka sasa na haijawahi kubadilika?
Hapana hawajasema hivyo kwahiyo usiwaze kile ulichowaza wewe au unacho jua wewe.Nimeona vingi, ila nakukumbusha tu kuwa yote yale ya haki za kibinadamu, uchaguzi, demokrasia ni zuha tu. Wanachotaka ni nchi yetu kuhalalisha ndoa za jinsia moja LGBTIQ
Atakuwa shoga huyu!Kuna mahali wamekulazim8sha kuwa shoga?
Tundu kaacha na wanae huko huko ukimbiziniBora maana wengi wa hao walioenda shule ndo vibaraka wa hao wazungu,,,,maana hata mifumo yao ya elimu za kikoloni waliyoleta ilikua kwa ajili ya kutengeneza vibaraka kama nyie kwahio sishangai
Sijui kama unastahili kuwa kwenye Jukwaa la GT na ukawa sehemu ya asset ya TaifaHata wewe ni shoga, ila Seikali haijakukamata tu
Ingia kaangalie threads zangu ndiyo uniamulie, siyo unaniponda kwa vile nimegusa masilahi yako kwenye ushoga. Niko humu tangu Jambo Forums, acha makasirikoSijui kama unastahili kuwa kwenye Jukwaa la GT na ukawa sehemu ya asset ya Taifa
Umesoma kichwa habari ukaelewa ndipo ukaahndika hivyo, au umeaandika?Kwa hiyo wewe umeona ushoga tu?
Ulisijikiza BBC Jana?Hilo la sex kaliweka kwa kupandikiza ili watengeneze propaganda kama kawaida yao.
Hakuna sehemu kwenye mjadala wala maazimio ya jana bunge la ulaya liliongelea masuala ya ushonga nchini Tanzania.
Hizo ni propaganda mfu wa wajinga na wapumbavu wa CCM.
Kwa utawala uliopo hayaruhusiwi lakini yapoNa lissu akishika madaraka hayo mambo yata ruhusiwa kabisa
Wabunge wetu ndipo wamapaona ni mahali pa kutokea. Mengine yote kwao si hoja. Hawatoki ng’oMnataka kuhamisha goli, misaada inaenda kukatwa.😁