Mababu zetu walitangulia mbele za haki kabla ya Wamisionari na Waarabu kuleta dini wanahukumiwaje?

Mababu zetu walitangulia mbele za haki kabla ya Wamisionari na Waarabu kuleta dini wanahukumiwaje?

ALLAH SW ahukumu mtu ambaye hakufikishiwa ujumbe,yeye si Kama wale ambao hawafikishi elimu ya Sheria kwa watu Kisha huwahukumu kwa makosa ambayo hawakujua no makosa
Kwahiyo babu na bibi zetu wapo mbinguni au motoni?

#MaendeleoHayanaChama
 
Waliotangulia mbele ya haki kabla ya hizi dini ndio wapo na Mungu wa kweli Mbinguni. Hizi dini zimejitengenezea Mungu wao, ingekuwa kweli hapangekuwa na mgawanyiko kiasi hicho.
 
Mada nzuri sana hii.

Inatoa picha kwenye uelewa wa elimu ya imani.

Majibu ya hapa yanatoa picha juu ya kile kilicho kuwepo na kilichopo, kuna kitu hapa...
 
Sio mababu tu mpaka leo kuna jamii huko misitu ya Amazon azijui kuna binadamu tunaishi kama sisi kwaiyo ukijichanganya huko unaweza kuta ukawa mboga.
Lakini Wana do and don't do,KILA Jamii Ina miiko yako hata kabla ya kuja kwa dini.Watahukumiwa kwa kufanya visivyo sahihi kwa Jamii zao
 
Back
Top Bottom