Mpanda nyangobe
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 762
- 1,688
Neno la Bwana linasema “utahukumiwa kulingana unavyojua sheria na kuto kujua sheria “hukumu ipo pale pale kwa babu zetuNa imeandikwa " Mimi ni njia na uzima, ukipitia kwangu umemuona Baba (Mungu)" Sasa mababu zetu walipitia kwa nani? Ina maana wapo motoni?
Kwa hiyo wakristo wote ambao kiuhalisia hawana elimu ya Allah SW wanaepushwa na hukumu yake sio?ALLAH SW ahukumu mtu ambaye hakufikishiwa ujumbe,yeye si Kama wale ambao hawafikishi elimu ya Sheria kwa watu Kisha huwahukumu kwa makosa ambayo hawakujua no makosa
Wakati mnahubiriwa kila siku!!Kwa hiyo wakristo wote ambao kiuhalisia hawana elimu ya Allah SW wanaepushwa na hukumu yake sio?
Jesus ndio njia ya wakristo kwa Jehova wakati upande mwingine Mohammad ndio njia ya waislam kwa Allah…. Inaongeleka lugha moja kweli hapo?Wakati mnahubiriwa kila siku!!
The divine laws are universal. Hata hao mababu enzi zao uzinzi,wizi,uongo nk.vilikuwa haviruhusiwi,,so amri na mafundisho mazuri vilikuwepo Africa tangu mwanzo!
Bwana mkubwa. Hakuna dini ya ukweli baba. Dini ni imani yako. Hao waarabu na wazungu walitulazimisha hayo madini waweze kutuchota akili watutawale waibe wawafanye vibaya mabibi zetu na mababu. Juu yako kushobolea lipi. Tumia akili badala ya mihemko na kukurupuka. Period mkuuni swali hili...kama tujuavyo wageni weupe wameanza kuja Tanganyika kwenye karne ya nane...ikumbukwe hawa wageni ndio wameleta ustaarabu wa dini hizi tulizonazo sasa..ambazo tunaambiwa zitatufikisha mbinguni kwa baba..swali...he ambao wameshafariki kabla ya kuja dini hizi watahesabika kama wasioamini au inakuaje