Maazimio ya Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania; kuna hoja ya USHOGA pia

Kwa hiyo kwa tafsiri yako, tuyakate yoote hayo kwa sababu tu ya kifungu hicho cha maneno?

Tuyaone yote, kwa ujumla wake hayatufai, kwa sababu tu kumewekwa LGBT. Sisi ni binaadam tunaoweza kutumia akili, au ni maroboti tu!
Tuyakatae tu ili tuone nini kitatokea.
 
Tuyakatae tu ili tuone nini kitatokea.
magufuli alijifanya kichwa ngumu, wakakata misaada, akawa anashindwa kuendesha nchi hadi akaanza kupora bureau de change, kupora pesa za watu kwenye akaunti, kuteka kina modewj n.k, pesa mtaani iliisha, tumekuja kuanza kuona mzunguko na furaha ya maisha samia alipoingia nadhani kwa kushauriwa na kina kikwete. samia asiturudishe kule kabisa, yeye hana shida, atakula atakuwa na pesa kwa sababu ya nafasi yake, shida ni kwa raia, wataumia sana.
 
We umeona kipengele hicho tu!!?,, simply sasa fanya hivi ondoa kipengele hicho,kifumbie macho deal na mengine ambayo yako lukuki,yatekeleze,,baasi..hakuna haja yakujiumiza kichwa.
Mzungu hawezi kukusaidia bure, lazima aweke nasilahi yake
 
Kwani hujui kuwa Braza K ni moja kati ya agenda yake.
 
Tuyakatae tu ili tuone nini kitatokea.
Tukatae, HAKI ya kuwachagua viongozi tunaowataka wenyewe na mengine yote mazuri kwa sababu tu ya hicho kifungu cha LGBQ?
Tukubali tu kupondwa pondwa na jeshi la polisi na kuumizwa; kwa vile hao mabeberu wameghusia hilo la LGBTQ?

Tukubali serkali kukiuka sheria zake yenyewe na kuwatendea wananchi maovu, kwa vile tu Mabeberu wanagusia LJBTQ?

Sisi tutakjuwa ni binaadam wenye akili timamu, au tutakuwa ni mazombie?

Kwa maana hiyo, nami napendekeza serikali iache kabisa kuchukuwa pesa za haya mabeberu; kwa sababu hiyo pesa inao uhusiano na LGBTQ!
Tukate kabisa uhusiano na haya mataifa; mabalozi wao waondoke hapa mara moja kwa sababu wanatia dosari katika jamii yetu.
 
Chama ambacho viongozi wake wanajadiliwa na kutayarishwa na makuburu wa ulaya, hakifai kupewa hata uongozi wa kitongoji.
 
Tuyakatae tu ili tuone nini kitatokea.
Kuyakataa hayo yote, maana yake ni kukubali ya Samia na CCM na serikali yake yaendelee bila kikwazo chochote.
Haiwezekani.
Kama ni kuyakataa hayo, ni kukubali kwa sauti moja kuongeza mapambano yetu wenyewe, hata bila ya maneno ya hao mabeberu.
Tutapambana.
 
Chama ambacho viongozi wake wanajadiliwa na kutayarishwa na makuburu wa ulaya, hakifai kupewa hata uongozi wa kitongoji.
Kwa hali iliyopo chini ya CCM; akitokea shetani toka jehenam akahakikisha kuondoa takataka hiyo, shetani atasikilizwa; hata kama ni kwa muda mfupi atimize kazi muhimu.
 
Hivi "+" kwenye LBGTQ+ inamaanisha premium gay au takataka zote including sisiem . Naombeni mnieleweshe hapa.
 
Inamaana wabelgiji wenzangu mmlikuwa hamjui ajenda ya mkuu wa msafara wa ubelgiji kwamba nguvu za kutetewa na mabeberu ili awatetee wapumuliwaji ndiomana watu wanaongea mpaka mate yanawatoka maana wanapigania uhuru wakuliwa mavini!
 
Mods mnaachaje uzi wa upotoshaji kama huu!!??
Mnamwachaje mpotoshaji kama huyu.
Principled tafadhali chukueni hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…