Habali ziwafikie CCM na genge lao yakwamba hatuKubali kuuzwa kienyeji kama kuku wa mdondo
 
Chadema itabidi wavae nguo za ccm kwenye hayo maandamano. La sivyo wajitayarishe kupokea kipigo cha mbwa mwizi.
 
UVCCM wao huwa wanaunga mkono kila kitu kitokacho kwa viongozi wao, hata kama ni cha kipuuzi. Kiwe na maslahi hata kile kisichokuwa na maslahi kwao. Hawana uwezo wala uthubutu wa kuhoji maswala nyeti ndani ya chama chao yenye kugusa maslahi mapana ya taifa.
Kama UVCCM wameitisha maandamano ya kuunga Mkataba wa Bandari na waarabu nawaomba pia CHADEMA kiitishe maandamano nchi nzima kupinga waziwazi Mkataba wa Bandari na waarabu.
 

Attachments

  • IMG-20151022-WA0031.jpg
    61.5 KB · Views: 2
Naona CCM wanaanzisha vita wasiyojua madhara yake, wajinga wasioweza hata kusoma upepo wajiulize wafanye nini na wasifanye nini, wanaitisha maandamano, watajibiwa kwa maandamano, wajinga wanaendelea kupandisha hasira za watanganyika.
 
Ndiyo maana na mimi nashauri tupige bei ikulu zetu za Dom na DSM, viwanja ndege, vyuo vikuu vyote, shule za seko na vyuo vya kati, ttcl, tanesco, trl, sgr, tazara , mbuga za wabyama zote etc
 
Nimeamini hii nchi ina wajinga wengi, na kibaya zaidi wajinga hao asilimia kubwa ni vijana wa CCM. Kwa mtiririko huu Tanganyika inakwenda kuwa koloni, Uhuru walioupigania babu zetu hauna maana tena, taifa linakwenda kuozeshwa.

ati maandano ya kuunga mkono ujinga... my foot !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…