Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Nina imani mabachela tuko wengi sana humu.

Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.

Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.

Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Dagaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mim nina miaka 28...nimeanza kukaa ghetto tangu 2014....baada ya kumaliza chuo na napika kila kitu kwa ufasaha mpaka shemej yenu akija kunitembelea still napika mimi yeye anajifunza ila sijaanza bado kupika vitu kama sambusa maandaz na vyapati...ila pilau wali ndiz ugali na mboga zote nashusha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiii watak upike hadi sambusa
eecd171c884b6408be2d5765db4f7545.jpg
welcome
 
Sijawah kusonga ugali ghetto maana siwez.. Wali naweza kimtindo ila jiko la gesi linanitoa ushamba sana kupikia wali

Napenda kachumbari lakin cjui wanakataje
 
Mm namshangaa maana makande yanaiva yenyewe na moto taratibu mim nafua nguo nje...ugali ndio unasumbuaga wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseeee!!! Yan kama mm vile
Nayabandika hapo jikon
Nkonje nafua zang na washkaj


Tunapga mastory huku yanaiva
Taratibu hutu jamaa n
Uvivu tu wa kuyabandika jikon
Ndyo ako nao

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom