MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Habali ziwafikie CCM na genge lao yakwamba hatuKubali kuuzwa kienyeji kama kuku wa mdondo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😀
Chadema maandamano hawayawezagi!
Kama UVCCM wameitisha maandamano ya kuunga Mkataba wa Bandari na waarabu nawaomba pia CHADEMA kiitishe maandamano nchi nzima kupinga waziwazi Mkataba wa Bandari na waarabu.
Nchi yang inaingia kweny mnada , Nyerere akiamka na kukuta uvccm wanachofanya kisa kupewa madaraka ni aibu kbsKama UVCCM wameitisha maandamano ya kuunga Mkataba wa Bandari na waarabu nawaomba pia CHADEMA kiitishe maandamano nchi nzima kupinga waziwazi Mkataba wa Bandari na waarabu.
Pia soma: Mwenyekiti UVCCM Taifa aitisha maandano kila Wilaya na Mkoa kuunga Mkono uwekezaji wa Bandari
Ndiyo maana na mimi nashauri tupige bei ikulu zetu za Dom na DSM, viwanja ndege, vyuo vikuu vyote, shule za seko na vyuo vya kati, ttcl, tanesco, trl, sgr, tazara , mbuga za wabyama zote etcBINAFSI NAUNGA MKONO KWA ASILIMIA 100% KUBINAFSISHA BANDARI ILA TU MKATABA UWE VIZURI.
KIUKWELI TUNAHITAJI MTAJI MKUBWA WA KUPANUA BANDARI AMBAO HATUNA. SASA KULIKO KUKIMBIZANA NA WAMACHINGA KUDAI KODI, KAMA KUNA NAMNA YA KUPUNGUZA HAYO MAKALI KWA KUBINAFSISHA KWA MASLAHI MAPANA YA NCHI KWA NINI TUACHE HIYO FURSA?
Waitishe maandamano siku moja na sisiem. Mtawaweza sana misisiem. Wote tuwe barabarani tuoneKama UVCCM wameitisha maandamano ya kuunga Mkataba wa Bandari na waarabu nawaomba pia CHADEMA kiitishe maandamano nchi nzima kupinga waziwazi Mkataba wa Bandari na waarabu.
Pia soma: Mwenyekiti UVCCM Taifa aitisha maandano kila Wilaya na Mkoa kuunga Mkono uwekezaji wa Bandari
Hakuna mjinga wa kwenda Kwa hao wapuuzi kama mnabisha itisheni tuoneKama UVCCM wameitisha maandamano ya kuunga Mkataba wa Bandari na waarabu nawaomba pia CHADEMA kiitishe maandamano nchi nzima kupinga waziwazi Mkataba wa Bandari na waarabu.
Pia soma: Mwenyekiti UVCCM Taifa aitisha maandano kila Wilaya na Mkoa kuunga Mkono uwekezaji wa Bandari
Makamu mwenyekiti wa chadema awalete watoto wake wenye uraia wa Marekani nao washiriki maandamano. Hatutaki ujinga watoto wetu waumizwe wakati wa kwao wanakula Bata majuu.Kama UVCCM wameitisha maandamano ya kuunga Mkataba wa Bandari na waarabu nawaomba pia CHADEMA kiitishe maandamano nchi nzima kupinga waziwazi Mkataba wa Bandari na waarabu.
Pia soma: Mwenyekiti UVCCM Taifa aitisha maandano kila Wilaya na Mkoa kuunga Mkono uwekezaji wa Bandari