Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

Mods hiki kipengele cha chini cha kutambua mtoa mada katumia kifaa gani watu watakuja na mengi sana ila nimeipenda humuhumu tunajua uwezo wa mtu tukiangalia na simu aliyotumia
Hata Bil Gate anatumia iPhone ila sidhani kama analingana kiuwezo na watumiaje wengine wa simu hzo, usituharibie uzi wetu makapera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda pilau ila changamoto sielewi nianzie wapi; chapati pia

Send from Nokia batani
 
Hakuna kazi ninayoichukia kama kuosha vyombo tu. Chakula chochote napika bila wasi wasi tena vizuri tu. Isipokuwa chapati za kusukuma.
 
Yaani kitu inaitwa mtory haijawahi tokea imepikwa APA gheto
Aiseeeee!! Nmeimis hyo kitu
Kichz ngoja nkaile tu nkienda
Bush kuipika gheto jau kichiz

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kitu ambacho mabachela wengi wanachokiweza ni kuchemsha chai ya rangi na kupika tambi tu.
Kataeni au mkubali.
% kubwa ya wanaomudu kupika baadhi ya vyakula ni aidha wale waliokulia kwa dada zao au walioondoka kwenda kuanza maisha wakiwa wametoka makwao (kwa wazazi wao) wakiwa 22-25+.
Waliobaki wote ni tambi na chai ya rangi tu
Mim nina miaka 28...nimeanza kukaa ghetto tangu 2014....baada ya kumaliza chuo na napika kila kitu kwa ufasaha mpaka shemej yenu akija kunitembelea still napika mimi yeye anajifunza ila sijaanza bado kupika vitu kama sambusa maandaz na vyapati...ila pilau wali ndiz ugali na mboga zote nashusha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
namshurukuru nilupokuwa o level niliopt cookery aiseee imenisaidiaaa saaanaa coz hambaa chakulaaa nisichojuaa kupikaaa alafu good enough naenjoy kupikaa saana kuliko vitu vyoteee asante walimu Wang wa kibasilaaaa manake french ilinishindaaa now I'm a good cooker Nina mpngo wa kwendaaa kusomeaa zaidi mambo ya mapishi manake huu mdegreee nilionao nilisomaa tu ilaa mapenzi Yang ni kupika!!!!!!
Oh i like this spirit...nikikaaga jikoni huwa nakuwa happy sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaahhh binafsi Namshukuru Mama alinifanya nijue kupika sanaa,, kwakweli kwa vyakula vya kitanzania tuu najua kupika coz hata vitafunio najitengenezeaga mwenyewe ..

Nachukia kweli kula kwamama ntilie au ktk cafe izi ...basi tu .
Good point....mimi nikila kwa mama ntilie naona ni kama nimetupa hela coz siwez enjoy msos
Aiseeeee!! Nmeimis hyo kitu
Kichz ngoja nkaile tu nkienda
Bush kuipika gheto jau kichiz

[Color= yellow]Triple A[/color]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi sio bachelor, ila topic imenigusa kwasababu mpaka leo sijaweza kusonga ugali na kupika chapati ila kaukau naweza! ila vyakula vingine ni hatarious mpaka vya makinikia napika, ishu ugali na chapati za kusukuma. nimesalimu amri hapo.
Bro ugali si unaweza songa huku uko unagegeda...very simple

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom