Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Lol, zikiiva nishtue jombaaa napendaga sana hayo mazaga zaga.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Siku hizi unazama youtube una search chakula utakacho unacopy maujuzi kwa utaratiibu.
Sema kitu cha birian aiseee sijakipatia kbs halaf nakipenda sana, daaaah!!

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Kwa lugha hii hakika mimi ni mhenga!
 
Hakuna neno inabidi iyo siku utakuwa unaonja kama mule mule au nimepuyanga kazi
Oyooooo kwenye sekta ya kuonja nipo vizuri.... sema unaweza kweli kutoa zile lainiiiii... mimi ngano ilinishinda kupika zaidi ya tambi tu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Oyooooo kwenye sekta ya kuonja nipo vizuri.... sema unaweza kweli kutoa zile lainiiiii... mimi ngano ilinishinda kupika zaidi ya tambi tu.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Hahahahaha basi gude nitakupandia tu kitu kikinuka kigetoni uje ufanye yako.
 
Kwa lugha hii hakika mimi ni mhenga!
Lugha ya kibabe kwa kua anaongea na mabachela wenzie,
ila akiwa anaongea na mrembo kama wewe lazima anyooshe kiswahili. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…